Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wewe unajua nini wana cdm wanamaanisha au unarukia tu mambo usiyo yajua?Wanaukumbi,
Chadema mlituambia kuna jopo la mawakili zaidi ya 200 wa kujitolea kwenye kesi ya Mbowe, kulikoni tena leo mnataka pesa za mawakili ebu tuache huu upigaji naamini kabisa Mbowe, hana hizi taarifa ndiyo maana hamataki Mbowe, atoke jela kumbe mnapiga pesa, weekend taenda gerezani kumpa Mbowe hizi taarifa za mchongo wa kesi yake.
View attachment 2104749
Wa upande wa pili wanalipwa mabilioni kisa wamepewa kesi ya mchongoWana familia hao kuwachangia sio kosa mbona wa upande wa pili hawajitolei[emoji35][emoji35][emoji35]
Waambie hao makahaba wa mambo ya siasa.Acha wivu wewe dada.
Sisi ndiyo tumeamua kuwachangia kwa ridhaa yetu.
Hakuna upigaji mkubwa kama ule wa 1.5trillion uliofanywa na mwenyekiti wenuMmmmm upigaji pesa mwingine huo
Jibu hoja ya mleta mada
Wewe unaweza kukata mauno kwenye mikutano ya majimboHawezi kujibu hoja
Hao mawakili pia wanahitaji fedha za kulipa bill.Hawezi kujibu hoja
...Period....Mawakili hawajagoma mpaka leo lakini sisi tumeamua kuchangia kwa hiari
Au nasema uongo ndugu zangu?Una hasira na mawakili wa Mbowe kweri-kweri [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ritz, i didnt expect this from you. Kwanza kesi imekaa zaidi ya miezi mitatu kila siku wapo mahakamani na hao mawakili wana watoto na familia za kulisha. Hawahitaji kulipwa ujira bali wanahitaji walau posho wale na familia.Wanaukumbi,
Chadema mlituambia kuna jopo la mawakili zaidi ya 200 wa kujitolea kwenye kesi ya Mbowe, kulikoni tena leo mnataka pesa za mawakili ebu tuache huu upigaji naamini kabisa Mbowe, hana hizi taarifa ndiyo maana hamataki Mbowe, atoke jela kumbe mnapiga pesa, weekend taenda gerezani kumpa Mbowe hizi taarifa za mchongo wa kesi yake.
View attachment 2104749
Wanaukumbi,

Kwa elimu tu ya sheria,itoshe kusema kulipia hiyo elimuWanaukumbi,
Chadema mlituambia kuna jopo la mawakili zaidi ya 200 wa kujitolea kwenye kesi ya Mbowe, kulikoni tena leo mnataka pesa za mawakili ebu tuache huu upigaji naamini kabisa Mbowe, hana hizi taarifa ndiyo maana hamataki Mbowe, atoke jela kumbe mnapiga pesa, weekend taenda gerezani kumpa Mbowe hizi taarifa za mchongo wa kesi yake.
View attachment 2104749
Yap...Period....
Wewe ni kilaza sanaWanaukumbi,
Chadema mlituambia kuna jopo la mawakili zaidi ya 200 wa kujitolea kwenye kesi ya Mbowe, kulikoni tena leo mnataka pesa za mawakili ebu tuache huu upigaji naamini kabisa Mbowe, hana hizi taarifa ndiyo maana hamataki Mbowe, atoke jela kumbe mnapiga pesa, weekend taenda gerezani kumpa Mbowe hizi taarifa za mchongo wa kesi yake.
View attachment 2104749
Tumeamua kuwazawadia. Inakuhusu?Wanaukumbi,
Chadema mlituambia kuna jopo la mawakili zaidi ya 200 wa kujitolea kwenye kesi ya Mbowe, kulikoni tena leo mnataka pesa za mawakili ebu tuache huu upigaji naamini kabisa Mbowe, hana hizi taarifa ndiyo maana hamataki Mbowe, atoke jela kumbe mnapiga pesa, weekend taenda gerezani kumpa Mbowe hizi taarifa za mchongo wa kesi yake.
View attachment 2104749
Hamna kosa hapoWanaukumbi,

Hii screenshort weka link tuhakikiWanaukumbi,