Tuliambiwa Mawakili wa kesi ya Mbowe ni wa kujitolea, kulikoni tena wanataka pesa?

Ni kweli wamejitolea sawa lakini hata chakula na maji tushindwe kuwapa!noo iwe mvua iwe jua tutawachangia
 
Hivi wewe unajua nini wana cdm wanamaanisha au unarukia tu mambo usiyo yajua?
 
Ritz, i didnt expect this from you. Kwanza kesi imekaa zaidi ya miezi mitatu kila siku wapo mahakamani na hao mawakili wana watoto na familia za kulisha. Hawahitaji kulipwa ujira bali wanahitaji walau posho wale na familia.

Pili kesi yenyewe mashahidi wanaiabisha serikali. Bado nawe unaleta ushabiki. Ngoja tuone
 

Mbona tumeambiwa nchi hii ni tajiri lakini tunakopa na kubembeleza misaada?
 
Kwa elimu tu ya sheria,itoshe kusema kulipia hiyo elimu
 
Wewe ni kilaza sana
 
Tumeamua kuwazawadia. Inakuhusu?
 
So anayejitolea hata kula huwa hali wala hanywi maji wala kulala guest.
 
Hamna kosa hapo
 
Hivi hata hili linawaumiza watu? Mbona hata mawakili wa serikali pesa wanayolipwa inatoka kwetu wananchi?
 
Hii screenshort weka link tuhakiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…