Tulimwambia achana na mambo ya kuoa, hakusikia cheki yaliyomkuta

Tulimwambia achana na mambo ya kuoa, hakusikia cheki yaliyomkuta

Hawa sio wanaume ..ni vijana wa kiume waliokamata ela kidogo na kuleta ulimbukeni...sijui wazazi wao wangesema hivi kama hata kuzaliwa wangekua wamezaliwa,,ah a
Subiri siku umkute bodaboda juu ya kitanda chako kile cha mbao ulichonunua kwa mshahara wako wa Kwanza akimbiniua mkeo.

Ndio utaelewa

#YNWA
 
Aisee aisee nna jamaangu ye hajaoa ila kamvuta huyo mwanamke kiaina, anapigiwa video call kuliko hata call za conference za zoom, Jamaa kakatazwa kuhangout na mimi, jamaa hawez sasa sababu me ni mwanae wa nguvu, tunaweza enda sehemu kidume nimeagiza bucket ya mambo yetu mara video call ya whatsapp inaingia akipokea ujue kama zile bucket ni zaid ya moja inabid nizifakamie alone jamaa anatoka spidi ya jeti anawah home .

sample ya maongezi ya video call

Mwanamke : Hallow beb, Uko wapi ? na kwa nani ?
Jamaangu : Hallow nipo ilala , nipo kwa jamaangu.

Mwanamke : Ebu mwonyeshe jamaako kwene video call nimwone.

Jamaangu: Yupo ndani huko upande wa pili kuna ishue anafanya, (inabid jamaa adanganye sababu nikionekana mimi ni balaa)

Mwanamke: Unarud saa ngapi ? Naomba urudi sasaivi

Jamaangu: Kiongozi me naenda, anaaga kinyonge ila anachomoka spidi ya jeti,

NAMWONEA HURUMA JAMAANGU KAFANYWA ZOMBIE, ivi wanawake wanafurahia nini jamaazao wakiwa mazombie kiasi hicho ujue watu au washkaji zako wanakuwa hawakwambii ila wanajua we ni zombie na mwisho wake wanajua ni mbaya ila wanasubiri mpart ways ndio waseme, ila mimi mwanamke hatak kunisikia kisa namwambia jamaa ukweli...
 
Aisee aisee nna jamaangu ye hajaoa ila kamvuta huyo mwanamke kiaina, anapigiwa video call kuliko hata call za conference za zoom, Jamaa kakatazwa kuhangout na mimi, jamaa hawez sasa sababu me ni mwanae wa nguvu, tunaweza enda sehemu kidume nimeagiza bucket ya mambo yetu mara video call ya whatsapp inaingia akipokea ujue kama zile bucket ni zaid ya moja inabid nizifakamie alone jamaa anatoka spidi ya jeti anawah home .
Usisahau pia kwamba mabinti wanaroga sana siku hizi,unawezakuta mwana yuko controlled na dark forces ndio maana yuko hivyo.
 
Aisee aisee nna jamaangu ye hajaoa ila kamvuta huyo mwanamke kiaina, anapigiwa video call kuliko hata call za conference za zoom, Jamaa kakatazwa kuhangout na mimi, jamaa hawez sasa sababu me ni mwanae wa nguvu, tunaweza enda sehemu kidume nimeagiza bucket ya mambo y
Hahahaha fanya umzibue masikio jamaa yako...yaaani kwa jina la mapenzi ndio unakua mzembe hivo
 
...Vijana wengi hatujui kwann tunaoa,ndomana yanatufika mambo ya aibu ambayo atukujua kama yatatufika...

Naomba tuelewe kidogo kuhusu Hawa wanawake..
1. Sio kila mwanamke ana sifa ya kuwa mke.
2. Hakuna kitu kinachoweza kumbadili mwanamke duniani,kama mwanamke anatabia mbovu...usije ukajidanganya eti atabadilika eti sababu unapesa.

3. Usije ukaoa mwanamke sababu unapesa nyingi.

4. Oa mwanamke mwenye penzi la kweli kwako,ata Kama huumpendi we oa tu.

5. Usioe mwanamke aliekwisha kukukataa kisa alikuwa na mwanaume mwengne uko nyuma,so baada ya kuachana na huyo mwanaume ndo kaja kwako...

6. Usitumie kitu kumshawishi mwanamke umuoe,Ila tumia kitu kama unataka tu kupita nae.

7. Usioe kwa kumuonea huruma mwanamke,Hawa viumbe hawaoneleki huruma na husahau wema wote kwa kosa moja.
 
Usisahau pia kwamba mabinti wanaroga sana siku hizi,unawezakuta mwana yuko controlled na dark forces ndio maana yuko hivyo.

Mama mzazi wa jamaa kaniambia nimtafute mchungaji jamaa akaombewe jamaa kagoma, just imagine we kama ni mdogo ake ukimwomba msaada wa fedha anakwambia umpigie demu wake atoe go ahead yeye ndio atume au anamtumia demu wake ndio akutumie wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kmmmk
 
KUOA UKIWA BELOW 37 NI UOGA WA MAISHA.

UKIANZA TU KUMUELEWA MWANAMKE UJUE UNAKARIBIA KUFA.

noumer sana,,,,,at least ufike 45 hivi
Nadhani uko sawa kabisa. Siku realize hili mpaka yaliponikuta ila sikuwa nimeoa. Kuna bro wake rafiki yangu ni Mkurya uwa ananichekesha eti anamwambia mdogo wake ambaye ni rafiki, "Siku mkianza kuniona nina mahaba makali na mama ..., tafadhali msiniulize nyie fanyeni namna, atakuwa ashaniroga au kanipa limbwata." 😁 😁 😁 😁
 
😅😅
 
Back
Top Bottom