Nkerebhuke
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 796
- 2,026
Wazungu wanasema " you will never miss your water untill your well gets/become dry, yaani umuhimu wa maji huja baada ya kisima kukauka.
Nakumbuka nikiwa mwaka wa kwanza wa masomo yangu katika moja ya chuo kikuu hapa nchini niliwahi bahatika kupata " a well raised woman '' unfortunately, sikutambua thamani yake mpaka nilipopata vibaka wakunipuna na kunivunja moyo wangu.
Siwezi kusahau, upole, utu, upendo, heshima na tabia ya kujali kwa yule dada. Vijana wenzengu wife material huja mara moja kumpata tena nimajaliwa.
Kama uliwahi pata wife material kisha ukaleta usela leo unalia kwa uchungu kupoteza bahati dondosha coment yako hapo chini.