dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,958
- 9,516
Sheria za nchi zinatambua Wakili ni mlipa Kodi anaposimamia kesi anatakiwa kuilipa Serikali wanaweza wasichaji gharama halisi za uwakili maana na wao ni wanachama wa Chadema lkn lazima walipweWanaukumbi,
Chadema mlituambia kuna jopo la mawakili zaidi ya 200 wa kujitolea kwenye kesi ya Mbowe, kulikoni tena leo mnataka pesa za mawakili ebu tuache huu upigaji naamini kabisa Mbowe, hana hizi taarifa ndiyo maana hamataki Mbowe, atoke jela kumbe mnapiga pesa, weekend taenda gerezani kumpa Mbowe hizi taarifa za mchongo wa kesi yake.
View attachment 2104749