Tulia Ackson: Gazeti la mwananchi, JamiiForums tunawategemea kuwapelekea taarifa sahihi, tusipeleke za upotoshaji

Nampongeza sana Maxcence na wenzake na woote walioshiriki kuisupport JF. Inazidi kung'aa!
 
Najisikia fahari kuwa mwanachama wa JamiiForums

Hongera kwa wafanyakazi wote wa JF
 
Mh Spika Tulia Ackson amesema anategemea kipindi hiki cha vikao vya muda mrefu Bungeni, Jamiiforums na Gazeti la Mwananchi mnategemewa kupeleka taarifa sahihi kwa wananchi

Je kwa nini mh Spika ataje hivi vyombo viwili?
Ndiyo maana mwandishi wa mwananchi DODOMA walimzingua!
 
Kwa watu makini Ni lazima jf Ni sehemu yao ya kupata habari na kwa namna ilivyo Ndo mtandao ambao Kila mwanasiasa lazima apite ili kujifunza na kupata kero mbalimbali za wananchi na pia kujifunza vitu mbalimbali.Ata East Africa Ndo mtandao unaosomwa zaidi asa nchini Kenya.
 
JF ni bunge la wananchi kwa hakika
kuna siku niliandika issue ya mbunge wa Bumbuli JY Makamba nashukuru juu ya ubovu wa barabara Mombo - Soni - Bumbuli
tunamshukuru Mungu kilio kimesikika
tunaishukuru serikali mkeka lami - Soni kwenda Bumbuli Tanroad mkoa wa Tanga wamekuja kwa kasi.

"CCM Oyee" Maendeleo hayana chama
 
Umeharibu comment yako ulioanza nayo kwa kuweka maneno ya mwisho ya vichaa wenzako.
 
Ni kweli JF kubwa ila kuna ubora umepungua sasa ,JF ilikua ukiwa na jambo lolote ukiuliza unapata majibu kutoka kwa wataalamu mbalimbali
 
Kama bosi wake anapita humu yeye ni nani asipite, na ule uzi wetu pendwa wa kula tunda kimasihara??
Siyo boss wake. Nakurekebisha. SSH ni Mkuu wa Mhimili wa Utawala na TA ni Mkuu wa Mhimili wa Bunge. Mihimili mitatu ya serikali hapa TZ ina mamlaka sawa na HAITAKIWI kuingiliana. Yaani Rais HATAKIWI kuingilia mamlaka ya Bunge au Mahakama, vivyo hivyo kwa Spika na Jaji Mkuu, nao hawatakiwi kuingiliana wao kwa wao au kuingilia Mhimili wa Utawala.
 
Hiyo avatar hicho chakula hasa ugali, unajua ni chakula cha asili cha kabila gani? Nimeshtuka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…