Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Sio leo tu, mimi always ni mkweli daima!.Angalau leo umesimamia UKWELI. Hapa umetenda haki
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio leo tu, mimi always ni mkweli daima!.Angalau leo umesimamia UKWELI. Hapa umetenda haki
Kwani Tulia kachukua likizo?Una uhakika? Ataachia baada ya matokeo,mara ngapi tunaona watumishi wa umma wanaenda kugombea madaraka ya kiasiasa wakishindwa wanarudi ,wanachukua likizo isiyo na malipo.
Wewe ndio Katibu wa Bunge?Kwani Tulia kachukua likizo?
Kugombea kwa Tulia kunahusiana nini na kabila? Mawazo ya kijinga sana na chuki, wewe una chuki na wanyakyusa na wala si mnyakyusa ila ni mkabila unataka kujenga chuki.Anatuchafua wanyakyusa,watasema kwetu kuna njaa kumbe matoki kedekede
Atashindwaje?Amechukua fomu ya kugombea kiti cha Spika pasipo kujiuzulu U Naibu Spika kwa lengo la kuwa akishindwa aendelee kuwa Naibu Spika, Huu ndio unaoitwa uroho wa madaraka wenyewe...
Sawa mkuuKugombea kwa Tulia kunahusiana nini na kabila? Mawazo ya kijinga sana na chuki, wewe una chuki na wanyakyusa na wala si mnyakyusa ila ni mkabila unataka kujenga chuki. Mambo ya Tulia mzungumzie kama yeye usihusishe kabila lake huo ni upuuzi. Hapa watu hawajadili makibila au unataka kutambika? acha mawazo mepesi
Nyie CHADEMA mna akili finyu.Amechukua fomu ya kugombea kiti cha Spika pasipo kujiuzulu U Naibu Spika kwa lengo la kuwa akishindwa aendelee kuwa Naibu Spika, Huu ndio unaoitwa uroho wa madaraka wenyewe...
Huioni alama ya kuuliza?Wewe ndio Katibu wa Bunge?
Wanawake hawafai kwenye uongozi wowote itakuwa kosa la maumivu makubwa sana kwa nchi na wanaccm pamoja na wabunge kuchagua mwanamke kwenye hiyo nafasiAmechukua fomu ya kugombea kiti cha Spika pasipo kujiuzulu U Naibu Spika kwa lengo la kuwa akishindwa aendelee kuwa Naibu Spika, Huu ndio unaoitwa uroho wa madaraka wenyewe...
Wenye akili kama Kabudi? na wanaojiamini kama Ndugai? Mbona wote wanapigwa spana tuuu, wakifanya vizuri wanasifiwa wakikosea wanakosolewa tu, praise & worship wameachiwa Uvccm kila mtu ashinde mechi zake.Nyie CHADEMA mna akili finyu.
Mnawapenda wana CCM kama Makonda na Sabaya ili mpate kurusga madongo.
Watu wenye akili na wanaojiamini mnawalaumu hata bila kujua mnakaumu nini.
… na ustaarabu.Ana akili lakini kakosa maarifa na weledi
Kwa hiyi role models wako ni Kabudi wa jalalani na Ndugai aliyekose yeye, akakosa sana, na akakosa yeye, Mungu amsaidie!Wenye akili kama Kabudi? na wanaojiamini kama Ndugai? Mbona wote wanapigwa spana tuuu, wakifanya vizuri wanasifiwa wakikosea wanakosolewa tu, praise & worship wameachiwa Uvccm kila mtu ashinde mechi zake.
Hata Jaji Mkuu awe mwanamke? Mihimili yote iongozwe na wanawake.Ni zamu ya wanawake...wanawake wanaweza ...hawa wake zetu tuwape panga na bakora watutawale kwa busara na hekima..🥴🥴
Kumtaja mtu sio kwamba ni role model wako kwani Role model wako ni nani Sabaya?Kwa hiyi role models wako ni Kabudi wa jalalani na Ndugai aliyekose yeye, akakosa sana, na akakosa yeye, Mungu amsaidie!
Tusiwe emotional thinkers bali critical thinkers.
Ngoja wapambanoshqe na gwiji la sheria dudu Chenge....atamwekea kikwazoAmechukua fomu ya kugombea kiti cha Spika pasipo kujiuzulu U Naibu Spika kwa lengo la kuwa akishindwa aendelee kuwa Naibu Spika, Huu ndio unaoitwa uroho wa madaraka wenyewe...