Tulia Ackson atumia Tulia Trust kulipia bima anaowaita wazee wasiojiweza Mbeya

Mpumbavu ni wewe uliyeshindwa kuwakatia wazazi wako Bima ya afya mpaka Tulia Acson aje akusaidie. Omba Omba ni wewe tu Saint anne Mbeya nzima.

Tunasisitiza Mbeya hakuna maskini labda wahamiaji
Wewe unaishi mbeya gani?
Mpumbavu na shetani Ni wewe mwenye roho ya kipepo kuchukia wazee kukatiwa bima.,
Wazee waliokatiwa bima Ni Kama wazazi wangu,hata wewe Ni Kama wazazi wako acha ushetani wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jimbo la mbeya mjini hata atambike tulia halipati ngoooo mkitumia nguvu Kama mlivyofanya tukuyu mtaichafu nchi msiweze kuisafisha mbeya sio dodoma aisee
 
Ufalme wa Mungu utachukuliwa na wenyewe nguvu wewe endelea kulialia. Wakati wewe unatafuta uhalali wa jambo wenzako hawana shida na hicho unachokiita halali. Kutafuta kilicho mlimani lazima upande hata kwa kamba.
 
Anatafuta ubunge wa Jimbo Hilo ili amnynganye sugu Ila hivi kule kwao kijijini alikozaliwa huwa anawasaidia au wilayani kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni wivu,fanyeni na nyie kama mnaweza
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu maza halijui jimbo la Mbeya mjini....atakipata anachokitafuta.
Ni Mbeya gani hiyo inayo zungumzwa? Mbeya ambayo ninaifahamu-------usistuke kwa sasa wana Mbeya karibu wote wanategemea mabadiliko. Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…