Tulia Ackson ana uroho wa Madaraka

Tulia Ackson ana uroho wa Madaraka

Anatuchafua wanyakyusa,watasema kwetu kuna njaa kumbe matoki kedekede
Kugombea kwa Tulia kunahusiana nini na kabila? Mawazo ya kijinga sana na chuki, wewe una chuki na wanyakyusa na wala si mnyakyusa ila ni mkabila unataka kujenga chuki.

Mambo ya Tulia mzungumzie kama yeye usihusishe kabila lake huo ni upuuzi. Hapa watu hawajadili makibila au unataka kutambika? acha mawazo mepesi
 
Amechukua fomu ya kugombea kiti cha Spika pasipo kujiuzulu U Naibu Spika kwa lengo la kuwa akishindwa aendelee kuwa Naibu Spika, Huu ndio unaoitwa uroho wa madaraka wenyewe...
Atashindwaje?
 
Kugombea kwa Tulia kunahusiana nini na kabila? Mawazo ya kijinga sana na chuki, wewe una chuki na wanyakyusa na wala si mnyakyusa ila ni mkabila unataka kujenga chuki. Mambo ya Tulia mzungumzie kama yeye usihusishe kabila lake huo ni upuuzi. Hapa watu hawajadili makibila au unataka kutambika? acha mawazo mepesi
Sawa mkuu
 
Amechukua fomu ya kugombea kiti cha Spika pasipo kujiuzulu U Naibu Spika kwa lengo la kuwa akishindwa aendelee kuwa Naibu Spika, Huu ndio unaoitwa uroho wa madaraka wenyewe...
Nyie CHADEMA mna akili finyu.

Mnawapenda wana CCM kama Makonda na Sabaya ili mpate kurusga madongo.

Watu wenye akili na wanaojiamini mnawalaumu hata bila kujua mnakaumu nini.
 
Ni zamu ya wanawake...wanawake wanaweza ...hawa wake zetu tuwape panga na bakora watutawale kwa busara na hekima..🥴🥴
 
Dr Tulia, nadhani aliapa kuilinda na kufuata Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kama ilivyowekwa na Sheria.

Kama amevunja katiba,hafai na CCM ifanye maamuzi yake kwa Mujibu wa katiba na Sheria zilizowekwa.

Mwenyekiti wa CCM na wajumbe wa kamati kuu,Ni watu wenye weledi na wanafuata katiba na Sheria,hawawezi kuvunja katiba na Sheria.

Ushauri:
Mwanasheria Mkuu au Mahakama itoe legal opine,kusaidia vyombo vya maamuzi kufikia uamuzi sahihi bila uonevu au upendeleo,nchi yetu sote.
 
Amechukua fomu ya kugombea kiti cha Spika pasipo kujiuzulu U Naibu Spika kwa lengo la kuwa akishindwa aendelee kuwa Naibu Spika, Huu ndio unaoitwa uroho wa madaraka wenyewe...
Wanawake hawafai kwenye uongozi wowote itakuwa kosa la maumivu makubwa sana kwa nchi na wanaccm pamoja na wabunge kuchagua mwanamke kwenye hiyo nafasi
 
Nyie CHADEMA mna akili finyu.
Mnawapenda wana CCM kama Makonda na Sabaya ili mpate kurusga madongo.
Watu wenye akili na wanaojiamini mnawalaumu hata bila kujua mnakaumu nini.
Wenye akili kama Kabudi? na wanaojiamini kama Ndugai? Mbona wote wanapigwa spana tuuu, wakifanya vizuri wanasifiwa wakikosea wanakosolewa tu, praise & worship wameachiwa Uvccm kila mtu ashinde mechi zake.
 
.
IMG-20220112-WA0001.jpg
 
Wenye akili kama Kabudi? na wanaojiamini kama Ndugai? Mbona wote wanapigwa spana tuuu, wakifanya vizuri wanasifiwa wakikosea wanakosolewa tu, praise & worship wameachiwa Uvccm kila mtu ashinde mechi zake.
Kwa hiyi role models wako ni Kabudi wa jalalani na Ndugai aliyekose yeye, akakosa sana, na akakosa yeye, Mungu amsaidie!
Tusiwe emotional thinkers bali critical thinkers.
 
Ni zamu ya wanawake...wanawake wanaweza ...hawa wake zetu tuwape panga na bakora watutawale kwa busara na hekima..🥴🥴
Hata Jaji Mkuu awe mwanamke? Mihimili yote iongozwe na wanawake.
 
Kwa hiyi role models wako ni Kabudi wa jalalani na Ndugai aliyekose yeye, akakosa sana, na akakosa yeye, Mungu amsaidie!
Tusiwe emotional thinkers bali critical thinkers.
Kumtaja mtu sio kwamba ni role model wako kwani Role model wako ni nani Sabaya?
 
Amechukua fomu ya kugombea kiti cha Spika pasipo kujiuzulu U Naibu Spika kwa lengo la kuwa akishindwa aendelee kuwa Naibu Spika, Huu ndio unaoitwa uroho wa madaraka wenyewe...
Ngoja wapambanoshqe na gwiji la sheria dudu Chenge....atamwekea kikwazo
 
Back
Top Bottom