Tukutane uwanja wa Taifa, naaza kuelekea huko nimepiga uzi wangu wa Taifa stars

Tukutane uwanja wa Taifa, naaza kuelekea huko nimepiga uzi wangu wa Taifa stars

Ma CHAWA pekee mkiwakilisha inatosha
Watanzania wa kuzaliwa wote tunaenda uwanjani.
Hatuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania.
Tumezaliwa Tanzania tutaifia Tz na kuzikwa hapahapa Tz. huwezi kuzikiwa kenya, uganda wala moroco, penda Nchi yako.
 
Kabumbu ni burudani ni furaha...........twendeni tukaondoe stresss. Maisha ndio hayahaya.
Ukiwa unashangilia ushindi uwanjani jirani yako anatoa picha ya kiongozi kwa kisiasa kushangilia burudani, baadaye njiani wanakusubiri kukuteka kisa ulimuangalia vibaya yule aliyetoa picha ya kiongozi.
 
Watanzania wa kuzaliwa wote tunaenda uwanjani.
Hatuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania.
Tumezaliwa Tanzania tutaifia Tz na kuzikwa hapahapa Tz. huwezi kuzikiwa kenya, uganda wala moroco, penda Nchi yako.
👇
Viongozi Wanavyo Wabembeleza Watanzania Kusapoti Stars Utadhani Sio Wanao Waibia Kura na Kuwadharau Watanzania Bila Aibu. | JamiiForums Viongozi Wanavyo Wabembeleza Watanzania Kusapoti Stars Utadhani Sio Wanao Waibia Kura na Kuwadharau Watanzania Bila Aibu.
 
Ukiwa unashangilia ushindi uwanjani jirani yako anatoa picha ya kiongozi kwa kisiasa kushangilia burudani, baadaye njiani wanakusubiri kukuteka kisa ulimuangalia vibaya yule aliyetoa picha ya kiongozi.
Tatizo lako unachanganya siasa na mpira.
Ndio maana huko Ukrine na Gaza vita inaendelea lakini pia maisha mengine ya burudani lazima yaendeleee kama kawa.
Wacha kukomplicate maisha.
 
Najiandaa hapa. Nitakuwa jukwaa la kijani karibu na wale jamaa wanaocheza Ngoma wanavaa jezi za blue 🔵 yellow 🟡.

Napendaga sana vibe lao tangu yaanze haya mashindano.
 
Najiandaa hapa. Nitakuwa jukwaa la kijani karibu na wale jamaa wanaocheza Ngoma wanavaa jezi za blue 🔵 yellow 🟡.

Napendaga sana vibe lao tangu yaanze haya mashindano.
Kula kitu roho inapenda.
Jipe raha hakuna shida. Kikubwa moyo ufurahi.
 
Kabumbu ni burudani ni furaha ya akili na mwili....
 
Jamani eeeeeee!!!!! twendeni tukapate burudani,
twendeni tukaishangilie timu yetu ya Taifa.
Leo ni kufa au kupona, Ushindi ni lazima.
Wewe ni CCM nenda kashangilie Taifa lako .
Sisi wengine hatuwezi kushangilia Taifa lenye watu wasio na uchungu na nchi yao
 
Back
Top Bottom