Tulia Ackson atumia Tulia Trust kulipia bima anaowaita wazee wasiojiweza Mbeya

Ni vizuri kutunza ushahidi , ili utusaidie kwa siku zijazo Mahakamani.

Tutakapo mfikisha kwa kutuhuma za kugawa rushwa kwa Wananchi.
Bima ya afya nayo ni rushwa??😁😁😁
 
Akitokea mtu wa upinzani akafanya hivyohivyo alivyofanya huyo mama atatiwa misukosuko ila tulia kwasababu analindwa na dola na CCM hakuna shida halafu rais kila siku anasema anataka Tanzania yenye amani na umoja na isiyo na ubaguzi.
 
Kwa Nini iwe Jana au juzi isiwe Leo? Msaada huwezi mpangia mtu autoe lini
Tulia Ackson anapata wapi hela za kuhonga ? mshahara wake ni mkubwa kuliko wa Ndugai a Mwanjela ? mbona wao hawahongi ? Tulia anauza nini kinachompatia pesa nyingi za kugawa kila kukicha ? mbona kwao Tukuyu ambako kuna mahitaji kuliko Mbeya Mjini hapeleki ?

Ukiamua kumuabudu Shetani tambua kwamba Mungu si Athuman
 
Tulia ambaye ni mtumishi wa umma anatoa wapi pesa za kuhonga , pesa za kuharibu uwanja wa sokoine , Pesa za kunyamazisha TAKUKURU ?
 
Karibu Mbeya. Tupate maendeleo ya kweli sio maandamano kila kukicha tumechoka
 
Kuhusu alikotoa anajua yeye.
Unaniuliza Mimi anakozitoa !?
Mimi nitajuaje mipango yake ya fedha!?

Mimi naongelea swala la wazee wangu wa mbeya kupata bima za afya,
Hizo habari za uwanja wa sokoine pale uhindini Ni habari nyingine tofauti na mimi sizijui.
Tulia ambaye ni mtumishi wa umma anatoa wapi pesa za kuhonga , pesa za kuharibu uwanja wa sokoine , Pesa za kunyamazisha TAKUKURU ?

Sent using Jamii Forums mobile app[/URL
 
😆😆😆 nilijua tu utafika ukingoni na utakwama , sasa kwa taarifa yako tunapoandika humu hatutanii na tunafahamu alikotoa hizo hela na lengo lake
 
Karibu Mbeya. Tupate maendeleo ya kweli sio maandamano kila kukicha tumechoka
Chalamila anaandaa maandamano mengine ya kumpongeza Magufuli kwa kumteua kuwa RC , je utakuwepo ?
 
Malizia na TAKUKURU
Sijui Mambo ya takukuru.
Kulingana na mada yako nimekukosoa kwa kusema uongo kwamba mbeya hakuna masikini na wahitaji Kama ulivyosema.

Pia nimetoa mawazo yangu kwamba hili swala la bima kwa wazee ni Jambo jema Bila kujali alikozitoa pesa.

Nakukubali Sana hapa jukwaani ila wakati mwingine una siasa za kijinga Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie semeni anagawa Rushwa. Mwenzenu ndo anajiweka huko. Sugu akishindwa ubunge msishangae. Sugu aanze kutafuta kazi nyingine tu.
 
Mpumbavu ni wewe uliyeshindwa kuwakatia wazazi wako Bima ya afya mpaka Tulia Acson aje akusaidie. Omba Omba ni wewe tu Saint anne Mbeya nzima.

Tunasisitiza Mbeya hakuna maskini labda wahamiaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…