Uchaguzi 2020 Tulia uliambiwa hukusikia, ukalazimisha kugombea Mbeya

Ndani ya hii miaka hii CCM wamedanganyana mno...!! Sasa wacha wakipate!! Si wa kuonea huruma hawa...unanunua madiwani/ wabunge unasema umekiua chama cha siasa shindani...!! Hii theory ya wapi na ilishawahi kufanya kazi wapi duniani?

Chama cha siasa ni mali cha wanachama. Sasa nyie CCM wenye CDM mmeshajua!! siku nyingine msirudie tena.
 
Endelea kujifariji tu!!
 
Huyo mkurugenzi akipindua matokeo basi ahakikishe kaondoka dakika hiyo hiyo la sivyo ataenda kumsalimia Kandoro!

Mbeya hatupo tayari kucheka na makima
 
Ubabe wa chama tawala umelazimisha Tulia agombee dhidi ya Sugu ila sio kila siku ni Ijumaa na Mungu sio Athumani.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Hizo sababu ni za kipuuzi kabisa,sugu atapigwa mapema sana mtashangaa
 
Kushinda hata shinda lakini tume itamtangaza, mwanamke ana roho mbaya kama sura yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…