Unakwenda kwenye mahakama ambazo tayari zilikuwa zinaagizwa na Magufuli aina ya hukumu za kutoa dhidi ya wapinzani?Acheni uhuni tatizo lenu CHADEMA mnapenda mshinde kesi nyie ndiyo ionekane haki imetendeka.
Suala la Uchaguzi mlipaswa muende Mahakamani kwa mujibu wa sheria mkaseme sheria fulani na fulani ilikiukwa Ili kumpa Ubunge Bwana fulani lakini bila kwenda Mahakamani hizo zinabaki kuwa taarabu ma majungu ya mtaani.
Spika Tulia amesema wanaoamini nguvu ya dola ilitumika 2020 kuwaingiza wabunge wa CCM bungeni ni imani tu na hakuna mtu ameona mahali...
Hakuna mahakama hapa Tanzania za kuwapa haki wapinzani kwa uhuni wanaofanyiwa na viongozi wa serikali. Huwa nawaelewa sana wazungu kwa kutumia mahakama za kimataifa, maana upuuzi wa mahakama zetu wanaufahamu vizuri.Mulienda Mahakamani ndani ya iyo miezi sita?
Mara ngapi wanaoshindwa uchaguzi wanakwenda mahakamani na wanashinda kesi?.Huna ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani, kesi za malalamiko ya uchaguzi ni ndani ya miezi sita tu baada ya uchaguzi. Tuache hayo, kwa sasa kuna kesi ya Covid 19, ni kipi kinafanya hiyo kesi ichukue muda mrefu hivyo kama ushahidi wote upo? Kwa mpinzani kwenda kwenye mahakama hizi ni kupoteza muda.
Huo ni upande mmoja tu wa utendaji wa mahakama, kumbuka ni mara ngapi hizi hizi mahakama ziliwapa ushindi wabunge wa upinzani baada ya kuwa wameshindwa huko majimboni.Umewahi kuona mtu akisifia mahakama ikitenda haki zaidi ya kushangaa imewezaje? Kwa taarifa Yako mahakama inapaswa kutenda haki na sio kubalance hisia za kiitikad...
Mara ngapi wanaoshindwa uchaguzi wanakwenda mahakamani na wanashinda kesi?.
Tuwe na shukrani sio kulalamika kwa kila jambo. Hio kesi ya hao covid inao msingi tofauti na nyingine nyingi za kisiasa.
Mara ngapi wanaoshindwa uchaguzi wanakwenda mahakamani na wanashinda kesi?.
Tuwe na shukrani sio kulalamika kwa kila jambo. Hio kesi ya hao covid inao msingi tofauti na nyingine nyingi za kisiasa.
Wangeenda mahakama ipi ikiwa Watendaji wa vijiji na vitongoji pamoja na wakurugenzi wa halmashauri waliambiwa mmeajiriwa na Ccm ole wenu ccm isishinde?Hata yeye mwenyewe Tulia Ackson anajuwa kuwa alitoa Tsh 100,000 kwa wajumbe wote 800 wa Mkutano wa Jimbo la Mbeya Mjini ambao ndiyo waliompitisha kugombea kwa Tiketi ya CCM...
Mazingira mazima ya kesi ni tofauti. Moja inahusisha sheria za bunge na nyingine ni ya moja kwa moja chini ya mahakama za Kenya.Kutetea udhaifu ni jambo gumu sana. Kwahiyo kesi ya hao covid ni kubwa kuliko ya uchaguzi wa urais wa Kenya ambayo ilishafanyika na hukumu imetoka?
Nitajie hata wabunge watano wa upinzani waliowahi kutangazwa kushindwa kwenye uchaguzi, kisha wakaenda wakapata huo ubunge kupitia mahakama.Huo ni upande mmoja tu wa utendaji wa mahakama, kumbuka ni mara ngapi hizi hizi mahakama ziliwapa ushindi wabunge wa upinzani baada ya kuwa wameshindwa huko majimboni.
Sio mambo ya aibu, ni taratibu tumejiwekea wenyewe.Mara kibao huwa tunaona mizengwe mikubwa huko mahakamani, hadi kuwe na shinikizo la nje ndio haki kutendeka. Na hata hizo mahakama zilizojaribu kwa mbali kuwapa haki wapinzani ilikuwa wakati wa JK na sio chini ya utawala wa kidhalimu wa Magufuli.
Msingi upi wa hiyo kesi ya Covid 19 hadi ichukue zaidi ya mwaka mmoja? Ni ushahidi gani unakosekana hadi kesi ichukue muda mrefu hivi? Acha kutetea mambo ya aibu.
Spika Tulia amesema wanaoamini nguvu ya dola ilitumika 2020 kuwaingiza wabunge wa CCM bungeni ni imani tu na hakuna mtu ameona mahali....
Siwakumbuki ingawa najua wapo, mmoja kama sijakosea ni jimbo mojawapo la Mkoa wa Mara.Nitajie hata wabunge watano wa upinzani waliowahi kutangazwa kushindwa kwenye uchaguzi, kisha wakaenda wakapata huo ubunge kupitia mahakama.
Mazingira mazima ya kesi ni tofauti. Moja inahusisha sheria za bunge na nyingine ni ya moja kwa moja chini ya mahakama za Kenya.
Sasa nimeamini Tulia huenda atakuwa mjinga wa kwanza mwenye PhD.Spika Tulia amesema wanaoamini nguvu ya dola ilitumika 2020 kuwaingiza wabunge wa CCM bungeni ni imani tu na hakuna mtu ameona mahali. Amesema...
Siwakumbuki ingawa najua wapo, mmoja kama sijakosea ni jimbo mojawapo la Mkoa wa Mara.
ππSiwakumbuki ingawa najua wapo, mmoja kama sijakosea ni jimbo mojawapo la Mkoa wa Mara.
ππ Kwahiyo huyo usiyemjua wa mkoa wa mara ndio imekupa ushahidi kuwa mahakama zinatenda haki?Siwakumbuki ingawa najua wapo, mmoja kama sijakosea ni jimbo mojawapo la Mkoa wa Mara.