Huu ni ufanyaji kazi wa kijima, yani meli inawahi kuachiwa ili izagae na kupiga mark time majini!Nafikiri iko hivi ..kule Zanzibar wafanyakazi WA mamlaka husika mwisho Saa nne ndo maana wenye hiyo meli wakalazimisha waondoke Saa tatu badala ya Saa sita ili wawe cleared na mamlaka za Zanzibar...halafu wakishatembea masaa kadhaa wanawahi kutoka huku...ndo maana wanakaa na abiria majini....kama wangeruhusiwa kutoka Zanzibar saa sita wangefika huku asubuhi...kusingekuwa na shida
Bandari ni pamoja na hao wafanyakazi wa Bandari, TRA na mamlaka nyingine zote.Zinatakiwa Kwa mujibu wa Nani?
Nani aliesema hazifanyi kazi masaa 24?..
Je na tra na mamlaka zingine ukiacha bandari zinafanya kazi masaa 24?
Mpare na Boat[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hivi flying horse bado ipo? Long time sana, hizo trip za night kali kuamkia bandarini nilipiga sana.
Kwa ninyi ambao sio wadhoefu na hizo meli za Azam mtashanga kwamba zinabeba abria na mizigo.Hizo meli zina leseni ya kubeba mizigo na abiria kama zilivyo meli zinazofanya kazi ktk ziwa nyasa , victoria na Tanganyika ila hizi za Zanzibar zinakosa abiria kutokana na hiyo ruti ina boti nyingi , Ndio maana wao wamwweka kipaumbeke zaidi kusafilisha mizigo ,abiria wanaopanda mule wengi uwa wamekosa usafiri wa boti na nauli yake ni Tsh.25,000/=Meli ya mizigo inaruhusiwa kufanya biashara ya kubeba abiria?
Kama meli ya abiria inaruhusiwa kubeba na abiria basi ilipofika bandarini tu maafisa wa bandari walipaswa kushituka angalau ndani ya nusu kwamba kuna meli imetia nanga ila abiria hawashuki.
Kwanza ni kosa kubwa mno la kiusalama kuwaacha watu bandarini masaa matatu ndani ya chombo bila kujua wanachofanya huko ndani au wana hali gani.
"wazoefu" sio "wadhoefu"Kwa ninyi ambao sio wadhoefu na hizo meli za Azam mtashanga kwamba zinabeba abria na mizigo.Hizo meli zina leseni ya kubeba mizigo na abiria kama zilivyo meli zinazofanya kazi ktk ziwa nyasa , victoria na Tanganyika ila hizi za Zanzibar zinakosa abiria kutokana na hiyo ruti ina boti nyingi , Ndio maana wao wamwweka kipaumbeke zaidi kusafilisha mizigo ,abiria wanaopanda mule wengi uwa wamekosa usafiri wa boti na nauli yake ni Tsh.25,000/=
Na eneo la abria lina hadi viyoyozi sehemu safi kabisa .
Alipanda sea lincNadhani ulipanda meli maana boat karibia zote speed yake ni masaa mawili ama matatu uko Dar na kuna mpaka za dk 45
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanaibaje vitu vya watu? Kwamba hakuna utaratibu maalumu wa watu kuchukua mizigo yao? Watu wanajibebea tu?Mzee kumbe tulikuwa wote kwenye boti ya mv ikraam , ,Ile juzi , hata Mimi nilishangaa sana wametuweka mpaka asubuhi na mvua ikaanza kupiga nzito, sijui unashukaje hapo, sema wanaogopa watu wasije iba vitu vya watu
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Hii ndiyo inakera zaidi mnapopaki baharin mnapigwa na mawimbi mpaka mtapike vyote mlivyokula. Ni afadhali kupaki bandarini kusubiri Muda ufike mshuke mkiwa salama.Hilo ndio tatizo kubwa na la msingi, na halijaanza kupigiwa kelele leo.. Zamani zile za Flying horse bandari ya Zenji ilikuwa inafungwa saa nne usiku kwahiyo inabidi chombo kiondoke bandarini na kwenda kupaki huko katikati ya bahari mpaka saa tisa alfajiri ndio kianze safari ya Dar.
Sent using Jamii Forums mobile app
We mwenye kulala uondoke kesho nayo ni tabia ya maskini ili mambo yakikwama upate kisingizio. Nitajie ndege iliyotoka Zenji usiku siku ambayo nilisafiri na ilikuwa na seat.We mwenyewe maskini,
umechelewa, ukapanda boti la usiku.
Umeshindwa nini kulala Hotel uondoke kesho?
Ndege hazipo kwanza?
We ni Maskini kuliko hata hao unaita Maskini
Ushamba unao wewe uliishia la ngapi? It doesn't make any sense yani account yako inagoma kuwithdraw pesa throughout different branches how? Maybe system imisbehave na huwa in a very short time inarudi normal Ulikuwa hujui kwamba System ni moja wenzako tulilalia vitabu vya Accounting and Finance Wewe unashangaa teller kufanya kazi hadi saa 2 usiku "hiyo inaitwa overtime" na wanalipwa as usually. Unakurupuka huko eti mfanyakaz mmoja ndio aliyekuwa anaijulia kufanya withdrawals kwenye acc yako. Pathetic unafikiri mifumo ya bank ilikuwa implemented na watu wapuuzi wenye low IQ kama zako?!Acha ushamba, kuna siku utajua kuwa bank hazifungwi saa 10.30 bali saa 2 usiku.ππ
Wamefanya vile kwa ulinzi piaHivi karibuni nilikuwa Zanzibar, baada ya shughuli zangu nilikwenda bandari lakini nikawa nimechelewa boat.
Nikalazimika kupanda ile ya saa 3 usiku. Tulifika Dar saa 9 usiku ila cha ajabu tukaambiwa kushuka ni saa 12 asubuhi.
Hii iliniacha na maswali sana kama kuna kusafiri usiku kwa nini tusishuke maana kwa Dar saa 9 usiku ni kama kumekucha tu.
Kama issue ni bandari basi uwekwe utaratibu ila kwa sasa ni kusumbuana aisee.
Yaani haya mambo ni viashiria vya umasikini wa nchi.
ππNadhani ulipanda meli maana boat karibia zote speed yake ni masaa mawili ama matatu uko Dar na kuna mpaka za dk 45
Sent using Jamii Forums mobile app
We falla mshamba sana.Ushamba unao wewe uliishia la ngapi? It doesn't make any sense yani account yako inagoma kuwithdraw pesa throughout different branches how? Maybe system imisbehave na huwa in a very short time inarudi normal Ulikuwa hujui kwamba System ni moja wenzako tulilalia vitabu vya Accounting and Finance Wewe unashangaa teller kufanya kazi hadi saa 2 usiku "hiyo inaitwa overtime" na wanalipwa as usually. Unakurupuka huko eti mfanyakaz mmoja ndio aliyekuwa anaijulia kufanya withdrawals kwenye acc yako. Pathetic unafikiri mifumo ya bank ilikuwa implemented na watu wapuuzi wenye low IQ kama zako?!
Mama yako ndio atulize kalio unafikir huku jf wote ni wa*** kama wewe na hizo akili zako za LA 7 BWe falla mshamba sana.
Mimi nimeongelea kingine naqe unaniletea blablaa zako za uakauntant mavii.
Tuliza kalio
Meli za mizigo zinaruhusiwa kubeba abiria au wanakula vichwa kinyamela?
VP Tsh.25,000/=Hapana, hizi zinaruhusiwa. Kimsingi hata ukiziona Zina umbo la vile vivuko vya Kigamboni. Ila vinachukua magari, mizigo na abiria wa kutosha, Hadi Wana daraja la VIP kama sio Business sikumbuki vizuri.
View attachment 2863361