Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,102
- 4,028
Ila Kuna la kujiuliza na kujifunza hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapafahamu Mgeta gani? Nyandira, Bunduki, Kododo au Wapi?Mgeta nakufahamu,tuoneshe mchawi kwanza
sidhani kama ataendelea....ameshukuwa distracted na baaadhi ya comment za wanaJF.Mkuu weka story tumjue mchawi mlivyomfanya
Ndio mkuuWanafunzi sh 50
Mkuu endelea achana na na wapiga ngomaMkuu smarte_r yaani nishindwe kushusha keka kwa sababu ya komenti za makurumbembe ya hapa JF ambayo mengi yao ni mipumbavu!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwasababu ulipata zero au four ya kuzugia mtaani unadhani watu wote wanaakili kama yako ZERO BRAIN[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nimeishia hapo aliposema wanafunzi wote 12 wa shule ya kata walifaulu vizuri tena walichaguliwa kwenda advance shule zenye za vipaji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Achana na mapimbi wasio na akiliKuna muda unawaangalia wapumbavu humu JF unashindwa kuelewa nani aliyewaroga unakosa majibu,hivi nyie mmezaliwa Tanzania hii hii au labda kuna nchi mlitoka tofauti na hii?[emoji2]au labda kusoma ndiko hujui?
Nilichosema hapo ni kuwa hao wanafunzi 12 ndiyo waliomaliza form 4 kwa mwaka wa kwanza toka shule hiyo ianzishwe mwaka 2003 na walifaulu wote! Kwenda shule za michepuo ya sayansi!.,Huko ni kijijini na yawezekana wanafunzi walikuwa hata 20 ila kwasababu ya mambo ya Bush wakawa wanapungua na waliofanya mtihani wakawa 12,sasa hapo wewe mwenye akili ambacho huelewi ni nini?.
Halafu wewe unataka kunilazimisha kwenye banda nililipa 500 wakati mimi ndiye niliyekuwa nalipa 100[emoji23][emoji23],yaani wewe kwa akili yako unaona mia ya mwaka 2004 ilikuwa ndogo,hebu tuambie wewe uko ulipokuwa mlikuwa mnalipa shi ngapi!,yaani mtu anataka akulazizimishe useme ambacho hata hukufanya ilimradi tu yeye alidhike[emoji23],Hilo swali la kwanini tulilipa shilingi 100 alipaswa ajibu mtu wa banda na siyo mimi mlipaji,pengine gharama za vifurushi vya dstv vilikuwa bei chee ili kuwavuta wateja wengi,siwezi jua,sasa kama mjini tulikuwa tunalipa shilingi 200 iweje kijijini kusiko na biashara na mzunguko wa hela tulipe 200?,Unajua kama kuna maisha hukuwahi kuyaishi usiwe unakaa mbele ya wanaume unavimbisha kitambi na tumbo lako kwa ubishi![emoji23],Na ndiyo maana nikasema mwenye banda alikuwa akisubiri mpaka muda wa gemu uanze ndipo anawasha,yale mambo ya kuangalia uchambuzi yalikuwa hamna!.
Wewe nahisi kichwani hazikutoshi T14 Armata
Watu wa kijiji cha wegero huwa hawana akili kama zako za kipumbavu,wewe umetoka Wegero ipi?,ile ninayo ifahamu mimi au wegero ya kichwani hamna kitu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti wegero kwetu!,ACHA KUWAIBISHA WAKAZI WA WEGERO NGEDERE WEWE![emoji1787][emoji1787] wegero kwetuStory za uongo uongo hizi hatutaki humu unatudanganya sisi watu wazima hivi bloodbasket kabisa ww
Achana na akili za watoto wa juzi. Inaonekana dogo kazaliwa mwaka 2000, so wakati huo wewe unaenda kucheki mechi yeye ananyonya maziwa ya mama tu.Daaaah inabidi kwanza nicheke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwamba shule za kata zimeanza kujengwa mwaka 2006,uwiiiiiiiiiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Haki kama ndizo akili hizi familia zenu zinashida sana na omba usije ukapata mtoto akarithi akili zako bora angalau arithi za mama yake zinaweza kumsaidia[emoji23][emoji23].
Hivi ulikuwa unajua MPANGO WA MAENDELEO WA ELIMU YA MSINGI(MMEM) na MPANGO WA MAENDELEO WA ELIMU YA SEKONDARI(MMES),Yale madarasa yalianza kujengwa miaka gani?,ukijua hilo basi jibu utapata Ngedere jike wewe,Kupitia mipango hiyo ndipo tulipata shule za kata Ngedere jike wewe!,Tamko rasmi lilitolewa na aliyekuwa Rais wa Tanzania wa wakati huo Hayati Benjamini Mkapa mwaka 2000 na utekelezaji wake ukaanza Mwaka 2001,sasa tahira kama wewe unakuja bila aibu unasema shule za kata zimeanza mwaka 2005[emoji23][emoji23][emoji23].
Aisee hili Taifa kumbe bado linavijana wapumbavu kiasi hiki[emoji23][emoji23][emoji23].
Halafu hebu njoo utuambie huo mwaka 2004 nyie mlikuwa mnalipa shilingi ngapi kwenye mabanda ya mpira,njoo hapa Moisemusajiografii utueleze![emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo Niliona chai imeanza kwa mbaaali nikasema acha nivumilie kidogo,nilipofika Kwny ng'ombe nikasema hii haivumiliki Tena.Mimi nimeishia hapo aliposema wanafunzi wote 12 wa shule ya kata walifaulu vizuri tena walichaguliwa kwenda advance shule zenye za vipaji😂😂😂😂