Tuliambiwa Mawakili wa kesi ya Mbowe ni wa kujitolea, kulikoni tena wanataka pesa?

Acha wivu. Wakijitolea hawahitaji kula?
 
Au hujasikia mawakili wa serikali na jaji mamilion ya shiling ya walipa kodi wanayolipwa ndio maana hawataki hii kesi iishe.

Sent from my VFD 600 using JamiiForums mobile app
 
Stupid , kwani hawali? Hawahitaji petrol, hawahitaji other necessary life amenities to attend court sessions. Think big!
 
Kiherehere tu! UfisiCCM umekujaa tu!
 
Hata kwa kujitolea kunakuwa bado kuna gharama ambazo zinakuwepo.

Kwa uelewa wako unaposikia kujitolea basi basi gharama zote zinakua zero.

Nyie Endeleeni tu na kesi yenu ya Mchongo. Gharama za kesi ya Mbowe zinawahusu nini....!!?
 
Kwani wanaoitwa wafanyakazi wa kujitolea kwenye taasisi mbalimbali hawana chochote wanachopata? Acha nongwa, ukiweza changia ukishindwa lala mbele. Usifanye watu wakaanza kuhoji afya yako ya akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…