Tuliambiwa mchina anaenda kumpiku Marcedes Benz

Nimeikuta facebook baada ya jamaa kununua gari la kichina kwa wakala huko sauzi
Hakuchukua muda mrefu
Chuma inayoshikilia tairi limekatika
Gari yoyote ili iingie sokoni ni lazima ipite kwenye viwango vya kidunia vinavyokubalika,sasa hii ilipitia wapi,na miaka ya hivi karibuni hawa miamab wametengeneza ndege yao,sasa kwa mwendo huu ni hatari sana...
 
Mchina haaminiki,anabahatisha..hawezi kuwa na consistency ya ubora.
Kifupi tu kumwini mchina ni kujiweka rehani tu
Mkuu Hilo liloletwa ni gari 1, na sote hatujui ni ajali ama ni Nini kimepelekea matokeo hayo Kwa Hilo gari.

Pia ni muhimu uache dhana [umejijengea dhana kuwa vitu vya mchina ni fake].

Mtu anafanya mahesabu ya gharama za uzalishaji na bei atayouza na faida atayopata.

Mkuu Mchele wa tsh 2000/kg gharama zake za uzalishaji zitalingana na wa 4000/kg kweli?

(Silizungumzii Hilo gari, hiyo ni kesi nyingine)
 
Sio hapa tu Tanzania, Chinese buses zinatawala worldwide

Kwa sasa Yutong ndiye anayeongoza kwa mauzo ya buses

Katika top 10 ya mabasi yanayouzwa zaidi duniani Mchina ana brands 5
Brand gani ya kichina imetengeneza gari kuanzia 2010 kushuka chini bado liko sokoni au linapiga kazi
Ukitoa
Iveco
Mercedez Benz
Scania
Volvo
Povu ruksa
 
So kuna range za muhindi sasa ivi kumbe

Muhindi kanunua mpaka starlet
 
Mjombq hiyo coaster ya mil 300 unapata Yutong moja au Zhong Tong Mega 1 unapiga kazi dar - mwanza
Mchina bado yuko nyuma sana halafu anapendwa na hawa ganda la ndizi
 
Ununue coaster jipya kwa 300mln ulifanye daladala iyo ela itarudi lini na uanze kula faida🤔🤔🤔
 
Kama al jazeera wana page facebook inakuwaje hawa wasauzi waonekane waongo kwa vile wametoa habari ambazo ziko kinyume na mrengo wako?
Ni wapi nimesema kua hiyo taarifa ni ya uongo? mrengo wangu ni upi mpaka wewe uhukumu kua nataka habari za mrengo wangu?
 
Nikweli,mfano mimi nilikua na isuzu journey min bus ile ndefu, ikawa inasumbua breki, nikaenda kwa mafundi wakasema izo isuzu mpaka ubadilishe busta ufunge busta ya hiace ndio tatizo la breki huwa linaisha,

Kwaiyo nikawaida kuna dizaini fulani za magari huwa zinatoka zikiwa na hitilfu fulani, kama Nissan duals zilivyo na tatizo la umeme
 
Hivi taifa la ISRAEL wanatengeza gari aina gani? na product zipi ambazo wanatengeneza , maana sioni wakitawala soko la bidhaa yoyote ktika hizi nchi kdhaa,ili uchumi uinuke lazima uwe mzalishaji wa bidhaa tofauti na kuuza nje,

Natamani nijue vyombo vyao vya moto wanavyotengeza na kuuza nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…