Tukutane wanaume tuliowahi kupata “wife material” mpaka leo tunajuta baada ya kuleta wenge

mimi alikufaga he was so caring, loving, protector nlimuweka miaka mi4 anasubiri bikra yangu na aliweza bila kubadilika,. tulipanga mengi ya baadae ajali ikamuondoa , kazi ya Mungu haina makosa, endelea kupumzika kwa amani
Ayseee...like seriously [emoji30]

Pole sana kwa maswahibu ya dunia Mama, Mungu atakujalia mema zaidi kwa neema na rehema zake, Amina [emoji26]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Naomba namba ya Yolanda
 
Ukipata wife material halfu msabato utakula maisha ambayo utashindwa kuelezea
 
mimi alikufaga he was so caring, loving, protector nlimuweka miaka mi4 anasubiri bikra yangu na aliweza bila kubadilika,. tulipanga mengi ya baadae ajali ikamuondoa , kazi ya Mungu haina makosa, endelea kupumzika kwa amani
Bado una ubikra?
 
Pole nitaacha yote nakuwa na wewe
 
mimi alikufaga he was so caring, loving, protector nlimuweka miaka mi4 anasubiri bikra yangu na aliweza bila kubadilika,. tulipanga mengi ya baadae ajali ikamuondoa , kazi ya Mungu haina makosa, endelea kupumzika kwa amani
pole sana, Mungu akupe mwingine wa kufanana nae.
 
Wote watatu ambao nilidhani wangekuwa ma wife kwa nyakati tofauti wame lost. Sijui hawakuwa ma wife material ila niliwashobokea tu au wenza wao waliokuja kuwapata ndo hawakuwa husband materials hadi kusababisha ndoa zao kuvurugika. Ila niliumia sana kuachwa lakini may be Mungu alikuwa ananionyesha kuwa hao siyo.

Wakwanza...X mkubwa...hazai mpaka leo hana mume. Aliolewa akaachwa lwa kuto kuzaa...anyway hakuachwa ila alijiachisha mwenyewe baada ya mume wake kuzaa nje. Na nadhani alipitia unyanyapaa fulani. Ni boss mkubwa ila hazai. Huyu aliniacha alidai amepata mtu ambaye yuko serious kuliko mimi. Niliumia sana, lakini yalipita.

Wapili, X wa kati...huyu ameolewa na jamaa mmoja mlevi na malaya sana. Ilifika mahali mkewe naye akaanza kuchepuka...Ila sijui kama alichepuka lwa sababu ya mme au nitabia yake tu. Mwisho wa siku ndoa ikawa chali...yuko anaishi na watoto wake tu. Huyu alizingua eti kwa sababu sikumtumia birthday wishes akiwa chuo mwaka wa 2.

X mdogo...huyu dada ni much know na muongo mkubwa. Yaani mumewe ali nyoosha mikono akakimbia nyumba.
 
Mi wife material wangu kaolewa juzi tu hapa tunawasiliana ananikubali mpaka sasa sema sitaki dhambi ya mke wa mtu mungu hakupanga na kwao walimlazimisha kuolewa

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Upendo ni kitu cha ajabu sana yaani yakikukuta yanaweza kukuondolea furaha na wakati mwingine yakakupa faraja ukibahatika kumpata mtakaependana kwa dhati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…