Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Nina swali apo..

Ikitokea mtu kapelekwa shamba na hao wanga wakati akiendelea na kazi ikatokea emergence yoyote nyumbani kwake yakumfanya aamke inakuaje ? Je anatolewa site fasta au ndo haamki kabisa hadi atakaporudi? Kwako UMUGHAKA
Swali zuri sana. Ila wachawi jamani daah.. Yaani wapo shambani, at the sametime wana monitor yanayoendelea nyumbani-- Half-immortals
 
Endeleea.....

Basi bhana baada ya kuchukua ile miwa kwa Mzee Masumbuko kama kawaida yangu nikawa naelekea senta,kufika pale nikaiweka ile miwa na kuanza kukata kata zile pingili za miwa..aisee hakika siku hiyo ndo niliamini kua Mungu sio Mwigulu Nvchemba niliuza sana ile miwa watu wakawa wanaulizia hadi bei ya lile panga nililoazima kwa yule mama nikawa nawaambia haliuzwi[emoji3064]

Basi bhana nakumbuka siku hiyo miwa yote iliisha ndani ya lisaa limoja na nikarudisha panga kwa yule mama ili nirudi nyumbani,nakumbuka ilikua mida ya saa tatu asubuhi[emoji1]..nikapita njia ile ile ninayokutanaga na Mzee Makono basi bhana kama kawaida yangu kua nikitembea naangalia chini kama ngiri huku nikiwa na mawazo ya kumkosa mwise,nikakumbuka pia kua sikuiona timu ya yangu ya Arsenal kwa kipindi kirefu ukijumlisha na mauza uza niliyokua nakutana nayo nikabaki nasonya tu..

lakini ghafla nikiwa karibu na lile eneo lenye miembe miwili karibu na njia ya kuelekea nyumbani nikakuta watu watano wakiwa wamelala chini wakiwa kama walivyozaliwa,basi bwana kutokana na uzoefu,ukomavu na ubobevu wa masuala yale ya kutisha sikuogopa hata kidogo,nikawasogelea wale watu na hapo nikawa nimewatambua alikua ni Mzee Makono,Mama Mkwe,Monica na wale Mama zake wadogo wawili.


Nikiwa katika bumbuwazi ghafla nikashtushwa na sauti ya mwanamke akicheka ambayo niliitambua kua ni ya maza mdogo,kupepesa macho huku na huko nikamuona juu ya muembe akiwa katika ungo unaoelea angani,kipindi cha nyuma nilikua siamini hizi stori za watu kupaa na ungo angani kama nilivyokua namuona mama mdogo[emoji2297]

Basi bhana nikamuona mama mdogo akirusha kitu mithili ya moto na kile kitu kilivyonikaribia tu kikadunda kwa kasi ya ajabu kumrudia maza mdogo ndipo nikakumbuka ile kauli monica kua nina mizimu mikali sana[emoji1],kilikua ni kitendo cha sekunde moja tu wale watu wote wakapotea nikabaki nikishangaa pale kwenye ile miembe....fasta nikaanza safari ya kurudi nyumbani na kushangazwa na umati wa watu uliojaa pale nyumbani..Aisee nilivyofika sikuamini nilimkuta maza mdogo akiwa pale amedondoka na ule ungo akiwa kama alivyozaliwa.Kumbe bhana mama mdogo ndo kiongozi wa wale wachawi wote pale kijijini na baada ya Headmaster kusema atawakomesha wale wachawi mama mdogo alienda kuwaelekeza wale wachawi waache michezo yao lakini walimkatalia kwa kua walitaka mashamba yao yamalizwe ndipo ugomvi mkubwa ukazuka mpaka kuwaua wale wachawi wenzake pamoja na mpenzi wangu Monica na washirika wake pale miembeni[emoji24].

Aisee nilikua nina hasira sana ila sikutaka kuionesha mbele ya watu wale waliojaa pale,nikaingia ndani moja kwa moja nikamkuta emma kitandani akiwa amekauka (kumbe na alikua mshirikina ndiyo maana hata mambo mengi yaliyokua yakimtokea au kututokea pamoja alikua anayaficha) basi bhana nikatoka na shuka na kumfunika Maza mdogo na kuingia nae ndani huku watu wakiendelea kupungua kadri muda ulivyozidi kwenda.

Mida ya saa 11 jioni Headmaster alirudi akiwa na mganga mwingine lakini akiwa amesikia stori nyingi huko vijiji vya jirani kwa kile kilichotokea pale shuleni na kijijini kwa ujumla hakika yalikua ni maafa walikufa wachawi wengi sana karibia watu 100 katika kile kijiji walikua ni wachawi

alivyofika nilimuelezea yote yaliyotokea mchana akiwa na yule mganga akasikitika sana na kuniomba msamaha kwa yote aliyonifanyia,nakumbuka yule mganga akautoa ule mwili wa Emma na katika mazingira ya kushangaza akapotea ghafla tukabaki mimi,Headmester na yule mganga....Bamdogo akaniuliza tumfanyie nini huyu maza mdogo?? hakika nilikua nina uchungu sana kwanza wa kudharauliwa na watu wengi,kumkosa mtoto Mwise ambaye aliuteka sana moyo wangu,lakini pia kuondokewa na mpenzi wangu Monica ambaye alikua ananipa ndipo nilipomwambia bamdogo tumpige collabo (mtungo) mama mdogo

Basi bhana shughuli ilianza mida ya saa moja hakika nilimchakata sana maza mdogo kwa hasira sana nikawa nabenua kiuno chake na kupiga lile ta-call alilonisingia kua nilimshika basi bhana nilienda goli kama tano bila kupumzika na nakumbuka mbili nilipiga kwenye mbunye na tatu nikapiga kule alipokua anajichezea lulu diva na kuzimwagiemo[emoji23] then nikampisha na mganga nae afanye yake..

ilikua ni aibu n uchafu mwingi sana kwa maza mdogo na wiki ile ile alikunywa ile lotion yote aliyonituma kipindi kile alimeza na mchanganyiko wa dawa flan za vidonge ambao sikuutambua ila vilikua na rangi tofauti tofauti na huo ndo ulikua mwisho wa maza mdogo gwiji la wachawi aliyeuficha ushirikina wake kwa mgongo wa ufundi cherehani[emoji1]

Basi maisha yakaendelea kama zamani pale kwa headmaster nikiwa mimi na bamdogo tu nikawa nakula ile mikuku n mimaziwa mpaka nikairudisha ile nuru yangu kama zamani,na furaha yangu ilizidi zaidi baada ya kumpata mtoto mwise tena nilimkuta akiwa sild kabisa[emoji23][emoji119]...

MWISHO[emoji120]
 
Ssi kwetu huku tunawaita malayoni= umughaka
We ni Masai mamy?....
Wa Longido?,
Loliondo?,
MTO wa mbu?,
Orkesment?
Kiding'a?,
Nanja?
Duka bovu?
Monduli,?
Makuyuni?
Kisongo?
Lariboro?
Olmotoni?
Njoro
Naberera
Treat,
Engare Nanyuk?
Au wapi mkuu?
Au ww mjini kati kabisa?
Au wewe Masai wa Kenya Mkuu?
.......Anyway..nimepamiss tu maskani ndo maana nikataja mavijiji na mamitaa ya mahome😂
Ssi kwetu huku tunawaita malayoni= umughaka
 
Wachawi wangekua wanawachukua mawaziri kama Mwigulu Nchemba, Nape Nnauye, Makamba, Dotto Biteko, Zungu, Mchengerwa, Kassim Majaliwa na mama yao Samia wanawalimisha heka 50 kila wiki. Hii nchi debe la mahindi lingekua elfu 8
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Km wajinga ww ndio kiranja wao! Nimeonesha mpira euro 1996 mwananyamala kwa copa ccm pale kwa kiingilio cha shs. 100. Hv vitoto vya big result now vinajidai kila kila vinabisha bisha na havijui llt kumbaf!! [emoji848]
Acha utoto.
 
Ema mwenyewe ndio huyu
97758EE2-A00D-45E0-83CD-FD9E4435F07C.jpeg
 
Atuulize sie watoto wa waalimu wakuu wa Kijijini enzi hizo.

Kwanza Mzee akikuta umejihusisha na ugomvi wa aina yeyote ile, haulizi umeonewa au nani anamakosa, lazima uchezee fimbo zisizo na idadi. Hata kama tayari umeshapewa adhabu na mwalimu mwingine. Na siku hiyo ukifika nyumbani, una kamisheni ya adhabu Kwa kosa lilelile la shule ambalo tayari umeshatumikia adhabu. Hapo anakuadhibu kama Baba Mzazi mbele ya wadogo zako iwe fundisho kwao.

Kuna siku tunalima shambani, akatokeza mjusi, dogo anaenifuatia akajipendekeza kuinama wakati nimeinua Jembe kumkata mjusi, si likatua kichwani kwake! Damu zinamwagika USO mzima, tukaenda nyumbani mbio, Ile amefika tu, akadakwa na fimbo za rasharasha mwili mzima...hapo nikasema kama wanaufanyia hivi mti mbichi, mkavu itakuwaje? Piga picha huyo anatembezewa kipigo ni mtu aliyekatwa Jembe, Sasa mwenye kumkata itakuwaje?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huo ss uoga jirani😂😂,wenzio hao tunakatiza na kichwa cha cherehani kichwani

Sio kuwazuia tu,mm nashauri tupate japo nafunzo ya ziada kidogo tuweze kuingia japo ndani na kutoka nje kwa kupitia ukutani km Monie😂
🤣🤣🤣🤣🤣! Kiukweli kupitia hii story Nimeongeza kitu juu ya hayo mambo!!

kweli kabisa pia kuna Wachawi natamani sana kuwakomesha ila sasa Imani sinaa hukuu huu upande mwingine pia sio mshirikaaa basi tabu tupu! Tofauti na hapo... wangekoma hawa washenzi!
Ila sasaa nguvu sinaa imani sinaa😁!
 
😂😂 sawa jirani😂,acha nipikwe kwanza,najua nikiiva vzr makono ntapambana nae angani huko
Mwanangu fanya mpango unielekeze Mbinu ili wachawi wakija wasinione wala kunifanya chochote basii!☺️
Kama ile usiku nilisikia mtu kama anatembea juu ya bati hukoo huku nje mbwa walikua wanabweka kinoma!
 
Back
Top Bottom