Tulikuwa wapi kumsaidia Mdude mpaka tunasubiri siku ya hukumu? Huu ni uzembe mkubwa

Familia yako ni Watanzania wote na ndiyo sababu Mdude anaombewa na wote kwani anatetea na kuteswa kwa ajili ya wote!
yani yale matusi ndiyo alikuwa anatetea watu? halafu unasema uongo hazarani? eti anaombewa na watu wote mbona mimi simuombei?
 
Unakili kuwa amebambikizwa kesi alafu unasema ajifunze wewe vipi?
 
Kabisa, mkuu wajiulize tu wameshawahi kumuona kiongozi mbowe akitukana viongozi wenzake hadharani? Sasa kwanini wasimuige yeye kujenga hoja na misimamo yake
wao wanaonaga kutukana ndiyo kukosoa tatizo siasa ni sayansi sasa yeye alikuwa anajuwa siasa ni uadui kumchukia mpinzani aliona ccm ni adui yake sasa ndiyo anakula jeuri yake wenzie wako nyumbani yeye anasotajela
 
Mm namuombea atoke kama ana kusudio la kurekebisha mienendo yake kisiasa..
 
wao wanaonaga kutukana ndiyo kukosoa tatizo siasa ni sayansi sasa yeye alikuwa anajuwa siasa ni uadui kumchukia mpinzani aliona ccm ni adui yake sasa ndiyo anakula jeuri yake wenzie wako nyumbani yeye anasotajela

Tupe mrejesho wa Sabaya, yuko gerezani, mbona hujamlaza nyumbani kwako kwakuwa alisema anaipigania ccm?
 
Unajiita jina la Mwana mapinduzi mkubwa alafu wewe una akili na fikra zakikondoo.Unadhani huyo Napoleone naye alikua kunguru kama wewe.
 
Sawa.ila watoto wanakufa njaa nyumban.na mkeo pia hal si nzur...hata chuo tulikua tunawambia wale waongoza migomo..kuwa kumbuka umetumwa na kijij hapa. Usishindane na serikal kihivyo tumia akil..pambana kwa akil..
Mambo mengine ni kawaida duniani.kukosea kupo na wafanya makosa wapo na wazuia makosa wapo.Ndo maana kuna magereza na wachukua hatua.Kila mtu duniani angekua mtakatifu ata hao unaowaona wanafanya kazi uko kwenye vyombo vya dola na mahakana nao wasingekua na kazi ya kufanya na watoto wao siajabu wasingeishi maisha wanayoishi sasa nawengine wangeishi kwa shida vile vile.
 
Hata uko wakina mdee walipo wanaweza wakajikuta wako magereza vile vile.usikariri sana maisha.duniani lolote laweza kutokea ukiwa mahali popote haijalishi unasimamia nini.ndo maana kuna nchi kuna maraisi wako magereza..Ata wewe kesho yako huijui kwahiyo usiishi kwakujifanya unaipenda sana familia yako au wewe ni mtakatifu sana kuliko hao walioko magereza.
 
Huyo jamaa hajui kua chochote kizuri anachokiona duniani leo kuna watu walijitoa na kukipambania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…