Bulamba
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 13,741
- 13,049
Kwanza hafai kuwa Spika.Huyo mama ni mroho wa madaraka
Pili kana uchu wa madaraka.
Tatu hakuna jipya ambalo amelisimamia katika unaibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza hafai kuwa Spika.Huyo mama ni mroho wa madaraka
Sijui ni tamaaa au njaaa tySasa kiherehere kakitoa wapi ?
Yan wampige chini ili akacheze ngoma zake za kimila huko SongweHoja ya Naibu spika Dr. Tulia inasimama kwenye maneno mafupi anayoyachagua bila kumaliza yote katika Ibara ya 84(2) ya katiba. Maneno aliyoyachagua katika Ibara hiyo haijatoa katazo la moja kwa moja kwa Naibu spika kugombea Uspika. Waliokatazwa kwakutaja moja kwa moja ni Waziri au Naibu waziri lakini ibara hiyohiyo ina maneno mengine ili ikamilike, ambayo yanazuia watu wengine kugombea uspika kwakutumia maneno yasemayo, "..........au mtu mwenye madaraka ya aina nyingine yoyote yatakayotajwa na Sheria iliyotungwa na Bunge kwa madhumuni ya Ibara hiyo, huyu ndio hataweza kuchaguliwa kuwa Spika".
Dr. Tulia ni mwanasheria anatumia udhaifu wa Watanzania wachache na hasa Wabunge wenzake waliowengi ambao ni mbumbumbu wa Sheria anawarubuni kuwa Katiba ya Tanzania haijamzuia yeye Naibu Spika kugombea Uspika. Hivyo anaamua kutojiuzulu kwanza Unaibu Spika ndipo agombee, badala yake anaamua kwenda navyo pacha.
Dr. Tulia anajenga hoja kwamba hakuna sheria ya Bunge inayomzuia. Lakini kikatiba ni kwamba, kwa kuwa hakuna sheria iliyotungwa na Bunge kumzuia Naibu Spika kuchaguliwa kuwa Spika, ni wazi kuwa Kisheria tunalazimika kuitumia Katiba kuwa sheria kwakuwa Katiba ni sheria MAMA. Sasa kwa Mujibu wa Ibara ya 84 (2) inayosema waliokatazwa ni Waziri au Naibu waziri au mtu mwenye madaraka ya aina nyingine yoyote yatakayotajwa na Sheria iliyotungwa na Bunge kwa madhumuni ya Ibara hiyo. Maneno ya kikatiba kwamba "au mtu mwenye madaraka ya aina nyingine yoyote itakayotajwa na sheria.....", yana nguvu za kisheria.
Baada ya hapo turejee kwenye katiba, cheo cha Naibu Spika kinatambuliwa na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Ibara ya 85 (1). Isemayo, 85.-(1) Kutakuwa na Naibu wa Spika wa Bunge ambaye atachaguliwa na wajumbe kutoka miongoni mwa Wabunge.
Hivyo ndio kusema kinatambuliwa Katiba ambayo ni sheria MAMA, na kwahivyo, Naibu Spika anaingia kwenye kundi la wanaokatazwa kugombea Uspika kupitia Ibara ya 84 (2) kwa maneno ya kikatiba yasemayo "au mtu mwenye madaraka ya aina nyingine yoyote itakayotajwa na sheria....."
Kuna athari nyingi za kisheria, kimantiki na kimaslahi ikiwa Naibu Spika ataachwa aendelee na mchakato wa kugombea Uspika,
1. Ni wakati gani Naibu Spika ataachia kiti chake ili kujinadi na kupigiwa kura kuwa Spika?
2. Je wakati anaomba kura na zoezi la kura likiwa linaendelea je ataendelea kuwa Naibu Spika?
3. Iwapo Naibu spika aamue kutokujihuzulu wakati wa mchakato wa kura mpaka matokeo kutangazwa na akashinda, maana yake ni kwamba, kwa vyovyote vile kuna muda walau hata wa dakika moja atakuwa ameshika vyeo vyote viwili kwa pamoja.
4. Mchakato hauwezi kuwa huru sana, hata kuanzia kwenye chama chake kwa kuwa watalazimika kujadili intergrity ya mtu ambaye bado ni kiongozi, je implication ya chama chake au bunge kutompitisha ni yapi?
Ukisoma ibara ya 85(4) a to c, zimeelezea events za Naibu speaker kupoteza mamlaka yake. Kitendo cha yeye kuchukua fomu kugombea U-Speaker, it means kinamfanya apoteze mamlaka yake ya Unaibu Speaker chini ya Ibara ya 85(4)(b).
Wako wanaodhani kuwa kwakuwa kachukua fomu tu kwenye Chama chake basi hajavunja sheria ambayo ndio Katiba, hadi angalau apitishwe na chama chake ndio anaweza kujiuzulu. Nooo mchakato wa Kugombea kisheria na Kikatiba unaanzia pale dakika ya kwanza unapochukua fomu tu kwenye chama chako.
Ukweli unabaki kuwa, Mamlaka ya Speaker & Deputy Speaker yamewekwa na Katiba ya JMT.
Under common Jurisprudence ya Katiba ya Tanzania haiwezekani mtu mmoja kushikiria hizi mamlaka 2 kwa wakati mmoja. Hata kwa sekunde moja tu.
Ikitokea Tulia akapata U Speaker, automatically anakua ni Speaker na Naibu Speaker at the same time, this is Constitutional breach. She is supposed to resign her current position in order to be eligible to contest nafasi ya U- Speaker.
Ili kuelewa zaidi Msimamo wa Kikatiba na Kisheria, Soma kwa Construction approach kwa pamoja Vifungu vifauatavyo;
1. Ibara ya 84 Katiba.
2. Ibara ya 85(1&2) Katiba.
3. Kif.41(2) Sheria ya Kinga, Haki na Madaraka ya Bunge.
4. Ibara 149(1)(c) Katiba.
Swali la kujiuliza ni Je, Kujiuzulu kwa Spika Ndugai kumefuta na Naibu wake Tulia Ackson automatically?
Kama Tulia hajafutiwa madaraka yake, je anagombeaje nafasi ya Spika wakati yeye kwa sasa ndiye anakaimu nafasi ya Spika kwa Kifungu cha 41 cha Sheria ya Madaraka ya Bunge.
Na Yericko Nyerere
View attachment 2080587
View attachment 2080589
View attachment 2080590
Hoja ya Naibu spika Dr. Tulia inasimama kwenye maneno mafupi anayoyachagua bila kumaliza yote katika Ibara ya 84(2) ya katiba. Maneno aliyoyachagua katika Ibara hiyo haijatoa katazo la moja kwa moja kwa Naibu spika kugombea Uspika. Waliokatazwa kwakutaja moja kwa moja ni Waziri au Naibu waziri lakini ibara hiyohiyo ina maneno mengine ili ikamilike, ambayo yanazuia watu wengine kugombea uspika kwakutumia maneno yasemayo, "..........au mtu mwenye madaraka ya aina nyingine yoyote yatakayotajwa na Sheria iliyotungwa na Bunge kwa madhumuni ya Ibara hiyo, huyu ndio hataweza kuchaguliwa kuwa Spika".
Dr. Tulia ni mwanasheria anatumia udhaifu wa Watanzania wachache na hasa Wabunge wenzake waliowengi ambao ni mbumbumbu wa Sheria anawarubuni kuwa Katiba ya Tanzania haijamzuia yeye Naibu Spika kugombea Uspika. Hivyo anaamua kutojiuzulu kwanza Unaibu Spika ndipo agombee, badala yake anaamua kwenda navyo pacha.
Dr. Tulia anajenga hoja kwamba hakuna sheria ya Bunge inayomzuia. Lakini kikatiba ni kwamba, kwa kuwa hakuna sheria iliyotungwa na Bunge kumzuia Naibu Spika kuchaguliwa kuwa Spika, ni wazi kuwa Kisheria tunalazimika kuitumia Katiba kuwa sheria kwakuwa Katiba ni sheria MAMA. Sasa kwa Mujibu wa Ibara ya 84 (2) inayosema waliokatazwa ni Waziri au Naibu waziri au mtu mwenye madaraka ya aina nyingine yoyote yatakayotajwa na Sheria iliyotungwa na Bunge kwa madhumuni ya Ibara hiyo. Maneno ya kikatiba kwamba "au mtu mwenye madaraka ya aina nyingine yoyote itakayotajwa na sheria.....", yana nguvu za kisheria.
Baada ya hapo turejee kwenye katiba, cheo cha Naibu Spika kinatambuliwa na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Ibara ya 85 (1). Isemayo, 85.-(1) Kutakuwa na Naibu wa Spika wa Bunge ambaye atachaguliwa na wajumbe kutoka miongoni mwa Wabunge.
Hivyo ndio kusema kinatambuliwa Katiba ambayo ni sheria MAMA, na kwahivyo, Naibu Spika anaingia kwenye kundi la wanaokatazwa kugombea Uspika kupitia Ibara ya 84 (2) kwa maneno ya kikatiba yasemayo "au mtu mwenye madaraka ya aina nyingine yoyote itakayotajwa na sheria....."
Kuna athari nyingi za kisheria, kimantiki na kimaslahi ikiwa Naibu Spika ataachwa aendelee na mchakato wa kugombea Uspika,
1. Ni wakati gani Naibu Spika ataachia kiti chake ili kujinadi na kupigiwa kura kuwa Spika?
2. Je wakati anaomba kura na zoezi la kura likiwa linaendelea je ataendelea kuwa Naibu Spika?
3. Iwapo Naibu spika aamue kutokujihuzulu wakati wa mchakato wa kura mpaka matokeo kutangazwa na akashinda, maana yake ni kwamba, kwa vyovyote vile kuna muda walau hata wa dakika moja atakuwa ameshika vyeo vyote viwili kwa pamoja.
4. Mchakato hauwezi kuwa huru sana, hata kuanzia kwenye chama chake kwa kuwa watalazimika kujadili intergrity ya mtu ambaye bado ni kiongozi, je implication ya chama chake au bunge kutompitisha ni yapi?
Ukisoma ibara ya 85(4) a to c, zimeelezea events za Naibu speaker kupoteza mamlaka yake. Kitendo cha yeye kuchukua fomu kugombea U-Speaker, it means kinamfanya apoteze mamlaka yake ya Unaibu Speaker chini ya Ibara ya 85(4)(b).
Wako wanaodhani kuwa kwakuwa kachukua fomu tu kwenye Chama chake basi hajavunja sheria ambayo ndio Katiba, hadi angalau apitishwe na chama chake ndio anaweza kujiuzulu. Nooo mchakato wa Kugombea kisheria na Kikatiba unaanzia pale dakika ya kwanza unapochukua fomu tu kwenye chama chako.
Ukweli unabaki kuwa, Mamlaka ya Speaker & Deputy Speaker yamewekwa na Katiba ya JMT.
Under common Jurisprudence ya Katiba ya Tanzania haiwezekani mtu mmoja kushikiria hizi mamlaka 2 kwa wakati mmoja. Hata kwa sekunde moja tu.
Ikitokea Tulia akapata U Speaker, automatically anakua ni Speaker na Naibu Speaker at the same time, this is Constitutional breach. She is supposed to resign her current position in order to be eligible to contest nafasi ya U- Speaker.
Ili kuelewa zaidi Msimamo wa Kikatiba na Kisheria, Soma kwa Construction approach kwa pamoja Vifungu vifauatavyo;
1. Ibara ya 84 Katiba.
2. Ibara ya 85(1&2) Katiba.
3. Kif.41(2) Sheria ya Kinga, Haki na Madaraka ya Bunge.
4. Ibara 149(1)(c) Katiba.
Swali la kujiuliza ni Je, Kujiuzulu kwa Spika Ndugai kumefuta na Naibu wake Tulia Ackson automatically?
Kama Tulia hajafutiwa madaraka yake, je anagombeaje nafasi ya Spika wakati yeye kwa sasa ndiye anakaimu nafasi ya Spika kwa Kifungu cha 41 cha Sheria ya Madaraka ya Bunge.
Na Yericko Nyerere
View attachment 2080587
View attachment 2080589
View attachment 2080590
Ndugu yeriko Tafsiri ya vifungu vya katiba unavitoa kichwani mwako au kuna ndugu kakuambia...naomba unijibu maswali yangu kama ifuatavyo,Unataka apoteze mwana na taulo?
P nakuheshimu lakini kwa kuunga kwako hoja ya Yerriko nimesikitika mnoo.Naunga mkono hoja, mimi huu nimeuita ubatili !.
PJe, wajua haramu isipoharimishwa inageuka halali? Na batili isipobatilishwa inageuka halali. Je, tuhalalishe ubatili huu kwa mhimili wetu wa Bunge?
Wanabodi, Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama kawaida yangu, kila nipatapo nafasi, huwa natoa makala elimishi za kisiasa, kiuchumi na kijamii ziitwazo "Kwa Maslahi ya Taifa" kwa lengo la uzalendo kwa nchi yangu, kuisaidia nchi yetu, serikali yetu, viongozi wetu na...www.jamiiforums.com
Anataka vyoote ili mafao yawe manene awe bilionea kama NdugaeNatamani wajitokeze saizi wengine wachukue form za kugombea unaibu ingawa huyu mama hajaachia kiti[emoji23]
Hata wakati wa kumpandikiza Unaibu Spika ilikuwa hivihivi.Hoja ya Naibu spika Dr. Tulia inasimama kwenye maneno mafupi anayoyachagua bila kumaliza yote katika Ibara ya 84(2) ya katiba. Maneno aliyoyachagua katika Ibara hiyo haijatoa katazo la moja kwa moja kwa Naibu spika kugombea Uspika. Waliokatazwa kwakutaja moja kwa moja ni Waziri au Naibu waziri lakini ibara hiyohiyo ina maneno mengine ili ikamilike, ambayo yanazuia watu wengine kugombea uspika kwakutumia maneno yasemayo, "..........au mtu mwenye madaraka ya aina nyingine yoyote yatakayotajwa na Sheria iliyotungwa na Bunge kwa madhumuni ya Ibara hiyo, huyu ndio hataweza kuchaguliwa kuwa Spika".
Dr. Tulia ni mwanasheria anatumia udhaifu wa Watanzania wachache na hasa Wabunge wenzake waliowengi ambao ni mbumbumbu wa Sheria anawarubuni kuwa Katiba ya Tanzania haijamzuia yeye Naibu Spika kugombea Uspika. Hivyo anaamua kutojiuzulu kwanza Unaibu Spika ndipo agombee, badala yake anaamua kwenda navyo pacha.
Dr. Tulia anajenga hoja kwamba hakuna sheria ya Bunge inayomzuia. Lakini kikatiba ni kwamba, kwa kuwa hakuna sheria iliyotungwa na Bunge kumzuia Naibu Spika kuchaguliwa kuwa Spika, ni wazi kuwa Kisheria tunalazimika kuitumia Katiba kuwa sheria kwakuwa Katiba ni sheria MAMA. Sasa kwa Mujibu wa Ibara ya 84 (2) inayosema waliokatazwa ni Waziri au Naibu waziri au mtu mwenye madaraka ya aina nyingine yoyote yatakayotajwa na Sheria iliyotungwa na Bunge kwa madhumuni ya Ibara hiyo. Maneno ya kikatiba kwamba "au mtu mwenye madaraka ya aina nyingine yoyote itakayotajwa na sheria.....", yana nguvu za kisheria.
Baada ya hapo turejee kwenye katiba, cheo cha Naibu Spika kinatambuliwa na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Ibara ya 85 (1). Isemayo, 85.-(1) Kutakuwa na Naibu wa Spika wa Bunge ambaye atachaguliwa na wajumbe kutoka miongoni mwa Wabunge.
Hivyo ndio kusema kinatambuliwa Katiba ambayo ni sheria MAMA, na kwahivyo, Naibu Spika anaingia kwenye kundi la wanaokatazwa kugombea Uspika kupitia Ibara ya 84 (2) kwa maneno ya kikatiba yasemayo "au mtu mwenye madaraka ya aina nyingine yoyote itakayotajwa na sheria....."
Kuna athari nyingi za kisheria, kimantiki na kimaslahi ikiwa Naibu Spika ataachwa aendelee na mchakato wa kugombea Uspika,
1. Ni wakati gani Naibu Spika ataachia kiti chake ili kujinadi na kupigiwa kura kuwa Spika?
2. Je wakati anaomba kura na zoezi la kura likiwa linaendelea je ataendelea kuwa Naibu Spika?
3. Iwapo Naibu spika aamue kutokujihuzulu wakati wa mchakato wa kura mpaka matokeo kutangazwa na akashinda, maana yake ni kwamba, kwa vyovyote vile kuna muda walau hata wa dakika moja atakuwa ameshika vyeo vyote viwili kwa pamoja.
4. Mchakato hauwezi kuwa huru sana, hata kuanzia kwenye chama chake kwa kuwa watalazimika kujadili intergrity ya mtu ambaye bado ni kiongozi, je implication ya chama chake au bunge kutompitisha ni yapi?
Ukisoma ibara ya 85(4) a to c, zimeelezea events za Naibu speaker kupoteza mamlaka yake. Kitendo cha yeye kuchukua fomu kugombea U-Speaker, it means kinamfanya apoteze mamlaka yake ya Unaibu Speaker chini ya Ibara ya 85(4)(b).
Wako wanaodhani kuwa kwakuwa kachukua fomu tu kwenye Chama chake basi hajavunja sheria ambayo ndio Katiba, hadi angalau apitishwe na chama chake ndio anaweza kujiuzulu. Nooo mchakato wa Kugombea kisheria na Kikatiba unaanzia pale dakika ya kwanza unapochukua fomu tu kwenye chama chako.
Ukweli unabaki kuwa, Mamlaka ya Speaker & Deputy Speaker yamewekwa na Katiba ya JMT.
Under common Jurisprudence ya Katiba ya Tanzania haiwezekani mtu mmoja kushikiria hizi mamlaka 2 kwa wakati mmoja. Hata kwa sekunde moja tu.
Ikitokea Tulia akapata U Speaker, automatically anakua ni Speaker na Naibu Speaker at the same time, this is Constitutional breach. She is supposed to resign her current position in order to be eligible to contest nafasi ya U- Speaker.
Ili kuelewa zaidi Msimamo wa Kikatiba na Kisheria, Soma kwa Construction approach kwa pamoja Vifungu vifauatavyo;
1. Ibara ya 84 Katiba.
2. Ibara ya 85(1&2) Katiba.
3. Kif.41(2) Sheria ya Kinga, Haki na Madaraka ya Bunge.
4. Ibara 149(1)(c) Katiba.
Swali la kujiuliza ni Je, Kujiuzulu kwa Spika Ndugai kumefuta na Naibu wake Tulia Ackson automatically?
Kama Tulia hajafutiwa madaraka yake, je anagombeaje nafasi ya Spika wakati yeye kwa sasa ndiye anakaimu nafasi ya Spika kwa Kifungu cha 41 cha Sheria ya Madaraka ya Bunge.
Na Yericko Nyerere
View attachment 2080587
View attachment 2080589
View attachment 2080590
Kifungu?Tulia amechukua form ya kuomba kuteuliwa kugombea nafasi ya spika, na bado hajateuliwa . . Hivyo u naibu spika utakoma tu iwapo chama chake kitampitisha kuwania kiti cha spika .
Hatari sanaAtakuwa spika na naibu spika
Soma vizuri maelezo ya vifungu mlivonukuu. Uchaguzi unafanyika ndani ya bunge na huu ni mchakato wa ndani ya CCM sasa leteni vifungu vya kisheria vya CCM vinavyomkataza tulia asuchukue form ndaninya CCM.Kifungu?
Upo sahihi LAKINI HUJAMJIBU KISHERIA bali kishabiki!!Wewe ni bush lawyer unayesoma Katiba kama novel. Swali la msingi unalopaswa kujiuliza na kulitafutia jibu ni: Kwanini waliokatazwa kwa kutajwa wazi wamekatazwa? Jibu la msingi ni kuzuia conflicts of interest. Huwezi kuwa na speaker ambaye ni sehemu ya mhimili wa executive au judiciary. Hiyo mihimili mitatu inakuwa kept separate for a reason: CHECKS AND BALANCES. Mtumishi yeyote wa mhimili wa executive au judiciary, hata kama hajatajwa waziwazi, hawezi kuwa na sifa za kugombea kiti cha speaker.
Deputy Speaker Tulia, kama mbunge asiye na majukumu mengine kwenye mihimili mingine, hana potential conflict of interest yoyote Bungeni. Sio sahihi kusema Katiba haimruhusu kugombea kiti cha Speaker!
Ni uzembe kujaribu kuchangia kwenye mijadala ambayo huwezi kuchangia intelligently and meaningfully. Umeandika sana, lakini that was just wastage of your own time (on nonsense)!
Hivi Watanganyika tumeridhika kabisa kuporwa pesa na huyu mama na kundi lake?Usitegemee Taifa ambalo Rais wake ni fisadi anaehamasisha ufisadi kwenye serikali yake tena kupitia TV ya Taifa liwe na viongozi wenye akili timamu.
View attachment 2080597
Tulia amechukua form ya kuomba kuteuliwa kugombea nafasi ya spika, na bado hajateuliwa . . Hivyo u naibu spika utakoma tu iwapo chama chake kitampitisha kuwania kiti cha spika .
Bora ungekaa kimya kuliko kujibu usiyoyajua. CCM ina katiba na nchi ina katiba na popote pale inapotokea mgongano wa kimaslahi baina ya mifumo, taasisi au vyama katiba ya nchi inatakiwa iwe ndio jibu la mwisho hata kama vyama husika katiba zao hazijasema chochote.Soma vizuri maelezo ya vifungu mlivonukuu. Uchaguzi unafanyika ndani ya bunge na huu ni mchakato wa ndani ya CCM sasa leteni vifungu vya kisheria vya CCM vinavyomkataza tulia asuchukue form ndaninya CCM.
Upo sahihi LAKINI HUJAMJIBU KISHERIA bali kishabiki!!
Huu ushabiki ndio nami umenifanya nisite kujibu kwa vile inavyotakiwa ndo maana nimemuuliza Yericko Nyerere kama anakiamini alichaondika or it's just yale mambo yetu!!
Labda pia nimuulize na Pascal Mayalla aliyeunga mkono hoja... DO YOU REALLY BELIEVE Yericko is right?
Nilikuwa maporini kwa siku kadhaa, ni network no connecti, Mama kaongea lini haya, mbona watoto wa mjini hii fursa wataichukukia serious sana.Usitegemee Taifa ambalo Rais wake ni fisadi anaehamasisha ufisadi kwenye serikali yake tena kupitia TV ya Taifa liwe na viongozi wenye akili timamu.
View attachment 2080597
.......Sheria iliyotungwa na bunge....Hoja ya Naibu spika Dr. Tulia inasimama kwenye maneno mafupi anayoyachagua bila kumaliza yote katika Ibara ya 84(2) ya katiba. Maneno aliyoyachagua katika Ibara hiyo haijatoa katazo la moja kwa moja kwa Naibu spika kugombea Uspika. Waliokatazwa kwakutaja moja kwa moja ni Waziri au Naibu waziri lakini ibara hiyohiyo ina maneno mengine ili ikamilike, ambayo yanazuia watu wengine kugombea uspika kwakutumia maneno yasemayo, "..........au mtu mwenye madaraka ya aina nyingine yoyote yatakayotajwa na Sheria iliyotungwa na Bunge kwa madhumuni ya Ibara hiyo, huyu ndio hataweza kuchaguliwa kuwa Spika".
Dr. Tulia ni mwanasheria anatumia udhaifu wa Watanzania wachache na hasa Wabunge wenzake waliowengi ambao ni mbumbumbu wa Sheria anawarubuni kuwa Katiba ya Tanzania haijamzuia yeye Naibu Spika kugombea Uspika. Hivyo anaamua kutojiuzulu kwanza Unaibu Spika ndipo agombee, badala yake anaamua kwenda navyo pacha.
Dr. Tulia anajenga hoja kwamba hakuna sheria ya Bunge inayomzuia. Lakini kikatiba ni kwamba, kwa kuwa hakuna sheria iliyotungwa na Bunge kumzuia Naibu Spika kuchaguliwa kuwa Spika, ni wazi kuwa Kisheria tunalazimika kuitumia Katiba kuwa sheria kwakuwa Katiba ni sheria MAMA. Sasa kwa Mujibu wa Ibara ya 84 (2) inayosema waliokatazwa ni Waziri au Naibu waziri au mtu mwenye madaraka ya aina nyingine yoyote yatakayotajwa na Sheria iliyotungwa na Bunge kwa madhumuni ya Ibara hiyo. Maneno ya kikatiba kwamba "au mtu mwenye madaraka ya aina nyingine yoyote itakayotajwa na sheria.....", yana nguvu za kisheria.
Baada ya hapo turejee kwenye katiba, cheo cha Naibu Spika kinatambuliwa na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Ibara ya 85 (1). Isemayo, 85.-(1) Kutakuwa na Naibu wa Spika wa Bunge ambaye atachaguliwa na wajumbe kutoka miongoni mwa Wabunge.
Hivyo ndio kusema kinatambuliwa Katiba ambayo ni sheria MAMA, na kwahivyo, Naibu Spika anaingia kwenye kundi la wanaokatazwa kugombea Uspika kupitia Ibara ya 84 (2) kwa maneno ya kikatiba yasemayo "au mtu mwenye madaraka ya aina nyingine yoyote itakayotajwa na sheria....."
Kuna athari nyingi za kisheria, kimantiki na kimaslahi ikiwa Naibu Spika ataachwa aendelee na mchakato wa kugombea Uspika,
1. Ni wakati gani Naibu Spika ataachia kiti chake ili kujinadi na kupigiwa kura kuwa Spika?
2. Je wakati anaomba kura na zoezi la kura likiwa linaendelea je ataendelea kuwa Naibu Spika?
3. Iwapo Naibu spika aamue kutokujihuzulu wakati wa mchakato wa kura mpaka matokeo kutangazwa na akashinda, maana yake ni kwamba, kwa vyovyote vile kuna muda walau hata wa dakika moja atakuwa ameshika vyeo vyote viwili kwa pamoja.
4. Mchakato hauwezi kuwa huru sana, hata kuanzia kwenye chama chake kwa kuwa watalazimika kujadili intergrity ya mtu ambaye bado ni kiongozi, je implication ya chama chake au bunge kutompitisha ni yapi?
Ukisoma ibara ya 85(4) a to c, zimeelezea events za Naibu speaker kupoteza mamlaka yake. Kitendo cha yeye kuchukua fomu kugombea U-Speaker, it means kinamfanya apoteze mamlaka yake ya Unaibu Speaker chini ya Ibara ya 85(4)(b).
Wako wanaodhani kuwa kwakuwa kachukua fomu tu kwenye Chama chake basi hajavunja sheria ambayo ndio Katiba, hadi angalau apitishwe na chama chake ndio anaweza kujiuzulu. Nooo mchakato wa Kugombea kisheria na Kikatiba unaanzia pale dakika ya kwanza unapochukua fomu tu kwenye chama chako.
Ukweli unabaki kuwa, Mamlaka ya Speaker & Deputy Speaker yamewekwa na Katiba ya JMT.
Under common Jurisprudence ya Katiba ya Tanzania haiwezekani mtu mmoja kushikiria hizi mamlaka 2 kwa wakati mmoja. Hata kwa sekunde moja tu.
Ikitokea Tulia akapata U Speaker, automatically anakua ni Speaker na Naibu Speaker at the same time, this is Constitutional breach. She is supposed to resign her current position in order to be eligible to contest nafasi ya U- Speaker.
Ili kuelewa zaidi Msimamo wa Kikatiba na Kisheria, Soma kwa Construction approach kwa pamoja Vifungu vifauatavyo;
1. Ibara ya 84 Katiba.
2. Ibara ya 85(1&2) Katiba.
3. Kif.41(2) Sheria ya Kinga, Haki na Madaraka ya Bunge.
4. Ibara 149(1)(c) Katiba.
Swali la kujiuliza ni Je, Kujiuzulu kwa Spika Ndugai kumefuta na Naibu wake Tulia Ackson automatically?
Kama Tulia hajafutiwa madaraka yake, je anagombeaje nafasi ya Spika wakati yeye kwa sasa ndiye anakaimu nafasi ya Spika kwa Kifungu cha 41 cha Sheria ya Madaraka ya Bunge.
Na Yericko Nyerere
View attachment 2080587
View attachment 2080589
View attachment 2080590
''Una akili nimeelewa sana''ubarikiweHoja ya Naibu spika Dr. Tulia inasimama kwenye maneno mafupi anayoyachagua bila kumaliza yote katika Ibara ya 84(2) ya katiba. Maneno aliyoyachagua katika Ibara hiyo haijatoa katazo la moja kwa moja kwa Naibu spika kugombea Uspika. Waliokatazwa kwakutaja moja kwa moja ni Waziri au Naibu waziri lakini ibara hiyohiyo ina maneno mengine ili ikamilike, ambayo yanazuia watu wengine kugombea uspika kwakutumia maneno yasemayo, "..........au mtu mwenye madaraka ya aina nyingine yoyote yatakayotajwa na Sheria iliyotungwa na Bunge kwa madhumuni ya Ibara hiyo, huyu ndio hataweza kuchaguliwa kuwa Spika".