Tukutane wanaume tuliowahi kupata “wife material” mpaka leo tunajuta baada ya kuleta wenge

Tukutane wanaume tuliowahi kupata “wife material” mpaka leo tunajuta baada ya kuleta wenge

Unakumbusha madonda yaliopona,nilipataga wanawake wawili yani walinipenda sana,basi mimi kwa ungexe wangu nikawa nawapelekesha vibaya sana,bado wakanipenda nilikuja kuachana nao kwa sababu za kijinga sana eti hawajui kukata mauno yani wale ndo walikuwa wake zangu wa kweli popote ulipo Christina na evaline daima nitaendelea kuwapenda
Mauno [emoji16][emoji16]
 
Kuna mwanamke nilimpoteza kwa hasira zangu tu japokuwa alinikosea Ila nilipaswa kumsamehe Ila nikaamua kumuacha. Nikapata mwingine kama mke Ila hadi leo namkumbuka wa mwanzo na najuta kwa nini sikumsahehe.

Tulipendana sana, alikuwa ni true definition ya mke. Ni mzuri, hana maringo, hana tamaa, anajua maisha nini, anaishi maisha yote, hata kulala njaa anaweza, ana heshima.

Namba yake nilifuta, sijui Kama ya kwangu bado anayo maana baada ya kumuacha alinitafuta karibu mwaka mzima akiniomba msamaha Ila nilikuwa namchunia, naona alichoka akaamua kuendelea maisha yake.

Popote ulipo, ninakuombea mema. Nina imani Mungu atanikutanisha tena na wewe. Nimeshindwa kukusahau, kila mara nimekua nikikuota, kila mara nimekuwa nikikuwaza.
Kosa lilikuwa nini mkuu...
 
Wazungu wanasema " you will never miss your water untill your well gets/become dry, yaani umuhimu wa maji huja baada ya kisima kukauka.

Nakumbuka nikiwa mwaka wa wakwanza wa masomo yangu katika moja ya chuo kikuu hapa nchini niliwahi bahatika kupata " a well raised woman '' unfortunately, sikutambua thamani yake mpaka nilipopata vibaka wakunipuna na kunivunja moyo wangu.

Siwezi kusahau, upole, utu, upendo, heshima na tabia ya kujali kwa yule dada. Vijana wenzengu wife material huja mara moja kumpata tena nimajaliwa.

Kama uliwahi pata wife material kisha ukaleta usela leo unalia kwa uchungu kupoteza bahati dondosha coment yako hapo chini.
Aisee usinikumbushe machungu ya yule mrembo wangu. Yaani bonge la wife material sasa bwana kweli ujana maji ya moto.
 
Si wengine hatuna ex wa maana wote vichomi, mmoja alivyoenda kusoma nikala kibuti mwingine nilikuwa nae kumbe mwenzangu anamapenzi na ex wake.

Basi tena siku hizi nadate kimitego na sio king'ang'anizi kama zamani sijawahi kukutana na ke yoyote wa kusema huyu wife material, wengi ni block 41 kikosi.
 
Si wengine hatuna ex wa maana wote vichomi, mmoja alivyoenda kusoma nikala kibuti mwingine nilikuwa nae kumbe mwenzangu anamapenzi na ex wake.

Basi tena siku hizi nadate kimitego na sio king'ang'anizi kama zamani sijawahi kukutana na ke yoyote wa kusema huyu wife material, wengi ni block 41 kikosi.
Block 41 kikosi ndiyo nini mkuu?
 
Unakumbusha madonda yaliopona,nilipataga wanawake wawili yani walinipenda sana,basi mimi kwa ungexe wangu nikawa nawapelekesha vibaya sana,bado wakanipenda nilikuja kuachana nao kwa sababu za kijinga sana eti hawajui kukata mauno yani wale ndo walikuwa wake zangu wa kweli popote ulipo Christina na evaline daima nitaendelea kuwapenda
Pole sana Chifu.

Usiendelee kuwapenda maana tayari wajanja tushajinyakulia shilingi uliyoichezea chooni...[emoji124]
 
Yule mwanamke basi tu nahisi kaniachia laana
Yolanda wangu toto la kichaga mpole hunaga makuu sina kitu unanipa unaninunulia nguo siku ya kuzaliwa Kwangu unanifanyia sherehe kwetu wote walikuwa wanakupenda
Dahh kiherehere changu cha kukuacha najutia niliangukia kwa toto la singida na urefu wake kama mnara wa voda mapenzi hakajui dahh yolanda nitakukumbuka[emoji7][emoji7]
Mnara wa voda au sioo..
 
mimi sijui nijutie ama vip

alikuwa ni msikivu na alinipa papuchi hata seblen tofaut na hili,kwnza hil la sasa ukiliomba mzigo mnagombana!
yule tulifurahia uumbaj mpaka basi,mbaya zaidi nilimtundika mimba mbili na zote kwa ujinga wangu nilimwambia poromosha(ee Mungu nisamehe) na alikubali.tatizo kubwa ye alikuwa single mother na mim nilshajiapiza kutokumuo mtu mwenye mtoto,hivyo tuliachana kwa kukbaliana kabisa japo yeye n ile kinyonge!
Single mother wengine wanashawishi
 
Katika maisha tunakutana na watu kwa sababu tatu tu, reason, lesson,na blessing,wapo watakuja kama baraka, wengine watatufundisha kitu kizuri au kibaya na wengine kwa sababu maalum tu.Kwahiyo hatukutani na watu kwa bahati mbaya.Binafsi mimi sijawahi kukutana na wife material kabisa zaidi zaidi wadangaji tu [emoji849],baadhi yao ilikuwa inaonekana ni one sided relationship labda huko mbele ya safari kama itatokea.
daaah pole sana
 
Mi title ya uzi iko tofauti kwangu 😀 yaan nilioa kicheche baadae nikaangukia kwa wife material hadi sasa niko nae.
Picha linaanza baada ya kumaliza f6 nikaenda kwa anko, pale kwa anko alikuwa na jirani yake na huyo jirani yake alikuwa anaishi na mtoto wa dada yake aliye mlea tangu kachanga maana dada ya huyo jirani wa anko alifariki akaacha kadogo sana ilikuwa ngumu sana kujua sio binti wa kuzaa wa huyo jirani ya anko maana kalikua kanamwita baba badala ya anko.
Anko na huyo jirani yake walikuwa wasabato kamili kwa hiyo na kabinti kenyewe kalikuwa kasabato kalikoshika dini balaa na kalikuwa form 4 pindi hiyo kitabia kweli kalikuwa kamelelewa kakaleleka sasa wazo langu nikawa nataka nichape nitembee siku moja wameenda church miji yote kakabaki home mzee, nikafanya mambo siku hiyo kumbe kalikuwa bikra ... basi roho ya kukaoa ikawa inanitembelea sana ugumu ukawa dini ... matokeo ya six yalipotoka nikaendelea na chuo na mambo mengine miaka ikapita sana kila nikipiga simu kwa anko naogopa kuulizia habari za dogo kwamba anko angestuka..
Nikaja kuoa mwl mmoja hivi dahh alikuwa fresh kimwonekano rangi, sura, tako nikaona dhahabu nikaweka ndani hakuna rangi niliacha kuona demu kumbe kicheche....
Siku moja nikampigia mke wa anko katika kuwajulia hali nikauliza vp fulani ... ooh pale tulihama ila wakati tunahama tayari anko wako na yule jirani yake walikuwa hawapatani tena maana waliingia mgogoro wa kiwanja ilikuwa vita hatari ila yule demu aliolewa..
Siku zikaenda miaka ikapita.. siku moja mke wa anko akanipigia ameonana na dem sokoni demu akamuuliza habari zangu akaambiwa nishaoa na nina watoto akaomba namba yangu na yeye akamwambia anti kuwa alirudishwa kwao kwa kuwa hazai jamaa yake akaoa mwingine kwa hiyo yuko home tu.
Siku moja namba ngeni ikaita kupokea ni demu stori za hapa na pale mzee cha kufuia nini nikamweka ndani kicheche akasepa huwezi amini mwaka uliofuata demu mjamzito ni wife material kweli kweli... wife material ni wale ambao unawajua malezi yao tangu utoto wao. 😀😀
 
Back
Top Bottom