Ushora Ndago
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 318
- 360
Hiyo ni RUSHWA tu!Wacha watu wapatiwe Bima za afya mkuu, hata wewe unaruhusiwa kuwapatia watu bima za afya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa wanadhana CCM itatembelea tactics zilezile walizo zizoea...This time watakua suprised! Better nao wajipange kivingine kuliko kulialia foul play ! Mtu akatiwe bima ya afya halafu kura apeleke wapi ? Acha kabisaHivi diamond aliwahi kuwakatia bima wakazi wa tandale pia! Au inakuwa rushwa ikifanywa na mwanasiasa? Najaribu kujiuliza tu lakini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sometimes ukiwa mpumbav kasemee ujinga fb. Yaan mtu akisaidia watu kuwalipia bima unasema eti rushwa
Kwa nini leo na sio jana au juzi?Hutaki watu wapewe bima ya afya kisa tuogope juo uchaguzi?
Vote 20 kichaka cha majambazi yanayoongozwa na jambazi mkuu wa magogoni!Vote 20
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huu wivu hakika unawapeleka pabaya sana wadangaji wa ufipaDu vyeo hivi ,Mungu haogopwi kabisa Dada Tulia hivi lazima uwe Mbunge kwa kutumia Rushwa? Mwogope Mungu wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mamako alikuwa wapi miaka hiyo yote? Wana Mbeya si mambumbumbu kama kule kongwa...Hivi diamond aliwahi kuwakatia bima wakazi wa tandale pia! Au inakuwa rushwa ikifanywa na mwanasiasa? Najaribu kujiuliza tu lakini?
Sent using Jamii Forums mobile app