Tukutane wanaume tuliowahi kupata “wife material” mpaka leo tunajuta baada ya kuleta wenge

mimi sijui nijutie ama vip

alikuwa ni msikivu na alinipa papuchi hata seblen tofaut na hili,kwnza hil la sasa ukiliomba mzigo mnagombana!
yule tulifurahia uumbaj mpaka basi,mbaya zaidi nilimtundika mimba mbili na zote kwa ujinga wangu nilimwambia poromosha(ee Mungu nisamehe) na alikubali.tatizo kubwa ye alikuwa single mother na mim nilshajiapiza kutokumuo mtu mwenye mtoto,hivyo tuliachana kwa kukbaliana kabisa japo yeye n ile kinyonge!
 
Kuna mwanamke nilimpoteza kwa hasira zangu tu japokuwa alinikosea Ila nilipaswa kumsamehe Ila nikaamua kumuacha. Nikapata mwingine kama mke Ila hadi leo namkumbuka wa mwanzo na najuta kwa nini sikumsahehe.

Tulipendana sana, alikuwa ni true definition ya mke. Ni mzuri, hana maringo, hana tamaa, anajua maisha nini, anaishi maisha yote, hata kulala njaa anaweza, ana heshima.

Namba yake nilifuta, sijui Kama ya kwangu bado anayo maana baada ya kumuacha alinitafuta karibu mwaka mzima akiniomba msamaha Ila nilikuwa namchunia, naona alichoka akaamua kuendelea maisha yake.

Popote ulipo, ninakuombea mema. Nina imani Mungu atanikutanisha tena na wewe. Nimeshindwa kukusahau, kila mara nimekua nikikuota, kila mara nimekuwa nikikuwaza.
 
Ndo useme kosa Lake sasaaa..tuendelee kunenepa hapa
 
Mimi sina la kujutia kabisa ila mkosi wangu ni kupendwa na matom boy, sijui nina nini mimi! Wanawake wenye muonekano wa kike ninawapata sana ila huwa hawashoboki nami ila sasa matom boy ndio balaa.

1. Wakati niko jkt miaka ya nyuma nilipendwa na tom boy mpaka ananililia nikasema balaa gani hili.

2. Miaka ya kati hapo nilikuwa natoa semina kwenye group la whatsapp, nusu saa mbele naona meseji imeingia, nani kumbe kuna mshiriki wa semina kanielewa na sound juu akanipiga.

3. Wakati niko bongo miaka kadhaa nyuma pale Mbezi Louis stand Dsm nilipanda daladala kuelekea Segerea, konda alikuwa mwanamke tomboy flani hivi, akaanza mazoea na mimi nikawa nampigisha story fresh si unajua watu wa Moro sie hatuna baya. Wakati wa kulipa nauli nampa pesa kakataa nikaona afadhali,Nafika Segerea nashuka nashangaa binti ananiomba namba,nikampa. Usiku ananipigia anataka nikaonane nae, ninamwabia njoo wewe tukutane, kaja anajiumauma anataka niwe bwana ake.

4. Hii sasa ndio balaa
Baada ya miaka kadhaa ya kuishi abroad, kila nikipata likizo narudi Moro nyumbani, nikachagua kuwa niwe nasaidia timu ya mpira wa miguu ya wasichana mtaani, nawanunulia vifaa vya michezo nawapelekeaga. Sasa katika hao wasichana kuna binti mdogo tu age 17 au 18 ana muonekano wa utom boy flani si unajua tena wasichana wanaocheza football. Kila nikienda mazoezini kananiangalia then nikimuangalia anachekacheka kama anataka mazoea hivi. Najua nikimzoea nini kitatokea maana nina experience nao.

Muonekano wangu ni kijana wa kawaida tu navaa kiheshima sina mambo mengi ila tatizo ni kupendwa na matomboy sijui tatizo nini.
 
Yule mwanamke basi tu nahisi kaniachia laana
Yolanda wangu toto la kichaga mpole hunaga makuu sina kitu unanipa unaninunulia nguo siku ya kuzaliwa Kwangu unanifanyia sherehe kwetu wote walikuwa wanakupenda
Dahh kiherehere changu cha kukuacha najutia niliangukia kwa toto la singida na urefu wake kama mnara wa voda mapenzi hakajui dahh yolanda nitakukumbuka[emoji7][emoji7]
Kuna kitu kilikupiga marufuku kumtafuta na kumuangukia ili mrudiane?
 
Yule mwanamke basi tu nahisi kaniachia laana
Yolanda wangu toto la kichaga mpole hunaga makuu sina kitu unanipa unaninunulia nguo siku ya kuzaliwa Kwangu unanifanyia sherehe kwetu wote walikuwa wanakupenda
Dahh kiherehere changu cha kukuacha najutia niliangukia kwa toto la singida na urefu wake kama mnara wa voda mapenzi hakajui dahh yolanda nitakukumbuka[emoji7][emoji7]
Huyu Yolanda ndo huyu ameenda kusoma Chuo Cha misitu olmotonyi!?....mrefu Ana meno flan HV!!?...Ni bonge la demu Sana.. pole chief
 
Wazungu wanasema " you will never miss your water untill your well gets/become dry, yaani umuhimu wa maji huja baada ya kisima kukauka.

Nakumbuka nikiwa mwaka wa wakwanza wa masomo yangu katika moja ya chuo kikuu hapa nchini niliwahi bahatika kupata " a well raised woman '' unfortunately, sikutambua thamani yake mpaka nilipopata vibaka wakunipuna na kunivunja moyo wangu.

Siwezi kusahau, upole, utu, upendo, heshima na tabia ya kujali kwa yule dada. Vijana wenzengu wife material huja mara moja kumpata tena nimajaliwa.

Kama uliwahi pata wife material kisha ukaleta usela leo unalia kwa uchungu kupoteza bahati dondosha coment yako hapo chini.

Unamwitaje wife material kabla ujamuoa? You never know a Woman kabla ujamuoa na akawa na mtoto.
 
Mimi sina la kujutia kabisa ila mkosi wangu ni kupendwa na matom boy, sijui nina nini mimi! Wanawake wenye muonekano wa kike ninawapata sana ila huwa hawashoboki nami ila sasa matom boy ndio balaa.

1. Wakati niko jkt miaka ya nyuma nilipendwa na tom boy mpaka ananililia nikasema balaa gani hili.

2. Miaka ya kati hapo nilikuwa natoa semina kwenye group la whatsapp, nusu saa mbele naona meseji imeingia, nani kumbe kuna mshiriki wa semina kanielewa na sound juu akanipiga.

3. Wakati niko bongo miaka kadhaa nyuma pale Mbezi Louis stand Dsm nilipanda daladala kuelekea Segerea, konda alikuwa mwanamke tomboy flani hivi, akaanza mazoea na mimi nikawa nampigisha story fresh si unajua watu wa Moro sie hatuna baya. Wakati wa kulipa nauli nampa pesa kakataa nikaona afadhali,Nafika Segerea nashuka nashangaa binti ananiomba namba,nikampa. Usiku ananipigia anataka nikaonane nae, ninamwabia njoo wewe tukutane, kaja anajiumauma anataka niwe bwana ake.

4. Hii sasa ndio balaa
Baada ya miaka kadhaa ya kuishi abroad, kila nikipata likizo narudi Moro nyumbani, nikachagua kuwa niwe nasaidia timu ya mpira wa miguu ya wasichana mtaani, nawanunulia vifaa vya michezo nawapelekeaga. Sasa katika hao wasichana kuna binti mdogo tu age 17 au 18 ana muonekano wa utom boy flani si unajua tena wasichana wanaocheza football. Kila nikienda mazoezini kananiangalia then nikimuangalia anachekacheka kama anataka mazoea hivi. Najua nikimzoea nini kitatokea maana nina experience nao.

Muonekano wangu ni kijana wa kawaida tu navaa kiheshima sina mambo mengi ila tatizo ni kupendwa na matomboy sijui tatizo nini.
Aisee
 
mimi sijui nijutie ama vip

alikuwa ni msikivu na alinipa papuchi hata seblen tofaut na hili,kwnza hil la sasa ukiliomba mzigo mnagombana!
yule tulifurahia uumbaj mpaka basi,mbaya zaidi nilimtundika mimba mbili na zote kwa ujinga wangu nilimwambia poromosha(ee Mungu nisamehe) na alikubali.tatizo kubwa ye alikuwa single mother na mim nilshajiapiza kutokumuo mtu mwenye mtoto,hivyo tuliachana kwa kukbaliana kabisa japo yeye n ile kinyonge!
Umeongea kwa hisia sana bro, mwanamke mzuri ana thamani yake kwenye maisha.
 
Dah Acha tu Kaka unapata bonge la demu ana upendo wa dhati kabisa na umemkuta bado anakupenda anakujali anakufanyia mengi mazuri lakini mnajikuta dini tofauti yani dah unakosa ata la kufanya
Hii ni bonge la changamoto
 
Mimi sina la kujutia kabisa ila mkosi wangu ni kupendwa na matom boy, sijui nina nini mimi! Wanawake wenye muonekano wa kike ninawapata sana ila huwa hawashoboki nami ila sasa matom boy ndio balaa.

1. Wakati niko jkt miaka ya nyuma nilipendwa na tom boy mpaka ananililia nikasema balaa gani hili.

2. Miaka ya kati hapo nilikuwa natoa semina kwenye group la whatsapp, nusu saa mbele naona meseji imeingia, nani kumbe kuna mshiriki wa semina kanielewa na sound juu akanipiga.

3. Wakati niko bongo miaka kadhaa nyuma pale Mbezi Louis stand Dsm nilipanda daladala kuelekea Segerea, konda alikuwa mwanamke tomboy flani hivi, akaanza mazoea na mimi nikawa nampigisha story fresh si unajua watu wa Moro sie hatuna baya. Wakati wa kulipa nauli nampa pesa kakataa nikaona afadhali,Nafika Segerea nashuka nashangaa binti ananiomba namba,nikampa. Usiku ananipigia anataka nikaonane nae, ninamwabia njoo wewe tukutane, kaja anajiumauma anataka niwe bwana ake.

4. Hii sasa ndio balaa
Baada ya miaka kadhaa ya kuishi abroad, kila nikipata likizo narudi Moro nyumbani, nikachagua kuwa niwe nasaidia timu ya mpira wa miguu ya wasichana mtaani, nawanunulia vifaa vya michezo nawapelekeaga. Sasa katika hao wasichana kuna binti mdogo tu age 17 au 18 ana muonekano wa utom boy flani si unajua tena wasichana wanaocheza football. Kila nikienda mazoezini kananiangalia then nikimuangalia anachekacheka kama anataka mazoea hivi. Najua nikimzoea nini kitatokea maana nina experience nao.

Muonekano wangu ni kijana wa kawaida tu navaa kiheshima sina mambo mengi ila tatizo ni kupendwa na matomboy sijui tatizo nini.
Mbuyi jikague Mana hao wanapenda wahuni na watu flani Makauzu.
 
Watu mmeandika sana kuwa miss ma ex na faulo za mahusiano zilizopo kwenye kumbukumbu. Naweza kusema yafuatayo

1. Kila relationship ni tofauti, kuwa compare watu uliowadate na kutaka kujua nani zaidi its a waste of time. Kila mtu unakutan nae kwa wakati tofauti na mwingine na mahitaj yako ya ki mahusiano yanabadilika kulingana na stage ya maisha uliyopo. Kwa sabab binadam tuna evolve, n ngumu kuwa na same expectation kwenye vipind vyote vya maisha yako na hii ina affect jins unavo angalia mahusiano yako ya sasa na ya zamani

Its because of this, binafsi ma ex woote waliowahi kurudi kwa either kutaka kupasha kiporo au ku date huwa nawajibu mda umeenda sana, keep it moving as the time we had was precious and very special and we can't recreate the past hata iweje. Sabab ya evolution Ambayo tumeipitia.

Uki mfanisha mpenz wako ukiwa chuo na mpenz wako sasa iv unafanya kazi upo mtaan n kumuonea tu uyu wa sasa. Alafu ukiachana na mtu af ukapita muda its easy kusahau ubaya wake na kukumbuka mazuri tu ( bias thinking). Na ii n shida kubwa inayotutafuna vijana.

2. Huwez kujua mtu atakua mwenza mzuri/mbaya had uolewe nae. Kwenye uchumba n ngumu kuona hili ila ndoa haina kujificha. Huwez jua japo kuna viashiria unaweza ona. Mahusiano ya kindoa zama iz yapo kimkakati sana kutegemea na nyie wenyewe. Nna marafiki waliooa na ndoa zipo vizuri na pia wapo ambao wanajilaumu tu daily japokua walijiaminisha kua wapo kwenye right track. Kikubwa uhai tu.

3. Hakunaga only 1 soulmate kwenye maisha, na hakuna sehem imeandkwa uta fall in love na mtu 1 maisha yako yoote. Noo jipe mda na nafasi uta fall inlove tena labda uamue vinginevyo. Pia kila mahusiano unayoingia n tofauti kwa sabab ya wakati uliopo na mahitaji yako kimahusiano kwa wakati huo. Ukiweza ku evolve na mtu kwenye mahusiano kipind chote even better. Mahitaj ya mdada kimahusiano akiwa 22 yrs n tofauti sana na akiwa 29 au 35 yrs. Same na mwanaume pia. So io inachangia kuona flan was better than flan kumbe n umepagawa na nostalgia as unakumbuka moment nzuri ulizo share na uyo mtu na jinsi zilivokufanya ujiskie kipind icho tu ila hamna maajabu. Na ndo maana uki fall inlove upya relationship zako zooote za nyuma unasahau kama hata ziliwahi kuwepo.

Happy 2023
 
Wazungu wanasema " you will never miss your water untill your well gets/become dry, yaani umuhimu wa maji huja baada ya kisima kukauka.

Nakumbuka nikiwa mwaka wa wakwanza wa masomo yangu katika moja ya chuo kikuu hapa nchini niliwahi bahatika kupata " a well raised woman '' unfortunately, sikutambua thamani yake mpaka nilipopata vibaka wakunipuna na kunivunja moyo wangu.

Siwezi kusahau, upole, utu, upendo, heshima na tabia ya kujali kwa yule dada. Vijana wenzengu wife material huja mara moja kumpata tena nimajaliwa.

Kama uliwahi pata wife material kisha ukaleta usela leo unalia kwa uchungu kupoteza bahati dondosha coment yako hapo chini.
Mimi huwa siwaamini wanawake ngozi nyeupe.
Wife material mwanzoni akishakuzoea na kupata shule kwa wenzake anaota pembe na mkia anakuwa kiumbe wa ajabu asie na jina
 
Mimi sina la kujutia kabisa ila mkosi wangu ni kupendwa na matom boy, sijui nina nini mimi! Wanawake wenye muonekano wa kike ninawapata sana ila huwa hawashoboki nami ila sasa matom boy ndio balaa.

1. Wakati niko jkt miaka ya nyuma nilipendwa na tom boy mpaka ananililia nikasema balaa gani hili.

2. Miaka ya kati hapo nilikuwa natoa semina kwenye group la whatsapp, nusu saa mbele naona meseji imeingia, nani kumbe kuna mshiriki wa semina kanielewa na sound juu akanipiga.

3. Wakati niko bongo miaka kadhaa nyuma pale Mbezi Louis stand Dsm nilipanda daladala kuelekea Segerea, konda alikuwa mwanamke tomboy flani hivi, akaanza mazoea na mimi nikawa nampigisha story fresh si unajua watu wa Moro sie hatuna baya. Wakati wa kulipa nauli nampa pesa kakataa nikaona afadhali,Nafika Segerea nashuka nashangaa binti ananiomba namba,nikampa. Usiku ananipigia anataka nikaonane nae, ninamwabia njoo wewe tukutane, kaja anajiumauma anataka niwe bwana ake.

4. Hii sasa ndio balaa
Baada ya miaka kadhaa ya kuishi abroad, kila nikipata likizo narudi Moro nyumbani, nikachagua kuwa niwe nasaidia timu ya mpira wa miguu ya wasichana mtaani, nawanunulia vifaa vya michezo nawapelekeaga. Sasa katika hao wasichana kuna binti mdogo tu age 17 au 18 ana muonekano wa utom boy flani si unajua tena wasichana wanaocheza football. Kila nikienda mazoezini kananiangalia then nikimuangalia anachekacheka kama anataka mazoea hivi. Najua nikimzoea nini kitatokea maana nina experience nao.

Muonekano wangu ni kijana wa kawaida tu navaa kiheshima sina mambo mengi ila tatizo ni kupendwa na matomboy sijui tatizo nini.
Jitafakari kwanza,Kwa Msaada zaid jaribu kuwaeleza watu unao waamini kuwa unaonekanaje kimwonekano na kitabia,

Au jaribu kumueleza mtu usiyemjua labda pengine muulize maswali na awe huru kabisa kuyajibu asiogope..

1.kimuonekano unaonekana vip
2.uvaaji wako
3.tembea yako.
4.uongeaji wako.

Hayo maswali yatakusaidia kujitambua mbele za watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tabia na matendo yako ndio yatakayovuta watu unaofanana nao iwe girlfriend/mke/washkaji/jamaa/marafiki na partners.. keki haikai na kinyesi.. dhambi haikai na utakatifu..
 
Back
Top Bottom