Tukutane uwanja wa Taifa, naaza kuelekea huko nimepiga uzi wangu wa Taifa stars

Chadema kwa sasa ni genge la wahalifu wanao ratibu mipango ya kihalifu. tujitenge na hao wahuni tusipata matatizo bureee.
Eti kisa wao ni chama kikuu cha upinzani wakadhani wakivunja sheria hawawezi kuwajibishwa. Na hili ndio tatizo la kuwa na kiongozi alye kosa hekima na busara kama Lissu.
Kwamba Lissu kakosea nini??
 
Naomba uongozi wa Uwanja, wekeni burudani/ muziki wa maana ili watu tuendelee kufurahia hadi saa 2 usiku.
 
Aaah wapi, machawa hawajawahi kuwa wazalendo, ni genge la wahuni, wahalifu..

#KataaWahuni
Twende tukapate burudani, maisha ndio hayahaya bwashee umekuja duniani peke yako utakufa peke yako.
Twende tukaisapoti Timu yetu ya Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…