Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni kwa mujibu wa Katiba gani?Rais hata akichaguliwa, lazima awasilishe kwa Rais hesabu zake za Mali anazomiliki, na uthibitisho kuwa kweli anayo maadili ya kuwa spika,,,
Pale ni jalalani!... ana PhD ya sheria na amefundisha sana udsm the best university in the country!
Tulia Ackson is one the dumbest deputy speaker the country has ever have.
Mdharau tuu ila...Sio bure; huu ni uchizi.
Nimemdharau sana. Hafai hata kuwa naibu speaker tu!
Mpaka hapo hatuna spika, akiwa spika atazuia sana mijadala ndani ya bunge
Huo ndiyo ukweli na Tulia yupo sahihiNi kweli, Rais anateua judge mkuu,,, spika huwezi kuongoza bila kukubaliana na Rais hata akichaguliwa, lazima awasilishe kwa Rais hesabu zake za Mali anazomiliki, na uthibitisho kuwa kweli anayo maadili ya kuwa spika,,,
Huo ndo ukweli, mhimili mmoja umejichimbia, zaidi,,
Hatuwezi kuwa na mafahari watatu ndani ya nchi moja hii ni africa, ,itakuwa fujo
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
PhD na akili ya kawaida ni vitu tofauti.PhD ya sheria tena kali sana
Huu ndio ukweli wenyewe na huyuNaibu Spika akiongea katika hafla ya kuwaapisha mawaziri, manaibu na viongozi wengine, amewapongeza wote walioteuliwa na kuwashauri wameteuliwa kufanya kazi za Rais nao wao wanamsaidia hivyo wazifanye kama wasaidizi wa Rais wa Jamhuri wa Muungano na si vinginevyo. Kuhusu Bunge, amesema kuna watu wanahisi kazi ya Bunge kila wakati ni kukosoa pekee. Amesema uko wakati Bunge linaishauri Serikali, kuna wakati linatunga sheria pia uko wakati Bunge linaisimamia Serikali.
Tulia amesema katika kipindi cha awamu ya sita imekuwa ikiwasikiliza ushauri wa wabunge na imekuwa ikizifanyia kazi.
Kwa muktadha huo, Tulia amesema Bunge liko tayari kushirikiana na awamu ya sita kwa mambo yote ambayo itayaleta bungeni ili wasimamie Serikali.
Naibu Spika amesema pale ambapo wanahitaji kukosoa Serikali wataikosoa kwa heshma na kwa muktadha ambao katiba inaruhusu kufanya hivyo, kwenye kushauri watashauri na si lazima Serikali kufata ushauri wa Bunge lakini katiba imetoa nafasi ya Bunge kuisimamia Serikali na kupata fursa ya kuiuliza Serikali walifanyia ushauri gani.
''Mihimili yote ina kazi zake na hapo mheshimiwa Rais nisisitize jambo moja maana kunakuwa na upotoshaji, Rais ni mkuu wa nchi, wapo watu wanachukua hiyo sehemu inayosema Rais ni kiongozi wa Serikali lakini Rais ana mambo yote, ni mkuu wa nchi, ni kiongozi wa Serikali, ni amiri Jeshi mkuu wa nchi hii.
Naamini kwa ufafanuzi huu watu watafahamu kwamba Rais wa Jamhuri wa muungano wa Tanzania, mheshimiwa Samia Suluhu Hassan sio tu kiongozi wa Serikali lakini ni mkuu wa nchi kwa hiyo yeye uongozi wake hauko sawasawa yeyote wa mhimili wowote ulioko hapa nchini"
Alisema Naibu spika, Tulia Ackson
Hata mimi nimemsikia. Kwa kifupi, huyu hata Ndugai atakuwa na nafuu.
Kaongea alichongea ili kumfurahisha Mama ampe uspika, na akiupata, atakuwa ni bora Ndugai.
Wabunge kama mko makini, huyu msimpe uspika ingawa sioni uwezekano wa nyinyi kupinga chaguo la Raisi(Mwenyekiti wa CCM) ni nani awe spika.
Kwa sasa Mama anaweka Spika wake (atakaeilinda serikali yake Bungeni) na baadae ataweka Waziri Mkuu wake.
Endelea kusema hatoshi wala hadi.. lakini, Dr Tulia Akson Mwansasu ndiye Spika wetu mpya ajaye. Utanisamehe, sio mimi, bali ni sauti hiiAlichoongea ni kama kujikomba tu lengo lake ni kujisafishia njia kuukwaa uspika, ingawa hatoshi wala hafai
Dada yake kamkana, ameamua kubaki na makaka 2 tuvipi mstaafu wakiti Cha ubunge nae alikuwepo
Na huyu ndio huenda akawa Spika mtu mwenye mtizamo wa hivyo ?
Kilichofanyika jana ni utangulizi wa utambulisho wa Dr Tulia kwamba aja rasmi.Endelea kusema hatoshi wala hadi.. lakini, Dr Tulia Akson Mwansasu ndiye Spika wetu mpya ajaye. Utanisamehe, sio mimi, bali ni sauti hii
Hivyo endeleeni kusema yoote, mwisho wa siku Spika ni yule tuu aliyepangiwa, hivyo kama sauti hiyo ni ya ukweli, ... then Spika wetu mpya ni Dr. Tulia.Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
Wanabodi, Japo siku zote Nabii huwa hakubaliki nyumbani, hili nalijua na litabezwa, na nimeisha lisemea humu TZ Tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!. - JamiiForums Hii ni thread ya maono ya unabii, na sio utabiri na sio trends reading...www.jamiiforums.com
P
Mkuu Richard , wengi humu hawaoni mbali, mbele. Ile hotuba ya jana ya Dr. Tulia, ni hotuba ya kufungia kampeni ya uspika!, kinachoendelea ni mchakato tuu wa kukamilishwa taratibu!.Kilichofanyika jana ni utangulizi wa utambulisho wa Dr Tulia kwamba aja rasmi.
Hio ni critical point kutoka kwa critical thinker.Demokrasia ni tatizo kubwa kwa nchi zinazoendelea.
Ni means nyingine badala ya ukoloni.
Hiyo kinadharia yenyewe umeitoa wapi!! Hivi ni awamu ipi mliona haya mnayoyataka yawe sasa hivi.!! Bado mnashida ya utambuzKi nadharia wote wanaonekana kama wapo sawa, ila kiutendaji Raisi ana majukumu nyeti na ana mamlaka nyingi
Mkuu, hata wazungu bado hadi leo wapata shida sana kuelewa jinsi serikali yetu inavyofanya mambo yake.Mkuu Richard , wengi humu hawaoni mbali, mbele. Ile hotuba ya jana ya Dr. Tulia, ni hotuba ya kufungia kampeni ya uspika!, kinachoendelea ni mchakato tuu wa kukamilishwa taratibu!.
P