APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,715
Hamna bado😂😂😂 umepata anayejua kukata mauno sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna bado😂😂😂 umepata anayejua kukata mauno sasa?
Ayseee...like seriously [emoji30]mimi alikufaga he was so caring, loving, protector nlimuweka miaka mi4 anasubiri bikra yangu na aliweza bila kubadilika,. tulipanga mengi ya baadae ajali ikamuondoa , kazi ya Mungu haina makosa, endelea kupumzika kwa amani
😅😂🤣😆😅🤣🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Pole sana mzee baba. Kama nakuona sahizi unateseka kulinda penzi kwa hongo 🤣🤣🤣
Naomba namba ya YolandaYule mwanamke basi tu nahisi kaniachia laana
Yolanda wangu toto la kichaga mpole hunaga makuu sina kitu unanipa unaninunulia nguo siku ya kuzaliwa Kwangu unanifanyia sherehe kwetu wote walikuwa wanakupenda
Dahh kiherehere changu cha kukuacha najutia niliangukia kwa toto la singida na urefu wake kama mnara wa voda mapenzi hakajui dahh yolanda nitakukumbuka[emoji7][emoji7]
Ukipata wife material halfu msabato utakula maisha ambayo utashindwa kuelezeaMi title ya uzi iko tofauti kwangu 😀 yaan nilioa kicheche baadae nikaangukia kwa wife material hadi sasa niko nae.
Picha linaanza baada ya kumaliza f6 nikaenda kwa anko, pale kwa anko alikuwa na jirani yake na huyo jirani yake alikuwa anaishi na mtoto wa dada yake aliye mlea tangu kachanga maana dada ya huyo jirani wa anko alifariki akaacha kadogo sana ilikuwa ngumu sana kujua sio binti wa kuzaa wa huyo jirani ya anko maana kalikua kanamwita baba badala ya anko.
Anko na huyo jirani yake walikuwa wasabato kamili kwa hiyo na kabinti kenyewe kalikuwa kasabato kalikoshika dini balaa na kalikuwa form 4 pindi hiyo kitabia kweli kalikuwa kamelelewa kakaleleka sasa wazo langu nikawa nataka nichape nitembee siku moja wameenda church miji yote kakabaki home mzee, nikafanya mambo siku hiyo kumbe kalikuwa bikra ... basi roho ya kukaoa ikawa inanitembelea sana ugumu ukawa dini ... matokeo ya six yalipotoka nikaendelea na chuo na mambo mengine miaka ikapita sana kila nikipiga simu kwa anko naogopa kuulizia habari za dogo kwamba anko angestuka..
Nikaja kuoa mwl mmoja hivi dahh alikuwa fresh kimwonekano rangi, sura, tako nikaona dhahabu nikaweka ndani hakuna rangi niliacha kuona demu kumbe kicheche....
Siku moja nikampigia mke wa anko katika kuwajulia hali nikauliza vp fulani ... ooh pale tulihama ila wakati tunahama tayari anko wako na yule jirani yake walikuwa hawapatani tena maana waliingia mgogoro wa kiwanja ilikuwa vita hatari ila yule demu aliolewa..
Siku zikaenda miaka ikapita.. siku moja mke wa anko akanipigia ameonana na dem sokoni demu akamuuliza habari zangu akaambiwa nishaoa na nina watoto akaomba namba yangu na yeye akamwambia anti kuwa alirudishwa kwao kwa kuwa hazai jamaa yake akaoa mwingine kwa hiyo yuko home tu.
Siku moja namba ngeni ikaita kupokea ni demu stori za hapa na pale mzee cha kufuia nini nikamweka ndani kicheche akasepa huwezi amini mwaka uliofuata demu mjamzito ni wife material kweli kweli... wife material ni wale ambao unawajua malezi yao tangu utoto wao. 😀😀
Bado una ubikra?mimi alikufaga he was so caring, loving, protector nlimuweka miaka mi4 anasubiri bikra yangu na aliweza bila kubadilika,. tulipanga mengi ya baadae ajali ikamuondoa , kazi ya Mungu haina makosa, endelea kupumzika kwa amani
huwa sitaki hata kukumbuka mtu sahihi huja mara moja maishani, ukimpoteza inauma sana.
Kwanini mkuuSio kweli
Sio kweli kwamba Mtu sahihi huja mara moja maishaniKwanini mkuu
Kwangu mimi ni hivyoSio kweli kwamba Mtu sahihi huja mara moja maishani
bado mzee utapata tuKwangu mimi ni hivyo
Sidhani kama ntapata kama yulebado mzee utapata tu
Pole nitaacha yote nakuwa na weweYule mwanamke basi tu nahisi kaniachia laana
Yolanda wangu toto la kichaga mpole hunaga makuu sina kitu unanipa unaninunulia nguo siku ya kuzaliwa Kwangu unanifanyia sherehe kwetu wote walikuwa wanakupenda
Dahh kiherehere changu cha kukuacha najutia niliangukia kwa toto la singida na urefu wake kama mnara wa voda mapenzi hakajui dahh yolanda nitakukumbuka[emoji7][emoji7]
Salute mkuu, kama hii siri unayoUkipata wife material halfu msabato utakula maisha ambayo utashindwa kuelezea
pole sana, Mungu akupe mwingine wa kufanana nae.mimi alikufaga he was so caring, loving, protector nlimuweka miaka mi4 anasubiri bikra yangu na aliweza bila kubadilika,. tulipanga mengi ya baadae ajali ikamuondoa , kazi ya Mungu haina makosa, endelea kupumzika kwa amani
Kabsa chief nami npo kwenye kumtafuta nafikiri ntaanza rasmi mwaka ujao kutaftaSalute mkuu, kama hii siri unayo
Upendo ni kitu cha ajabu sana yaani yakikukuta yanaweza kukuondolea furaha na wakati mwingine yakakupa faraja ukibahatika kumpata mtakaependana kwa dhatiMi wife material wangu kaolewa juzi tu hapa tunawasiliana ananikubali mpaka sasa sema sitaki dhambi ya mke wa mtu mungu hakupanga na kwao walimlazimisha kuolewa
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app