Tukutane wanaume tuliowahi kupata “wife material” mpaka leo tunajuta baada ya kuleta wenge

Tukutane wanaume tuliowahi kupata “wife material” mpaka leo tunajuta baada ya kuleta wenge

Yule mwanamke basi tu nahisi kaniachia laana
Yolanda wangu toto la kichaga mpole hunaga makuu sina kitu unanipa unaninunulia nguo siku ya kuzaliwa Kwangu unanifanyia sherehe kwetu wote walikuwa wanakupenda
Dahh kiherehere changu cha kukuacha najutia niliangukia kwa toto la singida na urefu wake kama mnara wa voda mapenzi hakajui dahh yolanda nitakukumbuka[emoji7][emoji7]
Huna tofauti na mimi aisee , nilitoka uchagani nikaangukia singida Matokeo yake sasa!
Wanawake wa kichaga wazuri jamani acheni tu.
 
Wazungu wanasema " you will never miss your water untill your well gets/become dry, yaani umuhimu wa maji huja baada ya kisima kukauka.

Nakumbuka nikiwa mwaka wa wakwanza wa masomo yangu katika moja ya chuo kikuu hapa nchini niliwahi bahatika kupata " a well raised woman '' unfortunately, sikutambua thamani yake mpaka nilipopata vibaka wakunipuna na kunivunja moyo wangu.

Siwezi kusahau, upole, utu, upendo, heshima na tabia ya kujali kwa yule dada. Vijana wenzengu wife material huja mara moja kumpata tena nimajaliwa.

Kama uliwahi pata wife material kisha ukaleta usela leo unalia kwa uchungu kupoteza bahati dondosha coment yako hapo chini.
Loh mwangaza wangu yule bint japo over size ila alikua wife material well raised na baba ake alikiwa na kipato cha kati, tabasamu kila saa msafi, hana njaa ya pesa, na accent, nzuri ya kiingereza, ila kubadili Dini ukawa mtihani. Ila yule mutsi ntamukubuka hana tabia za uswahili swahili, mpaka leo sijapata mbadala wake.
 
2014 kipindi nko ADV Nlipata bahati ya kupendwa sana na binti aliyekua anajielewa mnoo ila kutokana na ulimbukeni nliokua nao kipindi hicho sikuweza kuona thamani yake

Bhac kutokana na kutomjali na kutokua serious naye alivunjika moyo na kuamua ku move on kwa unyonge sana
 
Yule mwanamke basi tu nahisi kaniachia laana
Yolanda wangu toto la kichaga mpole hunaga makuu sina kitu unanipa unaninunulia nguo siku ya kuzaliwa Kwangu unanifanyia sherehe kwetu wote walikuwa wanakupenda
Dahh kiherehere changu cha kukuacha najutia niliangukia kwa toto la singida na urefu wake kama mnara wa voda mapenzi hakajui dahh yolanda nitakukumbuka[emoji7][emoji7]
😂😂😂
 
Duuuuh! mimi almanusura nimpoteze ingekuwa sio juhudi zake binadfsi na upendo wake wa dhati kwangu kwa kweli nisingukuwa naye maana sikuwa na time naye kabisa tena yeye aliwahi kupata kazi miaka mitatu kabla yangu lakini aliendelea kuniganda japo tulikuwa mbali.

Ndugu wakanionya kuhusu kumpotezea huyu dada wa watu tena akiwa nahisia kali kwangu lakini mimi akili ya ujana wala sikujali na hata simu yake nilikuwa napokea nkijisikia. Kuna siku dada yangu aliniita akanipa sifa za wanawake akaniambia mdogo wangu nakuonya acha kumtesa mtoto wa watu siku ukimpoteza huyu dada utajuta maishani mwako.

Niliitafakari hii kauli nikajiuliza mbona kweli huyu mtoto wa watu hajawahi nikosea na wakati mwingine ananisaidia sana nikiwa na matatizo yangu tena hapendi kabisa kusikia nikiwa na shida hata akiwa hana anaonesha kuumia mno tofauti na hawa wadada wengine waliokuwa wananipotezea muda.

Kwa kweli niliamua kuwa mtu mzima na kuanza kujali hisia za huyu wife material wangu hata kwenye simu nikamsave wife kabisa na nikaoa. Namshukuru Mungu sana ningefuata akili za ujana kwa kweli ningepoteza mke mwema.
 
Dah Acha tu Kaka unapata bonge la demu ana upendo wa dhati kabisa na umemkuta bado anakupenda anakujali anakufanyia mengi mazuri lakini mnajikuta dini tofauti yani dah unakosa ata la kufanya
hii mbaya kupindukia yaani ila ndo maisha
 
Yule mwanamke basi tu nahisi kaniachia laana
Yolanda wangu toto la kichaga mpole hunaga makuu sina kitu unanipa unaninunulia nguo siku ya kuzaliwa Kwangu unanifanyia sherehe kwetu wote walikuwa wanakupenda
Dahh kiherehere changu cha kukuacha najutia niliangukia kwa toto la singida na urefu wake kama mnara wa voda mapenzi hakajui dahh yolanda nitakukumbuka[emoji7][emoji7]
Ukome! Wacha Mnyaturu akunyooshe
 
Katika maisha tunakutana na watu kwa sababu tatu tu, reason, lesson,na blessing,wapo watakuja kama baraka, wengine watatufundisha kitu kizuri au kibaya na wengine kwa sababu maalum tu.Kwahiyo hatukutani na watu kwa bahati mbaya.Binafsi mimi sijawahi kukutana na wife material kabisa zaidi zaidi wadangaji tu [emoji849],baadhi yao ilikuwa inaonekana ni one sided relationship labda huko mbele ya safari kama itatokea.
 
Back
Top Bottom