Tulia Ackson: Gazeti la mwananchi, JamiiForums tunawategemea kuwapelekea taarifa sahihi, tusipeleke za upotoshaji

Jukwaa liitwe BUNGENI LEO ama BUNGE LETU halafu kuwe na sub-caption ya mikutano mbali mbali
Mkuu huwa ninakuheshimu sana na naendelea kufanya hivyo ijapo naomba niweke maoni kinzani juu ya ombi lako. JF imefahamika zaidi ikiwa JF.

Ikija kuwa BUNGE SIJUI NINININININIII,tena BUNGE ambalo haliko chini ya SAMUEL,hapo wengii tutadhani kuwa kiongozi wa Bunge ndiye anayeliongoza jukwaa hili pia.

Wapiga sarakasi BUNGENI waje wapigie sarakasi zao na huku na baadae wanachukua kodi zetu?
 
Asante sana kwa heshima ila maono yangu si kwa muktadha huo.. Ni BUNGENI LEO ama BUNGE LETU la muktadha wa JF .. Yaani kwa siku husika kitakachojadiliwa kule kitaletwa hapa kwa
Kipongezwe
Kikosolewe
Kisifiwe
Kijadiliwe
Kipate maoni
Kipate ushauri nknk
 
Vema mkuu.
Nilielewa vibaya.
Nilidhani ulitaka jina libadilishwe.
Kumbe segment.
Pa1.
 

Uzi wa JF, lakini unaitaja CHADEMA.
 
Jukwaa liitwe BUNGENI LEO ama BUNGE LETU halafu kuwe na sub-caption ya mikutano mbali mbali
asante mkuu
hili litakuwa kwaajili yetu wanajamii forums
na sisi tupate nafasi ya kuchangia mada zinazoendelea bungeni

Naamini viongozi watapata mengi zaidi kutoka kwetu kupitia jukwaa hilo
 
Maelezo mazuri sana

Na hayo ndio yanafaa kuwa agenda kuu katika jukwaa la BUNGE LETU
 
Atuache na JF yetu hatutaandika habari za kumbembeleza mtu hapa wachape kazi.
 
asante mkuu
hili litakuwa kwaajili yetu wanajamii forums
na sisi tupate nafasi ya kuchangia mada zinazoendelea bungeni

Naamini viongozi watapata mengi zaidi kutoka kwetu kupitia jukwaa hilo
[emoji817][emoji818][emoji1752][emoji1545][emoji1548]
 
Tu
Serekali inabagua watu kwavipato vyao mfano sisi wavuvi. Kata yakalya kijiji kashagulu tulifanyiwa unyama sana hadi Leo malizetu serekali wanazo wanatuambia tukazikomboe kwao naunapewa risiti yakitabu kwawale walio Fanya hivyo yaani kukomboa bayazaidi kwenye machine yakusoza mtumbwi unakuta vipuri vimeibwa unakomboa jumba bila kujuwq lakini tunashangazwa kama uvuvi wetu niharam unapewa leseni?je azabu yamtu ambae anafanya kinyume nataratibu nikuteka Mali zake na ajekuzikomboa? Lakini kwanini wengine wamerudishiwa malizao kama mapesa yaliokuwa yametekwa huko kwenye mabenk lakini sisi wapi
 
Niliamini siku mama Samia alivyosema anasomaga jf alafu anacheka ndiyo nikajua kuwa jf tuko juu
 
Hongera sana Mzee Pascal Mayalla kwa kuibuka mshindi.
 
Angejua tulivyolipuuza bunge kibogoyo la majizi ya kura ni bora angekaa kimya tu. Hilo ni bunge fuata upepo wa atakacho rais. Inshort bunge halina mvuto kabisa, kiasi kwamba hatufuatilii habari za ukweli ama upotoshaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…