Wenye akili ni wachache wapuuzi ndio huwa wengi 🤣! Na hao wachache ndio huleta mabadiliko. Nchi ilinyooka ila tumerudi 15 yrs back.Tuliokuwa tukiona kama alivyokuwa akiona JPM juu ya nchi yetu, kwa uwingi wetu tulimuunga mkono
Makamba na Nape aliwaweka nani? 🤣Hawa wajanja waliopo madarakani leo aliwaweka Mbowe pumbavu?Huo si uzao wa mwendazake?Kwenye Serikali hiyo umemwona LISSU,ZITO KABWE,JOHN HECHE,EZEKIEL WENJE,MNYIKA,SUGU,MSIGWA,HAULE,SALUM MWALIMU,MBOWE,LEMA,MWAIPAYA,MDUDE je wana vyeo gani kwenye Serikali hiyo ya Magufuri?
Wewe dada mbona unamchukia sn Mbowe?Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa , mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro.
Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani.
Leo hii tunashuhudia madudu ambayo yanamuumiza mwannanchi wa kawaida huku Vigogo wa CCM wakifurahia .
Inaumiza sana
Magufuli aliuza mbuga na bandari lini? 🤣Mwanzilishi wa Mikataba ya hovyo ni Magufuri baada ya kuwakataa wapinzani kwenye serikali yake matokeo yake ndiyo haya unayoyaona leo,hakuna mwanadamu aliyekamilika.
Tatizo lake democracy ilikuwa ni tatizoMagu alikuwa Rais mzuri na mwenye vision kwa kiasi fulani kosa alilolifanya ni kuminya haki na uhuru wa watu ikiwa ni pamoja na kuteua baadhi ya wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya ambao walikuwa wanafanya kazi kama viongozi wa genge la mamafia
Wasingepita bila kupingwa 2020 usingewaona hapo.Makamba na Nape aliwaweka nani? 🤣
Kiongozi aki underperform alikuwa anawekwa kando. Huyu yeye anawaokota huko anawapa madaraka bila kujali. Who the Cap fit?Wasingepita bila kupingwa 2020 usingewaona hapo.
Hakuwa na uwezo kabisa wa kuvumilia ukosoaji alitaka kila jambo liende smooth.Ukimkosoa mara moja mara mbili jiandae kwa pyupyuuuTatizo lake democracy ilikuwa ni tatizo
Uhai wa nyumba yoyote ni msingi,uhai wa mbuyu ni mizizi yake,uhai wa gari ni chassis,matokeo ya chaguzi 2019 na 2020 ndiyo yamezaa haya matatizo ambaye mwasisi wake ni Magufuri.Magufuli aliuza mbuga na bandari lini? 🤣
Aliyeko madarakani hana akili kuona kwamba mambo hayako sawa?Uhai wa nyumba yoyote ni msingi,uhai wa mbuyu ni mizizi yake,uhai wa gari ni chassis,matokeo ya chaguzi 2019 na 2020 ndiyo yamezaa haya matatizo ambaye mwasisi wake ni Magufuri.
Uhai wa nyumba yoyote ni msingi,uhai wa mbuyu ni mizizi yake,uhai wa gari ni chassis,matokeo ya chaguzi 2019 na 2020 ndiyo yamezaa haya matatizo ambaye mwasisi wake ni Magufuri.Magufuli aliuza mbuga na bandari lini? 🤣
Sikiliza Rafiki yangu nchi haiongozwi kwa hisia na ushujaa bali huongozwa kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizowekwa.Kiongozi aki underperform alikuwa anawekwa kando. Huyu yeye anawaokota huko anawapa madaraka bila kujali. Who the Cap fit?
Hawezi kumomonyoa msingi uliowekwa la sivyo nyumba nzima itaanguka.Aliyeko madarakani hana akili kuona kwamba mambo hayako sawa?
Kwahio katiba ndio inasema watu ambao hawana tija wapewe uongozi kama peremende. Tutabakia hivi hadi mwisho wa dunia. Urusi na NATO warushe nyuklia tu dunia iishe.. Ukiwa na akili timamu ni mateso mno kuishi kwenye awamu hii.Uhai wa nyumba yoyote ni msingi,uhai wa mbuyu ni mizizi yake,uhai wa gari ni chassis,matokeo ya chaguzi 2019 na 2020 ndiyo yamezaa haya matatizo ambaye mwasisi wake ni Magufuri.
Sikiliza Rafiki yangu nchi haiongozwi kwa hisia na ushujaa bali huongozwa kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizowekwa.
Msingi uliowekwa kuharibu ndio wa kuogopa kumomonyoa. Tupo na watu ambao wanawaza leo tu na si future ya hili taifa. Selfish people of the highest degree.Hawezi kumomonyoa msingi uliowekwa la sivyo nyumba nzima itaanguka.
Hawezi kumomonyoa msingi uliowekwa la sivyo nyumba nzima itaanguka.Aliyeko madarakani hana akili kuona kwamba mambo hayako sawa?
Wananchi ndiyo wenye nchi kama wananchi wanaona fulani anafaa kwa nini wewe Kiongozi uwachagulie wananchi kiongozi asiyefaa kwa maslahi yako na maslahi ya chama chako?Kwahio katiba ndio inasema watu ambao hawana tija wapewe uongozi kama peremende. Tutabakia hivi hadi mwisho wa dunia. Urusi na NATO warushe nyuklia tu dunia iishe.. Ukiwa na akili timamu ni mateso mno kuishi kwenye awamu hii.
Haki za watu wangapi? 🤣 Mna uhuru wa kuropoka ila rasilimali zinachukuliwa na wageni mchana kweupe. Watanzania ni viumbe vya ajabu sana
Kwahio wananchi ndio wamewateua wale watu 🤣🤣🤣Hawezi kumomonyoa msingi uliowekwa la sivyo nyumba nzima itaanguka.
Wananchi ndiyo wenye nchi kama wananchi wanaona fulani anafaa kwa nini wewe Kiongozi uwachagulie wananchi kiongozi asiyefaa kwa maslahi yako na maslahi ya chama chako?
Yes,you are right 100% but according to our Constitution of Republic United of Tanzania of 1977 Articles 3(1),8,9,12 and 13 everything is vivid,the only problem I see is that CCM leaders do not obey their Constitution.Msingi uliowekwa kuharibu ndio wa kuogopa kumomonyoa. Tupo na watu ambao wanawaza leo tu na si future ya hili taifa. Selfish people of the highest degree.
Aliwateua Magufuri kupitia Wakurugenzi,Watendaji wa vijiji na kata,Wakuu wa wilaya na mikoa,Polisi,Usalama wa nchi,Mahera na Job Ndugai.Kwahio wananchi ndio wamewateua wale watu 🤣🤣🤣
Siku ukija kuelewa kuwa Raisi ndio anatengeneza mfumo mzima kwa hao subordinates wake wafanyeje kazi ndio tutaelewana lugha. Hapa tutajaza server tu.Aliwateua Magufuri kupitia Wakurugenzi,Watendaji wa vijiji na kata,Wakuu wa wilaya na mikoa,Polisi,Usalama wa nchi,Mahera na Job Ndugai.