Tulimchukia Hayati Magufuli bila sababu za msingi, sasa tumetambua kuwa alikuwa sahihi, yanayofanyika sasa ni aibu

Tulimchukia Hayati Magufuli bila sababu za msingi, sasa tumetambua kuwa alikuwa sahihi, yanayofanyika sasa ni aibu

Tuliokuwa tukiona kama alivyokuwa akiona JPM juu ya nchi yetu, kwa uwingi wetu tulimuunga mkono
Wenye akili ni wachache wapuuzi ndio huwa wengi 🤣! Na hao wachache ndio huleta mabadiliko. Nchi ilinyooka ila tumerudi 15 yrs back.

Itabaki kuwa hivyo milele na milele
 
Hawa wajanja waliopo madarakani leo aliwaweka Mbowe pumbavu?Huo si uzao wa mwendazake?Kwenye Serikali hiyo umemwona LISSU,ZITO KABWE,JOHN HECHE,EZEKIEL WENJE,MNYIKA,SUGU,MSIGWA,HAULE,SALUM MWALIMU,MBOWE,LEMA,MWAIPAYA,MDUDE je wana vyeo gani kwenye Serikali hiyo ya Magufuri?
Makamba na Nape aliwaweka nani? 🤣
 
Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa , mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro.

Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani.

Leo hii tunashuhudia madudu ambayo yanamuumiza mwannanchi wa kawaida huku Vigogo wa CCM wakifurahia .

Inaumiza sana
Wewe dada mbona unamchukia sn Mbowe?
 
Mwanzilishi wa Mikataba ya hovyo ni Magufuri baada ya kuwakataa wapinzani kwenye serikali yake matokeo yake ndiyo haya unayoyaona leo,hakuna mwanadamu aliyekamilika.
Magufuli aliuza mbuga na bandari lini? 🤣
 
Magu alikuwa Rais mzuri na mwenye vision kwa kiasi fulani kosa alilolifanya ni kuminya haki na uhuru wa watu ikiwa ni pamoja na kuteua baadhi ya wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya ambao walikuwa wanafanya kazi kama viongozi wa genge la mamafia
Tatizo lake democracy ilikuwa ni tatizo
 
Uhai wa nyumba yoyote ni msingi,uhai wa mbuyu ni mizizi yake,uhai wa gari ni chassis,matokeo ya chaguzi 2019 na 2020 ndiyo yamezaa haya matatizo ambaye mwasisi wake ni Magufuri.
Aliyeko madarakani hana akili kuona kwamba mambo hayako sawa?
 
Magufuli aliuza mbuga na bandari lini? 🤣
Uhai wa nyumba yoyote ni msingi,uhai wa mbuyu ni mizizi yake,uhai wa gari ni chassis,matokeo ya chaguzi 2019 na 2020 ndiyo yamezaa haya matatizo ambaye mwasisi wake ni Magufuri.
Kiongozi aki underperform alikuwa anawekwa kando. Huyu yeye anawaokota huko anawapa madaraka bila kujali. Who the Cap fit?
Sikiliza Rafiki yangu nchi haiongozwi kwa hisia na ushujaa bali huongozwa kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizowekwa.
 
Uhai wa nyumba yoyote ni msingi,uhai wa mbuyu ni mizizi yake,uhai wa gari ni chassis,matokeo ya chaguzi 2019 na 2020 ndiyo yamezaa haya matatizo ambaye mwasisi wake ni Magufuri.

Sikiliza Rafiki yangu nchi haiongozwi kwa hisia na ushujaa bali huongozwa kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizowekwa.
Kwahio katiba ndio inasema watu ambao hawana tija wapewe uongozi kama peremende. Tutabakia hivi hadi mwisho wa dunia. Urusi na NATO warushe nyuklia tu dunia iishe.. Ukiwa na akili timamu ni mateso mno kuishi kwenye awamu hii.
 
Aliyeko madarakani hana akili kuona kwamba mambo hayako sawa?
Hawezi kumomonyoa msingi uliowekwa la sivyo nyumba nzima itaanguka.
Kwahio katiba ndio inasema watu ambao hawana tija wapewe uongozi kama peremende. Tutabakia hivi hadi mwisho wa dunia. Urusi na NATO warushe nyuklia tu dunia iishe.. Ukiwa na akili timamu ni mateso mno kuishi kwenye awamu hii.
Wananchi ndiyo wenye nchi kama wananchi wanaona fulani anafaa kwa nini wewe Kiongozi uwachagulie wananchi kiongozi asiyefaa kwa maslahi yako na maslahi ya chama chako?
 
Hawezi kumomonyoa msingi uliowekwa la sivyo nyumba nzima itaanguka.

Wananchi ndiyo wenye nchi kama wananchi wanaona fulani anafaa kwa nini wewe Kiongozi uwachagulie wananchi kiongozi asiyefaa kwa maslahi yako na maslahi ya chama chako?
Kwahio wananchi ndio wamewateua wale watu 🤣🤣🤣
 
Msingi uliowekwa kuharibu ndio wa kuogopa kumomonyoa. Tupo na watu ambao wanawaza leo tu na si future ya hili taifa. Selfish people of the highest degree.
Yes,you are right 100% but according to our Constitution of Republic United of Tanzania of 1977 Articles 3(1),8,9,12 and 13 everything is vivid,the only problem I see is that CCM leaders do not obey their Constitution.
 
Aliwateua Magufuri kupitia Wakurugenzi,Watendaji wa vijiji na kata,Wakuu wa wilaya na mikoa,Polisi,Usalama wa nchi,Mahera na Job Ndugai.
Siku ukija kuelewa kuwa Raisi ndio anatengeneza mfumo mzima kwa hao subordinates wake wafanyeje kazi ndio tutaelewana lugha. Hapa tutajaza server tu.

Huwezi kuwa kiongozi mbumbumbu ukategemea mambo yataenda vizuri kwa watu walioko chini yako. Taifa haliwezi songa mbele kama kiongozi hana vision kwa katiba tuliyo nayo.
 
Back
Top Bottom