Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Wenye akili ni wachache wapuuzi ndio huwa wengi 🤣! Na hao wachache ndio huleta mabadiliko. Nchi ilinyooka ila tumerudi 15 yrs back.Tuliokuwa tukiona kama alivyokuwa akiona JPM juu ya nchi yetu, kwa uwingi wetu tulimuunga mkono
Itabaki kuwa hivyo milele na milele