Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Huu ni ufanyaji kazi wa kijima, yani meli inawahi kuachiwa ili izagae na kupiga mark time majini!Nafikiri iko hivi ..kule Zanzibar wafanyakazi WA mamlaka husika mwisho Saa nne ndo maana wenye hiyo meli wakalazimisha waondoke Saa tatu badala ya Saa sita ili wawe cleared na mamlaka za Zanzibar...halafu wakishatembea masaa kadhaa wanawahi kutoka huku...ndo maana wanakaa na abiria majini....kama wangeruhusiwa kutoka Zanzibar saa sita wangefika huku asubuhi...kusingekuwa na shida