Tuliambiwa Mawakili wa kesi ya Mbowe ni wa kujitolea, kulikoni tena wanataka pesa?

Sheria za nchi zinatambua Wakili ni mlipa Kodi anaposimamia kesi anatakiwa kuilipa Serikali wanaweza wasichaji gharama halisi za uwakili maana na wao ni wanachama wa Chadema lkn lazima walipwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…