Mlamba asali
JF-Expert Member
- Dec 11, 2022
- 1,152
- 2,270
Mkuu una jicho la mwewe.Tulia anapoelekea yatamkuta ya Ndugai.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu una jicho la mwewe.Tulia anapoelekea yatamkuta ya Ndugai.
Kama uharaka huo wa kutoa hukumu umepelekea upande muhimu usiridhike huoni mahusiano ya uharaka na vurugu? Kama kujipa muda wa kutafakari na kukusanya ushahidi pengine ungepelekea hukumu kuwa tofauti jee?Hakuna uhusiano wa ghasia na mahakama kutoa hukumu kwa wakati. Kwahiyo hii kesi ya Covid 19 hapa nchini inacheleweshwa kwa kuhofia maamuzi yakitolewa kutatokea ghasia ama?
Wengi wanajua sana, ila wanajifanya hawajui! Zitto Kabwe alifungua kesi ya kutaka kujua uhalali wa Rais Magufuli kumtumbua CAG Assad. Kwa kipindi hicho JPM hajafa, ilikuwa kama hiyo kesi haipo. Amekufa, imesikilizwa chap chap, na hukumu kutoka kuwa JPM alikosea!Waende mahakama zipi, hizi hizi zinazoendesha kesi ya Covid 19 mwaka wa pili huu? Kenya hapo kulikuwa na kesi ya uchaguzi nafasi ya urais imeisha ndani ya muda mfupi, iweje hii ya Covid 19 ichukue zaidi ya mwaka?!
kama uharaka huo wa kutoa hukumu umepelekea upande muhimu usiridhike huoni mahusiano ya uharaka na vurugu ? kama kujipa muda wa kutafakari na kukusanya ushahidi pengine ungepelekea hukumu kuwa tofauti jee ?
Awadanganye WajingaSpika Tulia amesema wanaoamini nguvu ya dola ilitumika 2020 kuwaingiza wabunge wa CCM bungeni ni imani tu na hakuna mtu ameona mahali. Amesema nchi hii ina utaratibu wa kwenda mahakamani kuonesha imani yako inaposimamia na maeneo mengi watu wanafunguliwa kesi za ubunge na wapo walioondolewa huko nyuma.
Amesema kuhusu yeye na jimbo la Mbeya, amewataka waandishi waende Mbeya waone mpango wa wananchi wa Mbeya mjini.
Yaani Tulia Ackson anawaona Watanzania ni wajinga sana !Mahakama ipi?
2015-2021 Jaji Mkuu alikua Magufuli.
Rejea ruling ya hovyo ya kesi ya Mbowe vs Akwilina na State vs Sugu
Kwani majaji waliowekwa na Magufuli na wao walimfuata alikokwenda kuzimu?Kwanini hawakuenda mahakamani baada ya Magufuli kufariki
Mahakama zipi zilizokuwa za kupeleka kesi zile, kesi ya mbuzi mnono,ikaamuliwa na fisi mwenye njaa😂Chadema ni wajinga sana
Lugha sahihi siyo dola ilitumika bali ni watu waovu wakitumia vyombo vya dola vibaya kwenye uchaguzi.
Siku zote dola lazima iwepo na itumike vizuri.
Ndiyo sababu, ni halali kwa wananchi kutumia nguvu kuwaondoa waovu madarakani.
Dola hiyo hiyo ndiyo hutumika kuwashughulikia hao waovu wanaoharibu uchaguzi n.k.
Changamoto inakuja kama itatokea watu wasio waadilifu, wajinga, wasojiamini kwenye vyombo vya dola, hivyo wote kushirikiana kutenda uovu dhidi ya uma (ushirika wa serikali, majeshi na mahakama).
Tatizo ni watu waadilifu.
Huyo alikuwa mtoto wa baba,na huenda aliacha hisia wa mwanae kutoguswa mbali na madhambi yake yote,mengine hata hayakumfurahisha baba yake 🤔Huu ushahidi unaupeleka lini mahakamani? Mnajua mlimnenea mangapi Makonda na sasa hamna ushahidi hata mmoja?
Hatutaki huruma kweny vyombo vya kutoa haki.Kesi za Uchaguzi walizoshinda Lissu na Lema ziliamuliwa na Mahakama ya Burundi?Acheni utoto!
Wajinga ni wengi sana na huu ujinga unarithishwa vizazi na vizaziNdiyo mkiambiwa Waafrika wakiuza waafrika wenzao msishangae, yaani tulia anafika kutoa ufedhuli Kama huu? Na wa TZ wametuliaaa, Ni kuwa Wa TZ bado wana akili Za kitumwa , na wataendelea kutawaliwa na mijitu hii ya CCM siku zote
Wewe unalipwa kwa kuitukana CHADEMA.Chadema ni wajinga sana
Hili la Dr. Tulia kutoa rushwa nalilitilia shaka kwavile yeye ni mtu wa Mungu sasa kama alisha-backslide hiyo itakuwa habari mpya kwangu.Hata yeye mwenyewe Tulia Ackson anajuwa kuwa alitoa Tsh 100,000 kwa wajumbe wote 800 wa Mkutano wa Jimbo la Mbeya Mjini ambao ndiyo waliompitisha kugombea kwa Tiketi ya CCM.
Pamoja na kuwekewa kinda na hawara yake Magufuli bado alitumia kama Tsh 100 Milioni kupita kura za maoni za CCM
Kuhusu kwenda Mahakamani jibu ni kwamba kipindi cha Magufuli ilikuwa ni vigumu kwa vile Majaji na Mahakimu kwa kesi kama hiyo ingekuwa ni vigumu kushinda. Mahakama zilikuwa zinatishiwa na kufuata maelekezo ya mwendazake
Kuna law of limitation Act ambayo inatoa cut off ya muda wa kufungua shauri la Judicial review Mahakamani. Nahisi mwisho ni miezi 6 kuanzia tarehe ya maamuzi yanayobishaniwa.Kwanini hawakuenda mahakamani baada ya Magufuli kufariki
Huo ndiyo ukweli, huyo ni mbunge wa Magufuli, periodKumbe alikuwa hawara wa mwendazake loh.usione Kobe mtini kumbe kapandishwa
Unataka nikuonyeshe picha? Kweli kuona huoni hata sauti husikii?siipend ccm ila sipendi udaku , una ushaid wa mahusiano kati ya jpm na Tulia? tukosoe vitu bila mihemko ni kwel mbeya waliiba kura ila tusifike hatua ya kuongeza chumv nying kweny taarifa
Tulia siyo mtu wa Mungu bali ni wa Shetani. Ukiona mtu alikuwa anakubalika na Magufuli ujuwe huyo hana Mungu. Mimi nilikuwa msimamizi wa uchaguzi kwenye moja ya Kata zilizopo barabara ya kwenda Chunya. Nimeshuhudia mwenyewe Bajaj na vijana wa Tulia wakigawa bahasha kwa wajumbe usiku wa kuamkia tarehe ya kupiga kura za maoni kwa wajumbe wa Jimbo.Hili la Dr. Tulia kutoa rushwa nalilitilia shaka kwavile yeye ni mtu wa Mungu sasa kama alisha-backslide hiyo itakuwa habari mpya kwangu.
Ahsante