Tukutane uwanja wa Taifa, naaza kuelekea huko nimepiga uzi wangu wa Taifa stars

Tukutane uwanja wa Taifa, naaza kuelekea huko nimepiga uzi wangu wa Taifa stars

Leo Moroco lazima wapigwe kwa njia yoyote ile.
 
Yaani hata kuwafunga reserves ni tatizo ?!!!

Kwenye East Africa Mpira sio Fani (Tunasingiziwa) Tutafute Fani nyingine
 
Jamani eeeeeee!!!!! twendeni tukapate burudani,
twendeni tukaishangilie timu yetu ya Taifa.
Leo ni kufa au kupona, Ushindi ni lazima.
Kila la kheri Morocco🇲🇦 na sina muda wa kwenda kuangalia timu ya ccm
 
Mpumbavu wewe nani amekwambia wote tu nahitaji uwezo mkubwa wa kuelewa.
kwa hii lugha unayotumia,umeonesha huna unaloelewa,nahisi hata pa kukaa huna,huna kazi,huna chochote kile.Tulia,tafakari maisha yako yatakuaje huko mbeleni
 
Asubuhi hata chai hamjapata mmeanza matusi 🤣🤣
 
Asubuhi hata chai hamjapata mmeanza matusi 🤣🤣
Ukiona mtu anayukana ujue huyo mtu ana matatizo mengi mno na hana chochote kwenye maisha,na furaha yake ni kutukana akidhani kuwa kwa kutikana atakuwa anaji compensate na huo ufukara wake,badala ya kufanya kazi
 
Jamani eeeeeee!!!!! twendeni tukapate burudani,
twendeni tukaishangilie timu yetu ya Taifa.
Leo ni kufa au kupona, Ushindi ni lazima.
Juhudi za mheshimiwa raisi wetu ZIMEITOA TIMU YA TAIFA MASHINDANONI.
TIMU YA MAMA IMETOLEWA
safi sana Morocco 🇲🇦
Nimefurahi kwa timu ya mama kutolewa
 
Back
Top Bottom