Kama umesoma uzi wangu huo hauna hasira youote na nimekubali kuwa tumefungwa na zaidi ya hapo nimeonesha kwanini tumefungwa.Mwenye hadira humuoni ndugu? Mtu hana hoja yoyote bali kutoa matusi tu yasiyo na maana.Tujifunze kupenda nchi yetu kwani kuna siku wale ambao mnataka watawale watatawala na mipango inapoenda kombo,watatukana hivihivi,hawa watu wa hivi ni wagonjwa