fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Kama umesoma uzi wangu huo hauna hasira yoyote na nimekubali kuwa tumefungwa na zaidi ya hapo nimeonesha kwanini tumefungwa.Mwenye hadira humuoni ndugu? Mtu hana hoja yoyote bali kutoa matusi tu yasiyo na maana.Tujifunze kupenda nchi yetu kwani kuna siku wale ambao mnataka watawale watatawala na mipango inapoenda kombo,watatukana hivihivi,hawa watu wa hivi ni wagonjwaHasira za nini moroco kashashawatia dole machawa na timu ya mama