Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin

Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin

Vipi hakuita polisi wawatoe wabunge hao nje?k
Katibu uchwara!! She is not diplomatic and lack necessary attributes to be a top global diplomat
 
kiswahili,
Na hii ni lugha ya kuja, asili ya Tulia ni Nyakyusa. BUT as a learned person in the context of colonialism and being a doctorate holder, she ought to be fluent in English, short of that ni hizo degree za chupi! Sijui Magufuli alimuibua wapi mpaka kuwa second to Atorney general (???)
 
tulia yuko vizuri sana, hopeful atakuwa katibu mkuu UN in future, bravo tulia
Hana uwezo huo kwa sababu anajibu kma vile anajibu famili yake amejaa jaziba sana ivo inamfanya aonekane Hana presentation nzuri
 
It is my assessment kuwa dunia/wazungu na wote dunia ya nje ya Africa, hawajui nini kinaendeela Tanzania/ Tanzania ni nchi ya aina gani! Tulia na sifa alizonazo za kukandamiza uhuru wa Bunge na kuinamia executive, kuiba kura Mbeya Mjini wasingelima nafasi kama hiyo!

To crown it all, the dictatorial regime ya Magufuli followed by Samia, wasingelimchagua kama wangelijua kuwa Tanzania is a dictatorial state! THEY ARE NOT INFORMED OF WHAT TANZANIA IS!

Ona sasa anavyo behave mbele yao!
 
Rais wa Muungano wa Mabunge Duniani (IPU), Tulia Ackson, amewataka wajumbe kumheshimu wakati wa mkutano wa Bunge uliofanyika Geneva siku ya Jumatatu Oktoba 14, 2024.

Mvutano ulianza baada ya Artur Gerasimov, mwakilishi wa Ukraine, kuomba "ripoti kamili ya mchakato" wa mkutano wake na kiongozi wa Urusi, Vladimir Putin, na aliuliza ikiwa maazimio ya IPU kuhusu "uchokozi wa Urusi" yalijadiliwa.

"Nataka sote tukumbuke kuwa hili lilitokea siku chache tu baada ya makombora ya Urusi kuharibu hospitali maarufu ya watoto huko Kiev," alisema Gerasimov, huku mwakilishi wa Canada pia akiunga mkono wito wa majibu.

Kulingana na ripoti za vyombo vya habari, Gerasimov alijaribu mara kadhaa kumkatiza na kuchukua tena nafasi ya kuzungumza, kabla ya Tulia kumwambia: "Umeshazungumza, ulipata nafasi ya kuzungumza hapa. Nipe, niachie muda kwanza kulihutubia baraza kuu, nijibu masuala yaliyotolewa kisha turudi kwenye ajenda."

Ziara hiyo, aliendelea kusema, ilipaswa kuanza na Ukraine. "Ukraine ilijibu siku tuliyokuwa tayari kuwatembelea, [kwamba] Bw. Zelensky na Spika wangekuwa New York kwa ajili ya mkutano wa NATO. Ningewazuia? Hapana, isingekuwa busara, na kwa hali yoyote sina mamlaka hayo," Dkt. Tulia aliendelea kusema.

Pia Dkt. Tulia aliongeza kuwa hakuna atakayemzuia kuhudhuria Mkutano wa BRICS wiki ijayo huko Urusi.



Pia, soma:
Ana jina zuri - doctor Tulia.
Hivyo hawezi kufeli Tulia tu. Tulia anaweza kuTulia. Tulia Oyeeeeeeeeeee
 
Spika Tulia anaonekana kidogo yupo kwenye maji marefu.
Kama àmechaguliwa kuliongoza lile Bunge la kimataifa basi uongozi wake wa lile Bunge is not in question.
Spika Tulia aliongoze lile Bunge kama anavyokuongoza Bunge la Jamhuri ya Tanzania au kama Spika yoyote wa Bunge lolote anavyoongoza Bunge.
Lakini yeye Spika Tulia yuko on the defensive anasema " msinionee mimi kwa sababu I come from a colonized country"
Sasa kwa mfano yule mtu kamwambia Spika:
"Nashangaa kwamba umeenda kumuona Putin kabla ya kwenda kumuona Zelensky."
Sasa akamjibu,"Nilitaka kwenda Ukraine kwanza,lakini wale watu wakaniambia kwamba wako very busy,kwa hiyo nikaamua kwenda Urusi kwanza".
Sasa haya mambo Spika asingeweza kusema kwa upole without all that shouting which she did?
Spika wa Bunge la Canada na black man,yaani Black Canadian.
Juzi,( juzi yaani two days ago) katika Bunge alikuwa anamwambia Waziri Mkuu,amesimama, anamwambia Waziri Mkuu;
"Hayo maneno uliyosema sasa hivi,haynijipendeza,yanaleta ukakasi,unaonaje kama ukiyaondoa hayo maneno ili mjadala wa Bunge uendelee kwa amani. Yaani anasema"withdraw your statement.
Amebishana na Waziri Mkuu na imebidi amwombe tena na tena,mpaka Waziri Mkuu akafuta kauli yake. Baada ya kumwomba mara tatu afute usemi wake.
Spika akasema,"Nashukuru Waziri Mkuu umefuta kauli yako. Now we can continue"
Ndiyo nasema command of the situation ambayo Spika Tulia anayotakiwa kuonyesha.
 
Tulia oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Tulia oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
OyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeTulia
Tulia wetu oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😂
 
Ameonyesha madhaifu makubwa sana kama wengine walivyotangulia kusema.

Shida sio majibu aliyotoa, isipokuwa ni namna alivyojibu.

Angekuwa anaishi nchi za wazungu sasa hivi wanampeleka kwenye therapy ya ‘anger management’.

Msingi wa tatizo ni kujizoesha kuburuta watu, ukikutana na maswali magumu sehemu nyingine unakuwa huna uzoefu (tabia) ya kujibu maswali magumu kwa utulivu.

Shida sio majibu yake, Iła ulipukaji wake kwenye kujibu ndio aibu.
 
Sasa nitaanza kumheshimu Dr. Yulia..she is very smart and intelligent...I am proud to be a Tanzanian...I am proud to be a black African ...stupid Wazungu...stupid the West....Stupid Zelensky and his regime
 
tulia yuko vizuri sana, hopeful atakuwa katibu mkuu UN in future, bravo tulia
Akiliongoza Bunge la Tz Kwa uweledi afanikiwa hiyo UN lakini akujijengea misingi ya uchawa atashindwa
 
1. Inaonyesha ana ugeni na mataifa yanayojielewa, alitakiwa kueleza ni kwanini aliitembelea Russia na sio Ukraine, ni swali la kawaida sana na sio shambulizi.

2. Badala yake amejibu kama kada wa ccm

3. Emeenda IPU na mentality ya ki ccm hovyo sana
Ni swali la msingi kabisa kwa sababu Ukraine inaendelea kuls kipondo cha Putin bila hatia.
 
Ameingia kingi tunduni, umoja wa nchi za NATO, EU-Umoja wa Ulaya, OIC Nchi za Kiislamu wote wana maslahi yao mapana.

Tumeona Ukraine alivyokinukisha kwa mgongo wa NATO na Umoja wa Ulaya, tumeona Uturuki wakisusia kwa muda kikao cha IPU n.k n.k

Mambo haya ni mtambuka hayaepukiki inabidi awe mwanadiplomasia mzuri kwa kila hatua anayotaka kupiga ktk kutekeleza majukumu yake, nafasi ya urais wa UPI haitakiwi hasira, ubabe, ujivuni ila ujuzi wa masuala yote mtambuka ya dunia .
Nyinyi maccm Ni mapumbavu Sana... Huyu Tulia Ni wenu lakini nyie ndo mnaongoza kumshambulia.
Wajinga nyinyi...
 
Sasa nitaanza kumheshimu Dr. Yulia..she is very smart and intelligent...I am proud to be a Tanzanian...I am proud to be a black African ...stupid Wazungu...stupid the West....Stupid Zelensky and his regime
Mzungu hana shida na wewe, akiwa na tatizo na wewe utajua tu.

Nilikuwa naangalia documentary ya Zelensky alivyoukwaa uraisi kirahisi, hao Ukraine wazimu wao kumchagua mtu kama Zelensky kuwa raisi. Wazimu wao auna tofauti na waafrika.

Kwenye hiyo documentary mmoja wa contributors alikuwa ‘Boris Johnson’ (pamoja na vigogo wengine wa serikali ndani ya muda wake).

Boris Johnson aliulizwa, ‘Ukraine ingeweza kuwa NATO, member’; jibu lake likawa hilo lisingewezekana kipinde kiłę na sioni kukubaliwa na EU kwa uelewa Russia ingepinga.

Akaulizwa sasa kwanini amkuwaambia Ukraine awawezi kujiunga na NATO. Majibu yake yakawa atuwezi kuwavunja nguvu, wala kuacha kuwaaminisha Russia wana control na maamuzi ya Ukraine.

Wakati wababe wa EU wanajua madhara ya kuweka kambi ya NATO ndani ya Ukraine, Russia hawezi kubali. Zelensky ana promote kujiunga EU na NATO kwa ushawishi wa US; ilihali EU wanajua Russia hawezi kubali hiko miaka 800.

NATO kuweka kambi Ukraine wanaweza rusha mizinga ya supersonic ndani ya Mascow ikafika kwa dakika tano. Halafu Zelensky anaalika NATO kuwapa eneo la army base.

Maana yake hata hata EU walijua kichapo lazima kuiende, Ukraine; mengine propaganda tu.

Weka VPN ingia BBC, tafuta 3 part documentary ya Zelensky alipotoka kama comedian, hadi kuwa raisi. Ndio utajua huko Ukraine kumejaa wazimu kumpa nafasi mtu kama Zelensky.
 
aliulizwa maswali alipaswa ajibu maswali na sio kutaka kujitetea kwasababu ametoka Africa, wauliza maswali wanataka majibu, angeishia kujibu technically na sio kuonyesha udhaifu na mipasho waliozoe kuwapa CDM.

Nafasi ni kubwa kuliko yeye.
Kajibu maswali yote kwa ufasaha.. Acha kuwa Nyumbu..
 
Back
Top Bottom