Mmmmm upigaji pesa mwingine huoAcha wivu wewe dada.
Sisi ndiyo tumeamua kuwachangia kwa ridhaa yetu.
Hoja ni kwamba mawakili wanajitolea na sisi tumeamua kujitolea kwa kuwachangia.Mmmmm upigaji pesa mwingine huo
Jibu hoja ya mleta mada
Mawakili hawajagoma mpaka leo lakini sisi tumeamua kuchangia kwa hiariHoja ni kwamba mawakili wanajitolea na sisi tumeamua kujitolea kwa kuwachangia.
Wivu utakupeleka wapi wewe mjane???
Una hasira na mawakili wa Mbowe kweri-kweri 🤣🤣🤣Hawezi kujibu hoja
Tena bila kulazimishwaAcha wivu wewe dada.
Sisi ndiyo tumeamua kuwachangia kwa ridhaa yetu.
Hatari snUna hasira na mawakili wa Mbowe kweri-kweri 🤣🤣🤣
Kazi ya mawakili wa Mbowe inakukera kweri-kweri 🤣🤣🤣Hahahah najua lazima ukiona post yangu uje kwa kasi kujibu mkataze bi mkubwa wako mie tafanyaje wakati yeye anataka unaona wivu nini.
Wewe utakuwa ndie mchangishaji hata haya hunaTutachangia hata kama zinaliwa ziliwe tu.