Tulia Ackson atoa msimamo wa Bunge, asema Rais ni Mkuu wa Nchi na ana mambo yote!

Tulia akiwa speaker mmh!Hajiamini ndiyo maana statement zake ni za kujipendekeza kwa wateule na kukomand wabunge wenzake.Position yake inahitaji mtu aliye neutral katika uendeshaji wa shughuli za bunge.
 
Tulia Ackson is one the dumbest deputy speaker the country has ever have.

Dr Tulia Akson Mwansasu ndiye Spika wetu mpya ajaye. Utanisamehe, sio mimi, bali ni sauti hii
Hivyo endeleeni kusema yoote, mwisho wa siku Spika ni yule tuu aliyepangiwa, hivyo kama sauti hiyo ni ya ukweli, ... then Spika wetu mpya ni Dr. Tulia.
P
 
Submission speech😁😁😁
Your browser is not able to display this video.

Sio bure; huu ni uchizi.

Nimemdharau sana. Hafai hata kuwa naibu speaker tu!
Mdharau tuu ila...

Dr Tulia Akson Mwansasu ndiye Spika wetu mpya ajaye. Utanisamehe, sio mimi, bali ni sauti hii
Hivyo endeleeni kusema yoote, mwisho wa siku Spika ni yule tuu aliyepangiwa, hivyo kama sauti hiyo ni ya ukweli, ... then Spika wetu mpya ni Dr. Tulia.
P
 
Mpaka hapo hatuna spika, akiwa spika atazuia sana mijadala ndani ya bunge

Dr Tulia Akson Mwansasu ndiye Spika wetu mpya ajaye. Utanisamehe, sio mimi, bali ni sauti hii
Hivyo endeleeni kusema yoote, mwisho wa siku Spika ni yule tuu aliyepangiwa, hivyo kama sauti hiyo ni ya ukweli, ... then Spika wetu mpya ni Dr. Tulia.
P
 
Huo ndiyo ukweli na Tulia yupo sahihi
 
Huu ndio ukweli wenyewe na huyu

.

Dr Tulia Akson Mwansasu ndiye Spika wetu mpya ajaye. Utanisamehe, sio mimi, bali ni sauti hii
Hivyo endeleeni kusema yoote, mwisho wa siku Spika ni yule tuu aliyepangiwa, hivyo kama sauti hiyo ni ya ukweli, ... then Spika wetu mpya ni Dr. Tulia.
P
 
Dr Tulia Akson Mwansasu ndiye Spika wetu mpya ajaye. Utanisamehe, sio mimi, bali ni sauti hii
Hivyo endeleeni kusema yoote, mwisho wa siku Spika ni yule tuu aliyepangiwa, hivyo kama sauti hiyo ni ya ukweli, ... then Spika wetu mpya ni Dr. Tulia.
P
 
Alichoongea ni kama kujikomba tu lengo lake ni kujisafishia njia kuukwaa uspika, ingawa hatoshi wala hafai
Endelea kusema hatoshi wala hadi.. lakini, Dr Tulia Akson Mwansasu ndiye Spika wetu mpya ajaye. Utanisamehe, sio mimi, bali ni sauti hii
Hivyo endeleeni kusema yoote, mwisho wa siku Spika ni yule tuu aliyepangiwa, hivyo kama sauti hiyo ni ya ukweli, ... then Spika wetu mpya ni Dr. Tulia.
P
 
Na huyu ndio huenda akawa Spika mtu mwenye mtizamo wa hivyo ?

Dr Tulia Akson Mwansasu ndiye Spika wetu mpya ajaye. Utanisamehe, sio mimi, bali ni sauti hii
Hivyo endeleeni kusema yoote, mwisho wa siku Spika ni yule tuu aliyepangiwa, hivyo kama sauti hiyo ni ya ukweli, ... then Spika wetu mpya ni Dr. Tulia.
P
 
Kilichofanyika jana ni utangulizi wa utambulisho wa Dr Tulia kwamba aja rasmi.
 
Mkuu Richard , wengi humu hawaoni mbali, mbele. Ile hotuba ya jana ya Dr. Tulia, ni hotuba ya kufungia kampeni ya uspika!, kinachoendelea ni mchakato tuu wa kukamilishwa taratibu!.
P
 
Ki nadharia wote wanaonekana kama wapo sawa, ila kiutendaji Raisi ana majukumu nyeti na ana mamlaka nyingi
Hiyo kinadharia yenyewe umeitoa wapi!! Hivi ni awamu ipi mliona haya mnayoyataka yawe sasa hivi.!! Bado mnashida ya utambuz
 
Mkuu Richard , wengi humu hawaoni mbali, mbele. Ile hotuba ya jana ya Dr. Tulia, ni hotuba ya kufungia kampeni ya uspika!, kinachoendelea ni mchakato tuu wa kukamilishwa taratibu!.
P
Mkuu, hata wazungu bado hadi leo wapata shida sana kuelewa jinsi serikali yetu inavyofanya mambo yake.

Yaani kitaalam yasemwa "government mechanism" ambayo kuna mastratejia wengine hujikita kujifunza how our governement works.

Ndo maana nchi yetu hutembelewa sana na mazee wa majasusi wa kutukuka wengine wakiwa mabalozi ili wajifunze wapi pa kupenyea.

Sasa hata sisi hapa kwetu wapo viongozi ambao pia hawafahamu hii "Government Mechanism" inafanya vipi kazi zake na hawajifunzi madhara ya kwenda against.

Kila kiongozi huja na yake ila akikutana na hii GM huenda akijifunza lakini kama hawezi kufanya "blending" basi hupata shida.

Lakini hii ni Afrika na hii ndo demokrasia (kulindana kutimuana na kutandikana) kisha mtu anajitoa kimyakimya ambayo wengi wanaonekana kuipenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…