Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Opinion zako sio ushahidi. Ulichoandika ni nafsi yako na sio Sheria yoyote ya Usa.Huo hapo ndio ushahidi wenyewe , nimefanya inquiry juu ya sheria za Marekani na muktadha ambao Rais anakuwa kavunja sheria
Loophole anayotumia Trump ni hiyo ya kuwa na wabunge wengi ndani ya congress, tangu ameanza mpaka Sasa mambo yote ambayo ameruhusiwa kufanya kafanya kisheri na lolote lenye ukakasi au liko nje ya mipaka yake kama ulivyoona hapo congress imelipinga
Duh!...kwamba Trump ni mvunjifu wa Katiba?...Si Kweli kavunja Katiba na sheria mara kibao, kuna kesi za kutosha tu ila hazina nguvu sababu yupo kwenye power.
Mfano
Kwenye Katiba ya Marekani Congress wana uwezo wa kulimit spending za Government, serikali hairuhusiwi kutumia ama kuzuia matumizi ambayo yamepitishwa na Bunge
Trump alivyoingia Madarakani kuna vitu kibao vilivyopitishwa na Bunge amevikataa kwa kisingizio haviendi na will of America
Mfano wa kesi
Loading…
www.courthousenews.com
Sasa hivi Usa kuna Constitutional crisis
![]()
Trump’s disregard for US constitution ‘a blitzkrieg on the law’, legal experts say
Scholars warn of president’s lawlessness in actions such as federal funding freeze and birthright citizenship orderwww.theguardian.com
Duh.!.ubeberu wao ni kiwango cha juu mno....yaani wenye nguvu/fedha ndio wanafaidi.Maslahi ya matajiri kama Musk, siku akitoa huduma za Afya, Elimu na vitu vingine vya msingi bure nishtue, Ulaya, Middle East na karibia Nchi zote Tajiri Duniani vitu kama Afya na Elimu si tatizo tena ila Nchi kubwa kama Usa bado wanajadili Bima za Afya kama Tanzania tu. Kupata Degree unaingia Deni unalolipa karibia maisha yote.
Mkuu wengi tuliaminishwa hivyo mpaka majuzi tulipoyaona haya.Wakuu, kwa miaka mingi tuliambiwa maamuzi yoyote pale USA ni ya taasisi na si mtu mmoja. Kwamba katiba yao ndio inaamua, kwamba hata akija Rais kichaa anaongoza maana yeye si mtoa maamuzi pekeake.
Lakini hiki tunachoshuhudia sasa hivi mbona ni kama Afrika tu?
Yani Trump sasa hivi anaweza kuamka tu na kutoa tamko kwamba toa hiki weka pale, kile leta hapa.
Mfano mzuri ni ishu misaada kwa Afrika, na hili la kujitoa WHO na sasa eti anapanga kujitoa UN.
Mbona mimi naona kama US mfumo wao wa uongozi ni mbovu kuliko Afrika?
Rais wa Ukraine kamtolea nje deal lake la kumsainisha kujichotea madini ya Ukraine, kamfanya adui na kuendesha kampeni ya kumwondoa madarakani. 😳Yani USA sasa haina tofauti na nchi za kiafrika maamuzi yanatolewa na mtu mmoja tu
Sawa kama ni hivyo lakini najiuliza ni kwa nini marais waliomtangulia hawakufanya anachofanya yeye leo hii? Walipotezea kwa ajili ya masilahi mapana ya marekani au ni kwa kutokujuwa?Maamuzi anayofanya Trump YAPO ndani ya mamlaka yake kama Rais, mimi na wewe pamoja na wamarekani Gen Z tunaona ajabu kwasababu ni kwa muda mrefu rais hajawahi kutumia mamlaka yake namna hii
Kila anachofanya Trump kiko ndani ya mamlaka yake....HAVUNJI SHERIA WALA HAKANYAGI KATIBA. Ni sawa tu leo hii mama Abdul asaini mfungwa kunyongwa,walio wengi watashangaa humu...Wakuu, kwa miaka mingi tuliambiwa maamuzi yoyote pale USA ni ya taasisi na si mtu mmoja. Kwamba katiba yao ndio inaamua, kwamba hata akija Rais kichaa anaongoza maana yeye si mtoa maamuzi pekeake.
Lakini hiki tunachoshuhudia sasa hivi mbona ni kama Afrika tu?
Yani Trump sasa hivi anaweza kuamka tu na kutoa tamko kwamba toa hiki weka pale, kile leta hapa.
Mfano mzuri ni ishu misaada kwa Afrika, na hili la kujitoa WHO na sasa eti anapanga kujitoa UN.
Mbona mimi naona kama US mfumo wao wa uongozi ni mbovu kuliko Afrika?
Chadomo huwaga ni roporopo wanaweza kudanganya wajinga tuu.Wakuu, kwa miaka mingi tuliambiwa maamuzi yoyote pale USA ni ya taasisi na si mtu mmoja. Kwamba katiba yao ndio inaamua, kwamba hata akija Rais kichaa anaongoza maana yeye si mtoa maamuzi pekeake.
Lakini hiki tunachoshuhudia sasa hivi mbona ni kama Afrika tu?
Yani Trump sasa hivi anaweza kuamka tu na kutoa tamko kwamba toa hiki weka pale, kile leta hapa.
Mfano mzuri ni ishu misaada kwa Afrika, na hili la kujitoa WHO na sasa eti anapanga kujitoa UN.
Mbona mimi naona kama US mfumo wao wa uongozi ni mbovu kuliko Afrika?
Chadomo waumbukaInashangaza sana
But ataangukia pua very soon kama akiendelea na haya maamuzi yake, within 100 days but alot of disastersTrump is running America like it's his own house. Those who used to say America has strong institutions should come here and tell us what we're witnessing under Donald Trump's leadership. It's a total disaster for a nation that calls itself a first-world country.
Nalo hilo la impeachment linawezekana kama ndani ya siku 100 tu za utawala wake ndio haya tunayoyashuhudia mbeleni tunaweza kuliona hilo la kumtaka aondoke madarakani.Kavizuia kwasababu katiba inamruhusu kuvizuia , angekuwa kavunja sheria kwa kufanya hivyo tayari wapinzani wangeanza zengwe la impeachment ili aondolewe
Kiranga Nguruvi3 Mag3 Nyani NgabuWakuu, kwa miaka mingi tuliambiwa maamuzi yoyote pale USA ni ya taasisi na si mtu mmoja. Kwamba katiba yao ndio inaamua, kwamba hata akija Rais kichaa anaongoza maana yeye si mtoa maamuzi pekeake.
Lakini hiki tunachoshuhudia sasa hivi mbona ni kama Afrika tu?
Yani Trump sasa hivi anaweza kuamka tu na kutoa tamko kwamba toa hiki weka pale, kile leta hapa.
Mfano mzuri ni ishu misaada kwa Afrika, na hili la kujitoa WHO na sasa eti anapanga kujitoa UN.
Mbona mimi naona kama US mfumo wao wa uongozi ni mbovu kuliko Afrika?
Wewe unafikiri matamko ya trump yapo kikatiba na ni kwa maslahi ya marekani au anajitamkia tu kama huko kwenu kwa kusadikika?Wakuu, kwa miaka mingi tuliambiwa maamuzi yoyote pale USA ni ya taasisi na si mtu mmoja. Kwamba katiba yao ndio inaamua, kwamba hata akija Rais kichaa anaongoza maana yeye si mtoa maamuzi pekeake.
Lakini hiki tunachoshuhudia sasa hivi mbona ni kama Afrika tu?
Yani Trump sasa hivi anaweza kuamka tu na kutoa tamko kwamba toa hiki weka pale, kile leta hapa.
Mfano mzuri ni ishu misaada kwa Afrika, na hili la kujitoa WHO na sasa eti anapanga kujitoa UN.
Mbona mimi naona kama US mfumo wao wa uongozi ni mbovu kuliko Afrika?
unataka Rais awe na madaraka sawa na mbunge??Basi mfumo wao wa uongozi ni mbovu sana!
Kwahiyo pale alipo anaweza hata kuamuru kubonyezwa kitufe cha nyukilia kulipua nchi flani bila kuingiliwa na yeyote.
Trump anawaumbua Wazungu kwa unafiki wao. Wakome sasa kutulecture sisi kuhusu democracy na waanzie kwakoLakini hiki tunachoshuhudia sasa hivi mbona ni kama Afrika tu?
Mfano mzuri ni ishu misaada kwa Afrika, na hili la kujitoa WHO na sasa eti anapanga kujitoa UN. Mbona mimi naona kama US mfumo wao wa uongozi ni mbovu kuliko Afrika?
Mpaka sasa yote ambayo kayafanya yanaangukia kwenye mamlaka yake ya kiraisi.Wakuu, kwa miaka mingi tuliambiwa maamuzi yoyote pale USA ni ya taasisi na si mtu mmoja. Kwamba katiba yao ndio inaamua, kwamba hata akija Rais kichaa anaongoza maana yeye si mtoa maamuzi pekeake.