Tulia Ackson wewe ni kiongozi mkubwa sana wa Dunia punguza kuposti picha zako Facebook

Unfortunately kwa Tanzania facebook ndo ina watu wengi. I hope you can relate!
 
Kuna yule pia ambaye nywele zake nyeusi wakati wote, anapata wapi muda wa kutengeneza nywele mpaka zinakuwa nyeusi wakati nchi Ina changamoto nyingi sana!!

Naam hivi ndivyo Viongozi wetu walivyo!!
 
Screenshot evidence
 
Anajifanya bado ni kijana.
 
Tunasahau Nae ni Binadamu nae ana Mambo yake anapenda Ile ni account Binafsi na nadhani Posts za Pale ni her own View, Sasa who are you to Judge her aisee?
Let her live
Utoto una ukomo wake! Tabia za kujipost FB ni utoto
 
Huyu bimkubwa noma sana.... Inamfanya aonekane wa kawaida sana.... Hatakiwi kuzoeleka.
 
Account yake kabisa mkuu au hizi account/ page za machawa?

Itakuwa ni machawa wasiojua protocol. Wenyewe hawajui kutofautisha kati ya dignitaries na celebrities. Mh. Dr. Tulia ni dignitary anapaswa watume picha zinazoendana na hadhi yake. Wapost picha zenye maudhui rasmi zaidi. Na siyo private life ya kwake.
 
Huyo ana ulimbukeni nashibdwa kujua huko Duniani walimhagua vipi? Kwa Tanzania sina haja ya kuuliza make inajulikana
Wivu ukimzidia mtu anaweza akapumbazwa na kupost hisia zaidi kuliko uhalisia.
Bro punguza emotions, ikibidi mshauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…