Umeelewa hata alichosema au kudandia tu ?Herd thinking?Alitumwa akawe kiongozi huko au alijua huko ni kama bongo lala kila mtu amelala na unafanya unavyotaka..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeelewa hata alichosema au kudandia tu ?Herd thinking?Alitumwa akawe kiongozi huko au alijua huko ni kama bongo lala kila mtu amelala na unafanya unavyotaka..!
Penda chako wewe utabaki mtumwa wa wazungu kichwani kwako hadi lini?
Na hii ni lugha ya kuja, asili ya Tulia ni Nyakyusa. BUT as a learned person in the context of colonialism and being a doctorate holder, she ought to be fluent in English, short of that ni hizo degree za chupi! Sijui Magufuli alimuibua wapi mpaka kuwa second to Atorney general (???)kiswahili,
Hana uwezo huo kwa sababu anajibu kma vile anajibu famili yake amejaa jaziba sana ivo inamfanya aonekane Hana presentation nzuritulia yuko vizuri sana, hopeful atakuwa katibu mkuu UN in future, bravo tulia
Mbonaa majemadari wa Israel wanasema Hamas haitashindwa hata tukiuwa raia laki mbili? Hiyo bless iko wapi?God Bless Israel
Hivi walimchguaje? Wazungu nao sioVipi hakuita polisi wawatoe wabunge hao nje?k
Katibu uchwara!! She is not diplomatic and lack necessary attributes to be a top global diplomat
Ana jina zuri - doctor Tulia.Rais wa Muungano wa Mabunge Duniani (IPU), Tulia Ackson, amewataka wajumbe kumheshimu wakati wa mkutano wa Bunge uliofanyika Geneva siku ya Jumatatu Oktoba 14, 2024.
Mvutano ulianza baada ya Artur Gerasimov, mwakilishi wa Ukraine, kuomba "ripoti kamili ya mchakato" wa mkutano wake na kiongozi wa Urusi, Vladimir Putin, na aliuliza ikiwa maazimio ya IPU kuhusu "uchokozi wa Urusi" yalijadiliwa.
"Nataka sote tukumbuke kuwa hili lilitokea siku chache tu baada ya makombora ya Urusi kuharibu hospitali maarufu ya watoto huko Kiev," alisema Gerasimov, huku mwakilishi wa Canada pia akiunga mkono wito wa majibu.
Kulingana na ripoti za vyombo vya habari, Gerasimov alijaribu mara kadhaa kumkatiza na kuchukua tena nafasi ya kuzungumza, kabla ya Tulia kumwambia: "Umeshazungumza, ulipata nafasi ya kuzungumza hapa. Nipe, niachie muda kwanza kulihutubia baraza kuu, nijibu masuala yaliyotolewa kisha turudi kwenye ajenda."
Ziara hiyo, aliendelea kusema, ilipaswa kuanza na Ukraine. "Ukraine ilijibu siku tuliyokuwa tayari kuwatembelea, [kwamba] Bw. Zelensky na Spika wangekuwa New York kwa ajili ya mkutano wa NATO. Ningewazuia? Hapana, isingekuwa busara, na kwa hali yoyote sina mamlaka hayo," Dkt. Tulia aliendelea kusema.
Pia Dkt. Tulia aliongeza kuwa hakuna atakayemzuia kuhudhuria Mkutano wa BRICS wiki ijayo huko Urusi.
Pia, soma:
Akiliongoza Bunge la Tz Kwa uweledi afanikiwa hiyo UN lakini akujijengea misingi ya uchawa atashindwatulia yuko vizuri sana, hopeful atakuwa katibu mkuu UN in future, bravo tulia
She was agitated when responding.Very smart upstairs !! She has well organized the key point to the concerning matter , I like the way she articulated and presented the answer .
Ni swali la msingi kabisa kwa sababu Ukraine inaendelea kuls kipondo cha Putin bila hatia.1. Inaonyesha ana ugeni na mataifa yanayojielewa, alitakiwa kueleza ni kwanini aliitembelea Russia na sio Ukraine, ni swali la kawaida sana na sio shambulizi.
2. Badala yake amejibu kama kada wa ccm
3. Emeenda IPU na mentality ya ki ccm hovyo sana
Nyinyi maccm Ni mapumbavu Sana... Huyu Tulia Ni wenu lakini nyie ndo mnaongoza kumshambulia.Ameingia kingi tunduni, umoja wa nchi za NATO, EU-Umoja wa Ulaya, OIC Nchi za Kiislamu wote wana maslahi yao mapana.
Tumeona Ukraine alivyokinukisha kwa mgongo wa NATO na Umoja wa Ulaya, tumeona Uturuki wakisusia kwa muda kikao cha IPU n.k n.k
Mambo haya ni mtambuka hayaepukiki inabidi awe mwanadiplomasia mzuri kwa kila hatua anayotaka kupiga ktk kutekeleza majukumu yake, nafasi ya urais wa UPI haitakiwi hasira, ubabe, ujivuni ila ujuzi wa masuala yote mtambuka ya dunia .
Mzungu hana shida na wewe, akiwa na tatizo na wewe utajua tu.Sasa nitaanza kumheshimu Dr. Yulia..she is very smart and intelligent...I am proud to be a Tanzanian...I am proud to be a black African ...stupid Wazungu...stupid the West....Stupid Zelensky and his regime
Kajibu maswali yote kwa ufasaha.. Acha kuwa Nyumbu..aliulizwa maswali alipaswa ajibu maswali na sio kutaka kujitetea kwasababu ametoka Africa, wauliza maswali wanataka majibu, angeishia kujibu technically na sio kuonyesha udhaifu na mipasho waliozoe kuwapa CDM.
Nafasi ni kubwa kuliko yeye.