Tuliambiwa Mawakili wa kesi ya Mbowe ni wa kujitolea, kulikoni tena wanataka pesa?

Kwani wanaoitwa wafanyakazi wa kujitolea kwenye taasisi mbalimbali hawana chochote wanachopata? Acha nongwa, ukiweza changia ukishindwa lala mbele. Usifanye watu wakaanza kuhoji afya yako ya akili.
Mawakili hawalipwi na funds za kutoka EU? Hebu kwanza tuelezane. Tujue kama David McAllister na CDU & EPP wana habari za mchango huu
 
Acha wivu, aliyekwambia mtu anaejitolea hapaswi kuwa supported ni nani?
Watanzania mnashipaza sana shingo zenu bila kufikiri kwa kina
 
Wanaukumbi,

Chadema mlituambia kuna jopo la mawakili zaidi ya 200 wa kujitolea kwenye kesi ya Mbowe, kulikoni tena leo mnataka pesa za mawakili ebu tuache huu upigaji naamini kabisa Mbowe, hana hizi taarifa ndiyo maana hamataki Mbowe, atoke jela kumbe mnapiga pesa, weekend taenda gerezani kumpa Mbowe hizi taarifa za mchongo wa kesi yake.

View attachment 2104749

Maana unawalisha watoto Na wake zako wewe?
 
Wanaukumbi,

Chadema mlituambia kuna jopo la mawakili zaidi ya 200 wa kujitolea kwenye kesi ya Mbowe, kulikoni tena leo mnataka pesa za mawakili ebu tuache huu upigaji naamini kabisa Mbowe, hana hizi taarifa ndiyo maana hamataki Mbowe, atoke jela kumbe mnapiga pesa, weekend taenda gerezani kumpa Mbowe hizi taarifa za mchongo wa kesi yake.

View attachment 2104749
Una elewa maana ya support?
 
Unashangaa nini?

Kumbuka mwanzo waliahidi hawatopeleka wakili yeyote kumtetea!

Hujazizoea nyumbu?
 
Huu mchango ni bora ukamsaidia DJ kwenye kupata apartment nyingine DUBAI,it cost arounds $75,000-$100,000.
 
Wanaukumbi,

Chadema mlituambia kuna jopo la mawakili zaidi ya 200 wa kujitolea kwenye kesi ya Mbowe, kulikoni tena leo mnataka pesa za mawakili ebu tuache huu upigaji naamini kabisa Mbowe, hana hizi taarifa ndiyo maana hamataki Mbowe, atoke jela kumbe mnapiga pesa, weekend taenda gerezani kumpa Mbowe hizi taarifa za mchongo wa kesi yake.

View attachment 2104749
Wewe inakuhusu nini wao kuchangishana? Au Urio kawavuruga?
 
Mawakili hawalipwi na funds za kutoka EU? Hebu kwanza tuelezane. Tujue kama David McAllister na CDU & EPP wana habari za mchango huu
Wakilipwa na EU tatizo liko wapi!?

Si kujua kama Ritz una roho mbaya pia zaidi ya ule ushabiki wako.
 
Mbowe atatoka hivi karibuni lipo wazi hilo mimi kuhoji ndiyo na roho mbaya?
 
Ndio maana nikasema anunuliwe nyumba nyingine Dubai akapumzike huko Mara atakapotoka nje! Lazima apate palace mpya bhana,madhali wachangiaji wapo na wanapenda kuchanga that's no problem.
 
Mbowe hana taarifa kabisa juu ya hili..
Wewe kama mwanasheria umewahi kumsaidia Nani kisheria,wapi umewahi kujitoa Kwa kutumia taaluma yako ya sheria Kwa MTU/watu wasiojua sheria?
Lini Ulisimama mahakamani kutoa msaada WA sheria au ndiyo vile vyeti Tu vimekaa kabatini basiiiii
 
Mbowe atatoka hivi karibuni lipo wazi hilo mimi kuhoji ndiyo na roho mbaya?
Sasa ungehoji ni kwa nini Serikali inapoteza muda na scarce resources kuchongea watu kesi badala ya jinsi gani hawa watu wanajihami kutokana na hizo njama.
 
Back
Top Bottom