Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni chombo cha nini labda bingwa
Najisikia fahari kuwa mwanachama wa JamiiForumsWanabodi,
Hii ni Breaking News kutoka Bungeni Dodoma!. Baada ya Rais Samia kusema huwa anaingiaga JF, kutusoma na kubaki akicheka. Leo kwa mara ya kwanza mtandao numero Uno Tanzania, Jamiiforums, leo imetajwa rasmi Bungeni na Spika wa Bunge Dr. Tulia Ackson " Vyombo vya Habari Mwananchi na Jamiiforums, Tunawategemea" Kutusaidia Kuihabarisha Jamii taarifa sahihi za Bunge"
clip kwa hisani ya Mkuu Replica
Mimi ni member wa JF kwa muda wa miaka 15 sasa, if imekuwa ikifanya mengi makubwa mazuri kuisaidia serikali na viongozi wake but was barely or hardly recognised, hivyo hii mention ya Spika, it's good kwa JF.
Sisi members wa jf tuwe makini zaidi, kama Mkuu wa Mhimili Mkuu, Rais wa JMT amesema anasoma JF, leo Mkuu wa Mhimili wa Bunge ametutaja, bado Mkuu wa Mhimili mmoja tuu wa Mahakama, of which its just a matter of time.
Mimi kwa niaba yangu binafsi kama mwana JF, nakiri kuwa niko very proud to be a JF member.View attachment 2576131
View attachment 2576132View attachment 2576133
Nichukue fursa hii kumpongeza Mkuu Maxence Melo na timu yake ya JF kwa kazi kubwa na mzuri ya uhabarishwaji wa jamii, upashanaji habari, na kutupatia fursa adhimu na adimu ya kutupatia mawanda ya freedom of speech and expression kwa sisi members.
Pia natoa shukrani zangu kwa JF kutu recognizes baadhi yetu na kutupatia zawadi na bahasha nene ya chochote kitu!.
Thanks JF,
God Bless Mkuu Maxence Melo
God Bless JF Staff
God Bless JF Members
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali
Ndiyo maana mwandishi wa mwananchi DODOMA walimzingua!Mh Spika Tulia Ackson amesema anategemea kipindi hiki cha vikao vya muda mrefu Bungeni, Jamiiforums na Gazeti la Mwananchi mnategemewa kupeleka taarifa sahihi kwa wananchi
Je kwa nini mh Spika ataje hivi vyombo viwili?
Timu pendwa ya wana mabadiliko. Walipigana nayo Mungu akaingilia kati
Wanabodi,
Hii ni Breaking News kutoka Bungeni Dodoma!. Baada ya Rais Samia kusema huwa anaingiaga JF, kutusoma na kubaki akicheka. Leo kwa mara ya kwanza mtandao numero Uno Tanzania, Jamiiforums, leo imetajwa rasmi Bungeni na Spika wa Bunge Dr. Tulia Ackson " Vyombo vya Habari Mwananchi na Jamiiforums, Tunawategemea" Kutusaidia Kuihabarisha Jamii taarifa sahihi za Bunge"
clip kwa hisani ya Mkuu Replica
Mimi ni member wa JF kwa muda wa miaka 15 sasa, if imekuwa ikifanya mengi makubwa mazuri kuisaidia serikali na viongozi wake but was barely or hardly recognised, hivyo hii mention ya Spika, it's good kwa JF.
Sisi members wa jf tuwe makini zaidi, kama Mkuu wa Mhimili Mkuu, Rais wa JMT amesema anasoma JF, leo Mkuu wa Mhimili wa Bunge ametutaja, bado Mkuu wa Mhimili mmoja tuu wa Mahakama, of which its just a matter of time.
Mimi kwa niaba yangu binafsi kama mwana JF, nakiri kuwa niko very proud to be a JF member.View attachment 2576131
View attachment 2576132View attachment 2576133
Nichukue fursa hii kumpongeza Mkuu Maxence Melo na timu yake ya JF kwa kazi kubwa na mzuri ya uhabarishwaji wa jamii, upashanaji habari, na kutupatia fursa adhimu na adimu ya kutupatia mawanda ya freedom of speech and expression kwa sisi members.
Pia natoa shukrani zangu kwa JF kutu recognizes baadhi yetu na kutupatia zawadi na bahasha nene ya chochote kitu!.
Thanks JF,
God Bless Mkuu Maxence Melo
God Bless JF Staff
God Bless JF Members
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali
JF ni bunge la wananchi kwa hakikaWanabodi,

Umeharibu comment yako ulioanza nayo kwa kuweka maneno ya mwisho ya vichaa wenzako.JF ni bunge la wananchi kwa hakika
kuna siku niliandika issue ya mbunge wa Bumbuli JY Makamba nashukuru juu ya ubovu wa barabara Mombo - Soni - Bumbuli
tunamshukuru Mungu kilio kimesikika
tunaishukuru serikali mkeka lami - Soni kwenda Bumbuli Tanroad mkoa wa Tanga wamekuja kwa kasi.
"CCM Oyee" Maendeleo hayana chama
Kuna picha Hapo juu Mubyazi Maxence Mello amepiga na bwana mmoja amevaa suti ya blue; anafanana na Pascal Mayalla , je ni mwenyewe?Pascal Mayalla njoo ujifunze huku
Labda niangalie vizuri tenaKuna picha Hapo juu Mubyazi Maxence Mello amepiga na bwana mmoja amevaa suti ya blue; anafanana na Pascal Mayalla , je ni menyewe?
Kwani servers za JF zipo wapi/nchi ipi mkuu?Kipindi kile cha mwendazake mlipambana ifungwe au waweke servers zao bongo ..unafiki
Siyo boss wake. Nakurekebisha. SSH ni Mkuu wa Mhimili wa Utawala na TA ni Mkuu wa Mhimili wa Bunge. Mihimili mitatu ya serikali hapa TZ ina mamlaka sawa na HAITAKIWI kuingiliana. Yaani Rais HATAKIWI kuingilia mamlaka ya Bunge au Mahakama, vivyo hivyo kwa Spika na Jaji Mkuu, nao hawatakiwi kuingiliana wao kwa wao au kuingilia Mhimili wa Utawala.Kama bosi wake anapita humu yeye ni nani asipite, na ule uzi wetu pendwa wa kula tunda kimasihara??
Hiyo avatar hicho chakula hasa ugali, unajua ni chakula cha asili cha kabila gani? Nimeshtuka sana.Duh! Kumbe vigogo wakubwa huwa wanapitia habari humu, kuna neno moja nililitumia kuandika humu nimelisikia kwa kigogo mmoja bungeni naye akilitumia katika kuchangia mchango wake bungeni. Kama wazito wapo humu wanatusoma basi uandishi wetu uwe wa maana na wenye tija kwa taifa