Hizohizo mkishinda zinatenda haki,mkishindwa hazifai, hopeless kabisa weweWaende mahakama zipi, hizi hizi zinazoendesha kesi ya Covid 19 mwaka wa pili huu? Kenya hapo kulikuwa na kesi ya uchaguzi nafasi ya urais imeisha ndani ya muda mfupi, iweje hii ya Covid 19 ichukue zaidi ya mwaka?!
[emoji2][emoji2]masononekoBora Chadema wafa maji kuliko CCM maiti.
Mchezo uliisha alipokufa. Wamletee amekuwa Nani?. Aende huko.
Miga vipi?Chadema ni wajinga sana
Kesi za uchaguzi zina muda maalum wa kuwasilisha madai hivyo muda ulikuwa umepita.Kwanini hawakuenda mahakamani baada ya Magufuli kufariki
Chadema na chawa wao wanamdanganya Sugu 😂😂Spika Tulia amesema wanaoamini nguvu ya dola ilitumika 2020 kuwaingiza wabunge wa CCM bungeni ni imani tu na hakuna mtu ameona mahali. Amesema nchi hii ina utaratibu wa kwenda mahakamani kuonesha imani yako inaposimamia na maeneo mengi watu wanafunguliwa kesi za ubunge na wapo walioondolewa huko nyuma.
Amesema kuhusu yeye na jimbo la Mbeya, amewataka waandishi waende Mbeya waone mpango wa wananchi wa Mbeya mjini.
siipend ccm ila sipendi udaku , una ushaid wa mahusiano kati ya jpm na Tulia? tukosoe vitu bila mihemko ni kwel mbeya waliiba kura ila tusifike hatua ya kuongeza chumv nying kweny taarifaHata yeye mwenyewe Tulia Ackson anajuwa kuwa alitoa Tsh 100,000 kwa wajumbe wote 800 wa Mkutano wa Jimbo la Mbeya Mjini ambao ndiyo waliompitisha kugombea kwa Tiketi ya CCM.
Pamoja na kuwekewa kinda na hawara yake Magufuli bado alitumia kama Tsh 100 Milioni kupita kura za maoni za CCM
Kuhusu kwenda Mahakamani jibu ni kwamba kipindi cha Magufuli ilikuwa ni vigumu kwa vile Majaji na Mahakimu kwa kesi kama hiyo ingekuwa ni vigumu kushinda. Mahakama zilikuwa zinatishiwa na kufuata maelekezo ya mwendazake
Acheni uhuni tatizo lenu CHADEMA mnapenda mshinde kesi nyie ndiyo ionekane haki imetendeka.Sio enzi za Magufuli tu, hata sasa bado mahakama zinafuata amri za nje ya sheria. Rejea kesi ya Covid 19 na danadana zinazoendelea.
Mulienda Mahakamani ndani ya iyo miezi sita?Huna ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani, kesi za malalamiko ya uchaguzi ni ndani ya miezi sita tu baada ya uchaguzi. Tuache hayo, kwa sasa kuna kesi ya Covid 19, ni kipi kinafanya hiyo kesi ichukue muda mrefu hivyo kama ushahidi wote upo? Kwa mpinzani kwenda kwenye mahakama hizi ni kupoteza muda.
Na yule demu aliyeshinda Ubunge Nkasi alipitaje?au Jiwe alikuwa ametoka madarakani kipindi hicho!!Nakumbuka kulikuwa na maneno makuu matatu tu kutoka kwa jemedari;
1. Nipeni huyu mtu sitawaangusha akiwazingua ninammudu.
2. Nipeni koneksheni.
3. Msichanganye betri na gunzi tochi haitawaka.
Mchezo uliishia hapo.
Kesi za Uchaguzi walizoshinda Lissu na Lema ziliamuliwa na Mahakama ya Burundi?Acheni utoto!Mahakama zipi?
Maana majaji wa mahakama zote wanateuliwa na mwenyekiti wa CCM
Mda utasemamwambien huyo ngedere wenu kuwa sugu anamfata kokote atakakoenda amnyooshe vizuri.
Wewe acha upumbavu, ulitaka waende kwenye mahakama gani hizo wakati unafahamu fika kwamba hizi Kangaroo Courts ni mali za ccm.Acheni uhuni tatizo lenu CHADEMA mnapenda mshinde kesi nyie ndiyo ionekane haki imetendeka.
Suala la Uchaguzi mlipaswa muende Mahakamani kwa mujibu wa sheria mkaseme sheria fulani na fulani ilikiukwa Ili kumpa Ubunge Bwana fulani lakini bila kwenda Mahakamani hizo zinabaki kuwa taarabu ma majungu ya mtaani.
Kwani kesi ya akina Halima Mdee na wenzake vs Chadema ni ya Uchaguzi?
Kenya kesi zimeisha ndani ya muda mfupi na matokeo yake sasa hivi hadi Rais Mstaafu anashiriki vurugu mtaani kupinga hukumu ya kuhalalisha ushindi wa Ruto
Mpuuzi!Spika Tulia amesema wanaoamini nguvu ya dola ilitumika 2020 kuwaingiza wabunge wa CCM bungeni ni imani tu na hakuna mtu ameona mahali...
Hizohizo mkishinda zinatenda haki,mkishindwa hazifai, hopeless kabisa wewe
4. Nileteeni!!!!!!!1. Nipeni huyu mtu sitawaangusha akiwazingua ninammudu.
2. Nipeni koneksheni.
3. Msichanganye betri na gunzi tochi haitawaka.