Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Hakuna nchi itayomzidi maendeleo na technologia mzungu. Mzungu ukiwa mpambanaji na akili anakupa haki yako. Lakini Uchina,Uhindi na Uarabuni. Kama sio mwenzao na sio wa tabaka fulani hawawezi kuruhusu uishi kama wao. Na cha kuongeza wanabaguana wao kwa wao sembuse mgeni ? Wakina Dewji wenyewe walikimbia Gujirati maana waislamu wa Gujirati walikuwa wanabaguliwa.Nimeikuta facebook baada ya jamaa kununua gari la kichina kwa wakala huko sauzi
Hakuchukua muda mrefu
Chuma inayoshikilia tairi limekatika
Umetembelea UK tu? Ukitembelea na nchi nyingine za Ulaya ungejionea. Tembelea the Nerthelands, Norway, Denmark, Sweden n.kNi kweli nimeyaona mabasi ya mchina UK ila sio mengi lakini yapo
Ila gari ndogo bado
Natumaini umejifunza kuwa siku nyingine usipost na kubisha bisha pasipo evidenceUnajua mambo ila changamoto za hizo mambo hutaki uambiwe?
Tambua tu kuchamba kwingi hutoka na mavi
Kuna sehemu nyingi tu wazungu wamepigwa gap na nchi za Far East Asia kama China, Japan na South KoreaHakuna nchi itayomzidi maendeleo na technologia mzungu
Jiko scania
Evidence gani umeleta kwamba hiyo fault haiko kwenye gari ya kichina?Natumaini umejifunza kuwa siku nyingine usipost na kubisha bisha pasipo evidence
WeichaiJiko scania
Nmeona haya mambo hata xiomi nmeona gari zao zina tatizo ya vyuma kukatika. Ila ndio hivyo bado wanaendelea kupunguza mauzo ya western car manufacturersNimeikuta facebook baada ya jamaa kununua gari la kichina kwa wakala huko sauzi
Hakuchukua muda mrefu
Chuma inayoshikilia tairi limekatika
Naijua hii gari jiko walibadili muda tu waliweka scaniaWeichai
Wanapunguza mauzo kwa wanatengeza magari yanayofanania na west halafu wanapunguza bei ili kuharibu biashara za watuNmeona haya mambo hata xiomi nmeona gari zao zina tatizo ya vyuma kukatika. Ila ndio hivyo bado wanaendelea kupunguza mauzo ya western car manufacturers
Nimetembea mkuuUmetembelea UK tu? Ukitembelea na nchi nyingine za Ulaya ungejionea. Tembelea the Nerthelands, Norway, Denmark, Sweden n.k
Gari ndogo wanambania Mchina wanaweka trade barriers kulinda viwanda vyao vya ndani
Licha ya yote hayo tayari gari ndogo za China zimeanza kuuzwa Ulaya kuna brands 7 za Kichina
Ila ndio ameshaingia mfano BYD kwa kujenga kiwanda Hungary
BMW wana changamoto ya kukatika kwa chasisNmeona haya mambo hata xiomi nmeona gari zao zina tatizo ya vyuma kukatika. Ila ndio hivyo bado wanaendelea kupunguza mauzo ya western car manufacturers
Ndio hivyo hata xiomi kila gari analouza anakula hasara ambayo serikali inailipia. So they are taking over kwa njia hiyo. Lakini kumbuka aaliye design gari za xiomi ni same aliyekuwa designer wa porscheWanapunguza mauzo kwa wanatengeza magari yanayofanania na west halafu wanapunguza bei ili kuharibu biashara za watu
Wakipata hasara serikali ya china inawapiga jeki kwa kuuza magari yasiyo na ubora
Yutong, BYD ziko kwenye majiji mengi ya UlayaNimetembea mkuu
Hawa UK wanajiona wako juu sana na kuweka vigezo vya European standards sana
Yutong zipo na pia baiskeli za umeme zimeingia sana ingawa ukiweka charge overnight lazima iwake
Hizo gari za umeme ndio zitatamba miaka ijayo
Wanataka manual wazifute kabisa
Mkuu si wajua jambo dogo kwa mchina wabongo watalikuza sana kama magari ya west huwa yako perfect. Tesla zenyewe zina shida ya miguu hadi kuna kampuni german wameamua kutoa third part spares japo tesla hataki hicho kituBMW wana changamoto ya kukatika kwa chasis
Umesema vyemaMkuu si wajua jambo dogo kwa mchina wabongo watalikuza sana kama magari ya west huwa yako perfect. Tesla zenyewe zina shida ya miguu hadi kuna kampuni german wameamua kutoa third part spares japo tesla hataki hicho kitu
Taking over huku unapata hasara?Ndio hivyo hata xiomi kila gari analouza anakula hasara ambayo serikali inailipia. So they are taking over kwa njia hiyo. Lakini kumbuka aaliye design gari za xiomi ni same aliyekuwa designer wa porsche
Mchina anashika soko haraka sanaYutong, BYD ziko kwenye majiji mengi ya Ulaya
Ni stratergy ya kibiashara. Ni sawa na kampuni kuoperate kwa hasara kwa miaka mingi ikiwa na lengo la kuja kutengebeza faida baadaye. Startups nyingi zinakuwa hivi. Nlitazama video moja, lengo la mchina ni kufanya brand za magari yake ziwe maarufu sana ulaya huko zipiku brand kama bmw na mercedes ili baadae sasa ndipo waje kutengeneza faida. Hiyo ndio stratergy yake. Na ela ya kutupa anayo wanasema kuna zaidi ya startups za EVs 200 china na zote zinapokea pesa kutoka kwa serikali.Taking over huku unapata hasara?
Hebu nieleweshe