Tukutane wanaume tuliowahi kupata “wife material” mpaka leo tunajuta baada ya kuleta wenge

Rika langu wote ni vicheche tu ila kipindi cha ujana mademu walionizidi umri wakikuwa ni wife materials sana ila sasa nani wa kuoa wazee .

Dah Aneth , Eliza , Diana i always remember you ila nitafanyaje sasa wacha muolewe tu
Hahahahaha umenifurahisha sana mkuu, wale mademu wa dhamani wengi walikuwa royal sana.
 
Yule mwanamke basi tu nahisi kaniachia laana
Yolanda wangu toto la kichaga mpole hunaga makuu sina kitu unanipa unaninunulia nguo siku ya kuzaliwa Kwangu unanifanyia sherehe kwetu wote walikuwa wanakupenda
Dahh kiherehere changu cha kukuacha najutia niliangukia kwa toto la singida na urefu wake kama mnara wa voda mapenzi hakajui dahh yolanda nitakukumbuka[emoji7][emoji7]
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Pole sana mzee baba. Kama nakuona sahizi unateseka kulinda penzi kwa hongo 🤣🤣🤣
 
Unakumbusha madonda yaliopona,nilipataga wanawake wawili yani walinipenda sana,basi mimi kwa ungexe wangu nikawa nawapelekesha vibaya sana,bado wakanipenda nilikuja kuachana nao kwa sababu za kijinga sana eti hawajui kukata mauno yani wale ndo walikuwa wake zangu wa kweli popote ulipo Christina na evaline daima nitaendelea kuwapenda
 
Yule mwanamke basi tu nahisi kaniachia laana
Yolanda wangu toto la kichaga mpole hunaga makuu sina kitu unanipa unaninunulia nguo siku ya kuzaliwa Kwangu unanifanyia sherehe kwetu wote walikuwa wanakupenda
Dahh kiherehere changu cha kukuacha najutia niliangukia kwa toto la singida na urefu wake kama mnara wa voda mapenzi hakajui dahh yolanda nitakukumbuka[emoji7][emoji7]
Huyu ni yolanda lyimo??
 
Daaaaah JF waongeze emoji ya kucheka saaaana

Kiongozi umejua kunisaidia kuondoa stress,Yaan mm mwenyewe kuna kiumbe nmewah kumpoteza huwa naomba msamaha kwa MUNGU kila mara.Maana kuonana nae ni kazi.
 
Back
Top Bottom