Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Mmmmm, jamani hata pesa ya mafuta msichangie. Yaano bure imetawala mioyoni mwa watanzania mpaka kechefu chefu.Wanaukumbi,
Chadema mlituambia kuna jopo la mawakili zaidi ya 200 wa kujitolea kwenye kesi ya Mbowe, kulikoni tena leo mnataka pesa za mawakili ebu tuache huu upigaji naamini kabisa Mbowe, hana hizi taarifa ndiyo maana hamataki Mbowe, atoke jela kumbe mnapiga pesa, weekend taenda gerezani kumpa Mbowe hizi taarifa za mchongo wa kesi yake.
View attachment 2104749
Neno Tunalolipenda ni "BURE", Ndio maana mama kawakatalia kuingiza umeme kwa kulipia umeme 27 elfu wakati umejenga nyumba ya 40 milioni- Ni lazima mlipe laki 3.
Changieni, changieni, changieni- Kelel za upinzani ndio zilizowaamsha CCM na angalau kuanza kujikongoja na kuzungumzia mambo ya msingi badala ya kuleta cheap politics. Tunahitaji upinzani hata tukipata wabunge 40 tu wanatosha. Kumbuka mbunge mmoja wa upinzani ni sawa na wabunge 30 CCM. Changia, changia kuomyesha umaja wetu.